Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Nimecheka hadi bas, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mxxxxiiiieeew
Mleta uzi mwenyewe katulia anasikilizia cheche kwanza zinavyoruka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kuna mmoja walikua wanajiita ma-bff kumbe wanasagana, siku mume wa mmoja wao kawafumania aliwazagamua wote kwa hasira..!!

Siku hizi udugu imekuwa fashoonii ukiona bff nyingi ujue tayari wanatoana cheche..!!
 
Kawaida sana kama vile mashoga,watoa mimba,watelekeza watoto,Wala wake za watu,kusex kabla ya ndoa,kulala na baba zenu,watoto wenu,binamu zenu,kaka zenu,dada zenu....

Ni unafki mnaposhangaa dhambi hii wakati ile mnafanya.Acheni kula mikundu,siyo njia sahihi aliyotuumbia Muumba.

Dunia hii tumezidisha dhambi hakuna majanga tutapona....NA TUTAKUFA VIBAYA SANA
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ adi nmepaliwa na maji
 
Hao watu ni hatari wanajua akushike wapi ili ukolee..!! Anaijua jinsia yetu vizuri na kipi ni kipi, akikukamatia lazima upoteane..! ๐Ÿ˜น
Nlichokiona from confession za watu wengi, wadada wasagaji kwa asilimia kubwa wanajua kutongoza wanawake wenzao, kuliko sisi wanaume, mdada msagaji akitongoza mwanamke mwenzake, mara atampelekea biskuti, mara bites, mara chapati, mara hugs mwishowe mdada anaetongozwa hata kama hakua na feelings za ku-sex na same gender, izo feelings zinamjia Lamomy Dr. Mariposa Jane Lowassa cocastic
 
Kuna viashiria aliviona kwako akaona mnaendana

images (16).jpeg
 
Kawaida sana kama vile mashoga,watoa mimba,watelekeza watoto,Wala wake za watu,kusex kabla ya ndoa,kulala na baba zenu,watoto wenu,binamu zenu,kaka zenu,dada zenu....

Ni unafki mnaposhangaa dhambi hii wakati ile mnafanya.Acheni kula mikundu,siyo njia sahihi aliyotuumbia Muumba.

Dunia hii tumezidisha dhambi hakuna majanga tutapona....NA TUTAKUFA VIBAYA SANA
Ila wadada wasagaji wengi wanajua kutongoza, kama kuna mmoja juzi aliexposiwa na Catherine Kahabi, alishawasaga wadada wenzie at least 17, wanawake walio kwenye ndoa wengi wanamkimbilia..

Wakati kwa mwanaume wa kawaida kupata papuchi ni struggle To yeye
 
Wanaume wanaona tuna mambo mengi that why kuipata sikuiz ngumu
 
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.

Itaendelea.....
Mitano tena.
 
Ngoja nikutongoze mimi nina miezi sita sijaiona papuchi.......can we meet please??
 
Kawaida siku hizi sijui shida ni nini?? Kuna mmoja mimi alinitongoza kanizidi umri halafu ni mzuri mpk nikahisi jini..!!

Ningemchekea ss hivi ningekua natolewa cheche kwenye kiharage ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Waooooooh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hii imeendaaaaaa

Tunasubri shuhuda zaidi.. na zaidi
Brendaaaaaa activity is really
 
Back
Top Bottom