Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

Kikao kuhusu nn? Na nani ana jadiliwa?
Kazi mnayoo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe hapo unajadiliwa kuna jamaa huwa nikicomment kuhusu wewe ananiita pm tunaanza kukuteta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wewe hapo unajadiliwa kuna jamaa huwa nikicomment kuhusu wewe ananiita pm tunaanza kukuteta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Wee em sema kweli?! Taja herufi ya mwanzo ya I'D yake, mengine niachie mie.

Au ananitaka na anaogopaa? Muambie awe huru niko kumsikiliza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aache uoga, em ajiamini bhana. Lol
 
Hivii wee huogopiii eeh? Hukomii tuuh?
Kitakukuta kitu wallah, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ndo unanitishia amani...
Au na wewe ndo kam mjomba wetu yule aliyenikmbia baada ya kutaka kufanya biashara anaanza kupiga chenga..

Akija huki anaandika mara gari yake sijui inafanyaje mara hv mara kile kumbe sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Coca pilau wapi tukale et mi nataka tukale mi siogopi.
 
JF ni pori sio kichaka tena, kaa kimasta
Sasa wee neng'eneka kikulambee, mie nakusanua tuuh.

Pilau litakua kigas, msikiti wa wapemba.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inaonekana wewe ni pisi kali mpaka ke wenzio wanakutamani; mchepuko wangu ilishamkuta hili, adhabu yake ilibidi iwe kumpelekea moto siku nzima.
 
Wee em sema kweli?! Taja herufi ya mwanzo ya I'D yake, mengine niachie mie.

Au ananitaka na anaogopaa? Muambie awe huru niko kumsikiliza. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aache uoga, em ajiamini bhana. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Zamani alikuaanaitwa T sasa hv anaitwa Y
 
JF ni pori sio kichaka tena, kaa kimasta
Sasa wee neng'eneka kikulambee, mie nakusanua tuuh.

Pilau litakua kigas, msikiti wa wapemba.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanini sasa watu wanakua hvo hawajui wanatoa uaminifu.
Kuna mmoja ni verify kabisa ujue
 
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili.

Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki.

Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe kikaratasi. Alipoletewa, akaandika namba yake ya simu kisha akampa mhudumu aniletee.

Wakati natafakari, ghafla akahamia meza yangu akaanza kunitongoza.

Au ni tom boy huyo bi dada
 
Sasa mtu akiwa verified, ndo wee una mtambua? Docs si wanakua nazo JF HQ?
Utakuja kulia vibaya weyee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duuuh hapo sasa lakini mi nikawa najua verified member ni mtu na akili zake bana...
Wewe wewe acha tu an nakuta jamaa daah ngoja nitulie ila watu humu unafiki mwingi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom