Uone nini 😹Kumekuchaa sasa. Wacha tuone.
Ungejilegeza kdg bn😂Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
Si huo mtongozo, nn kita tokea. 😂😂😂😂Uone nini 😹
Hao watu ni hatari wanajua akushike wapi ili ukolee..!! Anaijua jinsia yetu vizuri na kipi ni kipi, akikukamatia lazima upoteane..! 😹Ungejilegeza kdg bn😂
Nimejaribu kuinywa lkn wapi😁Asante kwa chai ya asubuhi, bahati nzuri si ya moto sana![]()
Mbona ulikuwa husemi sasaWapo wengi sana wapo...me yalinikutaga pia
Asee we unae akili mnoo😂Hao watu ni hatari wanajua akushike wapi ili ukolee..!! Anaijua jinsia yetu vizuri na kipi ni kipi, akikukamatia lazima upoteane..! 😹
Alianzaje kushusha mistari maneno tafadhaliNipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.
Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.
Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.
Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.
Itaendelea.....
😹😹😹 Jpili leo em niache..!!Wee em sema kweli? Inakuaje kuaje?
😂😂😂😂😂
Alaf mleta uzi kukaa kwake kimya inatupa waswas na mashaka sanaa uwenda kuna jambo linaendea uko😂😹😹😹 Jpili leo em niache..!!
Subiri mleta uzi aje atumalizie kwanza..!
Sasa km akichoka na huo msago, hataweza kuja kumalizia.😹😹😹 Jpili leo em niache..!!
Subiri mleta uzi aje atumalizie kwanza..!
Nasikia hamna mwanamke aliyejaribu akaachaKawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!
Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage 😹😹😹
Kwahiyo ni kama unga wa donaNasikia hamna mwanamke aliyejaribu akaacha
Nimeshtuka sana, chief asili kulisha mchana, tena Ramadhan!!Asante kwa chai ya asubuhi, bahati nzuri si ya moto sana
Unaacha vipi kitu kinachokupa raha?? 😹Nasikia hamna mwanamke aliyejaribu akaacha