Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Blender.
download (12).jpeg
 
Dunia imeisha hii, mitandao ya kijamii mpaka tunaikimbia, unakuta msg ya mtoto wa kiume mwenzio anakutongoza, anadai kwa muonekano wa nje tu, itakuwa nina UKUNI mzuri na mtamu sana.. Unabaki kutikisa kichwa kwa masikitiko😔😔😔
 
Alaf wanambinu mkuu wanaangaliaga kidole gumba cha mguuni ndo tabia zao
 
Duh, nilikuwa sijui, lakini ni aibu kwa kweli, mwingine unakuta kashusga essay vile anakuhandle, atakula koni na kuikalia.. Unaona haya yamepitiliza sio ya musa wala ya firauni
Mji mzito mzee wangu
 
Tom boy hata ukimla hawezi kuridhika sababu hisia zake zipo Kwa mwanamke mwenzie.

Niliishapata girlfriend tomboy sikumjuwa,ila baadae akaniweka wazi kwamba yeye ni tomboy na anasaga wenzie.
Akaniweka wazi mambo mengi sn.

Kumbe na wao wanatongoza kama mwanaume anavyotongoza na pia wanahonga pesa kama kawaida..
Na ukimwona ni mrembo sn tu ila atawagonga wenzie.
Kumbe ni kamzozo namna hiyo.
 
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.

Itaendelea.....

Sasa wewe ni m/ke au m/mme? Mbona unatuchanganya na ID yako!
 
Kawaida sana kama vile mashoga,watoa mimba,watelekeza watoto,Wala wake za watu,kusex kabla ya ndoa,kulala na baba zenu,watoto wenu,binamu zenu,kaka zenu,dada zenu....

Ni unafki mnaposhangaa dhambi hii wakati ile mnafanya.Acheni kula mikundu,siyo njia sahihi aliyotuumbia Muumba.

Dunia hii tumezidisha dhambi hakuna majanga tutapona....NA TUTAKUFA VIBAYA SANA
Umenifokea Hadi nikaogopa! Kumbe ni onyo tu!
 
Nyie mnafatilia comments za mwandende lakini 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.

Itaendelea.....

Lahaulaa!😳🙄
 
Back
Top Bottom