Aisee! Shangaa na wewe

Umeona wapi akimpiga?
Umeona wapi aki mbully?
Umeona wapi jamaa akionesha vimada?

Unaongea upuuzi na umbea. Mtu anasema anakunywa sumu. Unamkatazaje?
 
Umeona wapi akimpiga?
Umeona wapi aki mbully?
Umeona wapi jamaa akionesha vimada?

Unaongea upuuzi na umbea. Mtu anasema anakunywa sumu. Unamkatazaje?
Mimi binafsi sijaona kosa la jamaa sababu jamaa hajamgusa huyo mwanamke hata chembe na hatujui story ya nyuma kilichomtuma ajiue.Hao watu ilitakiwa wakae wayajenge.Ila huyo kakimbilia kujiua
 
Mimi binafsi sijaona kosa la jamaa sababu jamaa hajamgusa huyo mwanamke hata chembe na hatujui story ya nyuma kilichomtuma ajiue.Hao watu ilitakiwa wakae wayajenge.Ila huyo kakimbilia kujiua
Watu wengi wana jadili hili jambo kutoka mwisho wa tukoi (out come), lakini hawaangalii na hawataki kujua mwanzo/chanzo (root cause)
 
Hiyo video iko wapi?.
 
Kuna uzi wa jamaa fulani iv aliwah andika kuna watu wengi tu wanazaliwa bila nafsi ,ila wafia dini walimdhihaki mno .
 
Atupwe mahabusu kwa kosa gani??
Soma huo Uzi hapo chini..
πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hiyo nilisha isoma tangu jana mkuu, na hapo yamejaa maoni na mitazamo ya watu binafsi.
Lakini swali langu linabaki palepale kwamba..... huyo DJ whatever akamatwe kwa kosa gani??
 
Haya ni matoke ya zile kampeni za ma super women. Mara mnaambiwa muwe na maamuzi magumu, sasa mwenzenu kafaulu vizuri, kafanya maamuzi magumu. Mmekua na drama drama za kipuuzi, watu wanawachoka. Hata yule aliekua anampa maziwa anaonekana hana hata mshtuko. Maana yake huyo mwanamke alikua mtu wa madrama hadi walimchoka na kuona kawaida yake.

Sasa hivi hatuwapigi hata kibao, maana mnatetewa sana. Mtakua mnajidhuru wenyewe tu huku sisi tukishudia na kurekodi kama DJ wetu pale Kenya. Kuna wanawake wapuuzi watakuja na kusema yule mwamba ana roho mbaya, go to hell.

Upumbavu pro max plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…