Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,686
- 112,731
Wacha bana...😳
Wacha bana...😳
Ilikuaje?Wapo wengi sana wapo...me yalinikutaga pia
Anaitwa cocasticKuna memba humu zinafurahi kweli kuuona huu uzi
Kuna mmoja demu wake aliolewa akaja leta fujo harusini baada ya kugida vikaliNasikia hamna mwanamke aliyejaribu akaacha
Usipoweka namba yake ya simu hapa hii itakuwa ni chai ya DomAlipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Nimeuliza tu 😂Wacha bana...😳
Umeongea kwa uchungu sana To yeye 🤣🤣Kawaida sana kama vile mashoga,watoa mimba,watelekeza watoto,Wala wake za watu,kusex kabla ya ndoa,kulala na baba zenu,watoto wenu,binamu zenu,kaka zenu,dada zenu....
Ni unafki mnaposhangaa dhambi hii wakati ile mnafanya.Acheni kula mikundu,siyo njia sahihi aliyotuumbia Muumba.
Dunia hii tumezidisha dhambi hakuna majanga tutapona....NA TUTAKUFA VIBAYA SANA
Nyie platinum member naskia mpo limited sana kwenye mijadala mkuu...?
Nashangaa kukuona huku 😂😂😂✈️✈️✈️
Mbona huwa hamtuambii tuwashike wapi?Hao watu ni hatari wanajua akushike wapi ili ukolee..!! Anaijua jinsia yetu vizuri na kipi ni kipi, akikukamatia lazima upoteane..! 😹
Hizi ndio story sasa....ebu leta utamu mammyNipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....
Nilikuwa natafuta hii comment
He anataka kukusaga!Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....
Hizi nyege,nyegeka hatari, Mungu atunusuru!Mkubalie tu
View attachment 3287592
Tulia simnataka mkaridhishwe huenda shemale😆😆Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....
Majike kama hayo nipasie mim niyagonge yaache hiyo tabia🤒Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
Umeipata sasaNilikuwa natafuta hii comment
Anakula,nibembeleze nibebe!Alaf mleta uzi kukaa kwake kimya inatupa waswas na mashaka sanaa uwenda kuna jambo linaendea uko😂