Aina za single mother

Huyu raisi naye ni type gani
 
Yaan kila nikiona nyuzi zinazotweza mwanamke, hasa single moms, afu ikatokea na hoja ya Ushoga/mashoga ndani yake, huwa napuuza kabisa.

Ni kwamba haiwezekani mkawa mnajadili hayo masuala yenu ya nyie wenyewe bila kuhusisha ushoga/mashoga? Lol
 
You can use swahili, don't be culturally slave
the statistics states that people born in a single parent family have 60 % Chance of returning back to form a single parent families, that is 3 times the normal people.And the funny side the remaining 40 %cut into half in 5-10 years



data is data
 
Sasa si ungetafuta binti asiye na mtoto, umerudiaje kosa lile lile la kuoa single mother?
 
Sasa si ungetafuta binti asiye na mtoto, umerudiaje kosa lile lile la kuoa single mother?
Formation ishabadilika mkuu tunapotezeana tu muda sina issue serious tena na mambo ya kuoa hapa duniani.
Ndio maana nachukua hawa hawa wajuaji ili tupotezeane muda vizuri
Kifupi tusongeshe life kiaina hapa duniani. Life is too short Nigga.
After all marriage is a scum so avoid it by any means.
 
Duuuh....
Mnawasinga saana wanawake wenye watoto.

Ni kwasababu tu ndiyo wanabeba ujauzito ila raha ya kupata hao watoto wamefanya na wanaume.
Hawawasimangi ila kinachojadiliwa ni effects zinazotokana na single maza.
 
Kuna single mother ambaye anaishi na mume physically ila kimoyo mume hayupo moyoni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojaliwa
 
MAJORITY YENU HUMU NI WATOTO WA SINGLE MAZA WENGINE HATA BABA ZENU HAMUWAJUI KUTWA KUWASIMANGA SINGLE MOM,

SHUKURUNI GOOD FATHERS WALIO WASAPOTI MAMA ZENU, KUWA HAPA MLIPO!!

SINGLE MAZA AHESHIMIWE!
Matokeo ya yote haya ni dhambi, tusisahau hiyo.

Tunajadili matokeo ila tunasahau nimi sababu, maandiko yote (misaafu) haitoi hafueni ya dhambi ila sisi ndiyo tunapeana moyo tu humu.

Mshahara wa dhambi ni mauti, hizi mambo tunasema kitanda hakizai haramu ni sisi tu!.
 
Dah, pole sana
 
Nakuelewa sana.
 
hivi mwanamke aliyeachika na kuwaacha watoto kwa mme wake bado ataitwa single mother huko aendako!
Kuna mara 2,
Je walivyoachana, walitakiana?
Kama hawakupeana talaka, kisheria hiyo mwanamke siyo huru.
Ila kama walipeana talaka, yuko huru kabisa ila ukweli atakua na mtoto tayari na haishi nae.

Pili, kama watoto wako kwa baba yao, basi ujue mwanamke atataka tu kuwaona hao watoto. Hapo ni inabidi uwe mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…