Aine -kwa ajili yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aine -kwa ajili yako

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by uporoto01, Aug 3, 2011.

1. u

uporoto01 JF-Expert Member

#1
Aug 3, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Unaweza kuhisi hauthaminiwi,unapuuzwa au hatukujali,unaweza hisi kuna wenye umuhimu zaidi ya wengine hapa JF.Kama umehisi chochote kati ya hivyo naomba radhi kwa niba ya wengine na haikuwa dhamira yetu.Wewe ni muhimu kwetu tunakuthamini,tunakujali na tunakupenda. Shairi la Klorokwini linafata kwenye thread ingine ambayo pia ni kwa ajili yako.

2. Preta

Preta JF-Expert Member

#2
Aug 3, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
tusamehe sana Aine....lakini kaka Uporoto tumemfanyaje Aine?

3. u

uporoto01 JF-Expert Member

#3
Aug 3, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Young sis hebu vuka complaints utaelewa.

4. Mvaa Tai

Mvaa Tai JF-Expert Member

#4
Aug 3, 2011
Joined: Aug 11, 2009
Messages: 6,174
Likes Received: 2,175
Trophy Points: 280
Aine hata mimi niwie radhi nilikuwa Busy sana na mambo mengine siyo kwamba sitambui uwepo wako

5. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#5
Aug 3, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280
Jamani aine smiiiĆ­ile.
Hivi aine ni kidume au kijike?

6. u

uporoto01 JF-Expert Member

#6
Aug 3, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Spanish lady tunajaribu kurekebisha mbona unataka kuharibu ? kuna dume linaitwa Aine kweli ? huyu ni african lady wa haja.

7. Viper

Viper JF-Expert Member

#7
Aug 3, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
haahahaha dah! mmemuanzishia thread kweli...! bado tusubiri # 2 .. maana alisema anachukia kuanzishwa thread ndani ya thread ...

8. A

Aine JF-Expert Member

#8
Aug 3, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 1,613
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Sikuwa na maana yoyote mbaya mkuu, labda thread yangu sijaiweka ktk maana ambayo mngeelewa woooote in a positive way, am sorry if i was misunderstood in this way, na nafikiri hasa niliposema iwe kwa kumsifia mtu, pengine ningesema kwa kumponda mtu tu labda mngeifurahia. anyway am sorry again

9. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#9
Aug 3, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

kuna dume linalotungiwa sredi na dume lenzie tena lenye maneno matamu kama hayo.
Kweli spanish lady nimechoka kufikiria. Lol.

10. Viper

Viper JF-Expert Member

#10
Aug 3, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
No need to be sorry! Aine.. wana JF walikuelewa loud & clear ...

11. u

uporoto01 JF-Expert Member

#11
Aug 3, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
hapana Aine hauna haja ya kuwa sorry tusamehe sisi kwa kutokukuelewa.

12. u

uporoto01 JF-Expert Member

#12
Aug 3, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
hebu sogea pembeni hapa usigongwe na magari ya Dar bure lol!

13. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#13
Aug 3, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,710
Likes Received: 49
Trophy Points: 135
Aine wetu kapendeza, JF anang'ara
vishavu kama vichenza, tena havuti sigara
akiwezeshwa anaweza , Dodoma hadi mtwara
Wale wanaombeza , Mungu awape madhara

Wengi wanamgombea, mimi pia uporoto
Sredi tumemuanzishia, JF haina majotro
Mtoto ametulia , hehe klorokwini si mseto
Wengine wanadandia, wewe ndie wangu mto

Dah! nitamalizia baadae, swaumu ya leo kali, vina havikuji.

14. Mpatanishi

Mpatanishi JF-Expert Member

#14
Aug 3, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 1,709
Likes Received: 43
Trophy Points: 145
duh ww kweli mkare bt humshindi Magulumagu, NN na MM.

15. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#15
Aug 4, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

hahahahahaha! Kloro shairi limetulia. Lol.

16. u

uporoto01 JF-Expert Member

#16
Aug 4, 2011
Joined: May 23, 2008
Messages: 4,741
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Miss Mpwapwa nawe mtungie shairi basi la kumvuta kundini Aine mrembo wetu wa wiki.

17. WiseLady

WiseLady JF-Expert Member

#17
Aug 4, 2011
Joined: Jan 22, 2010
Messages: 3,248
Likes Received: 16
Trophy Points: 135
Lolz! Nimecheka sana,we Uporoto na kloro mmeniongezea nguvu! Hus nimekumiss kiukweli..

18. First Born

First Born JF-Expert Member

#18
Aug 4, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145

ahaaa!!! Kumbe unapenda kuwekewe thread kwa jina lako?

19. TANMO

TANMO JF-Expert Member

#19
Aug 5, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 8,919
Likes Received: 219
Trophy Points: 160

hahahahaaa, you rock....

20. Mamndenyi

Mamndenyi JF-Expert Member

#20
Aug 5, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 29,103
Likes Received: 6,567
Trophy Points: 280
Aine kwani walikufanya nini bana; hebu tupe dodoso.

Loading...