Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,196
- 33,730
- Thread starter
-
- #101
πππππTuwe tunawaoa isivyo rasmi yaani Kwa mdomo huku tukiwapa matumizi madogo madogo!!
Kuna wengine so caring aiseh halafu wasafi III hawanuki mikojo!!
Single ma'am's ukimsalilimia halafu ukasema "mwanangu hajambo!!?hasta kama sio wako aiseh umemaliza kazi hapo!ni location tu kwakweli huku kyerwa Rwenkorongo!!!
Anakuaga na mtu wakeDaaah kweli dunia haina huruma...
Ila kuna single maza wengine ni wapambanaji yaani naweza sema ndo feminist sijui..
Mfano nina ndgu yangu an yeye hana shobo na baba wa wanawe kwanza yeye mwenyewe ni jeshi tosha aiseeee...
Ila kwenye upwiru sijui anamaliza vipi aiseeee π π π π
Sijazaa bado..na hii ndio kasoro ya singo maza. Akiambiwa facts anaona anasimangwa
Yani mpaka nmekosa nguvuAchana nayo hayo matakataka wala yasikuumize roho! Huyu jamaa ana scenarios za kipumbavu naweza kusema hivyo! Yote aliyoeleza hapo hakuna hata moja la ukweli!
Sawa watashauriana mana mm bado sijazaaShaurianeni kwa ukweli bila wivu.
Wanaume kushauriana juu ya singo maza ni kweli tupu, ila wanawake wanafanganyana sana.
Anhaa sawasawaAnakuaga na mtu wake
Sijazaa bado
Yani mpaka nmekosa nguvu
Sawa watashauriana mana mm bado sijazaa
Kwahyo umetujibu wote kwa pamoja..Anakuaga na mtu wake
Sijazaa bado
Yani mpaka nmekosa nguvu
Sawa watashauriana mana mm bado sijazaa
Aah wapi wewe mwehu ..mwenye pesa hawezi Kuja mitandaoni kukoroma ovyo na kufoka ovyo..huna pesa ndio tatizo, ukiwa na pesa Hawa single mothers unawatunza vizuri tu na wakikuelewa wanakuzalia na WA kwako, kwani sio binadamu..? Tatizo huna hela , halafu kama I'd yako inasema unatafuta ajira..Sasa sijui ni stress za kukosa ajira...hizo stress za ajira mpelekee mama Samia , waache single mothers watulie , wewe tafuta ajira kwanzaPesa ipo dogo
Pesa ipo dogoAah wapi wewe mwehu ..mwenye pesa hawezi Kuja mitandaoni kukoroma ovyo na kufoka ovyo..huna pesa ndio tatizo, ukiwa na pesa Hawa single mothers unawatunza vizuri tu na wakikuelewa wanakuzalia na WA kwako, kwani sio binadamu..? Tatizo huna hela , halafu kama I'd yako inasema unatafuta ajira..Sasa sijui ni stress za kukosa ajira...hizo stress za ajira mpelekee mama Samia , waache single mothers watulie , wewe tafuta ajira kwanza

Vipi umesahau kulog out kwenye I'd yako hii nyingine πππHuu Uzi ni kwa ajili yako Dogo nilikuwa nawasubiri walengwa nawe umekuja halaka sijui kama umekumbuka kunawa baada ya kunya.
Piga chini Lisingo maza hilo!
Aah wapi wewe mwehu ..mwenye pesa hawezi Kuja mitandaoni kukoroma ovyo na kufoka ovyo..huna pesa ndio tatizo, ukiwa na pesa Hawa single mothers unawatunza vizuri tu na wakikuelewa wanakuzalia na WA kwako, kwani sio binadamu..? Tatizo huna hela , halafu kama I'd yako inasema unatafuta ajira..Sasa sijui ni stress za kukosa ajira...hizo stress za ajira mpelekee mama Samia , waache single mothers watulie , wewe tafuta ajira kwanza...na unaonekana kikatuni sababu huna mbele Wala nyuma...unataka kumtomba Bado tena akulishe akuvishe , wewe umekaa tu kama puto hata hujishuhulishi hata kununua mkate huwezi.. akikunyima , unakuja mitandaoni kuwatukana. Grow the fuk up!! ππPesa ipo dogo
We Jamaa umeongea kutoka moyoni sanaMoja ya mambo ambayo siyaelewi kabisa ni kuwa baba wa kambo. Just imagine unacheza na mtoto ambae sio wako halafu mama mtoto anakuangalia huku akikuona kama katuni fulani
Ndio hivyo Sasa ..Sasa wanapenda umario ila saivi hawatakiwi kwaio stress zao wanakuja kuleta kwenye mitandao kama hivi kuanza kuwatukana wanawake πMkuu anapenda u edit your comment uongeze neno tafuta pesa kwa kufanya kazi..
Na kazi yenyewe iwe ya kuvuja jasho.
Mfano usimwambie atafute pesa alafu aende kusema anafanya forex...
Sifa ya mwanaume tafuta pesa kwa kuvuja jasho..
Fanya kazi ya kuvuja jasho mfano
Saidia fundi...
Kazi za ujenzi barabarani
Kutembeza maji
Na kazi mbali mbali
Sheeenziiii kabisaNdio hivyo Sasa ..Sasa wanapenda umario ila saivi hawatakiwi kwaio stress zao wanakuja kuleta kwenye mitandao kama hivi kuanza kuwatukana wanawake π
Hatuna kazi za kufanya mkuu...
Yaani hatuna kazi za kufanya tuvuje jasho
π€£π€£π€£π€£
Add ahahaha jamaa mvivu wa kutembeza nyanya na kulimaHizi facts ni wazi jamaa alitumia muda mwingi sana kufikiri na kufanya tafiti. π
πππUkiweza kuishi na single mother, motoni utaishi fresh kabisa
Level ya kutafuta hela nimevuka sasa ni muda wa kuzilinda hela nyang'au kama wewe ukiingia kumi na nane zangu nakufanya msukule uwe mlinzi wa hela zangu.Vipi umesahau kulog out kwenye I'd yako hii nyingine πππ
Tafuta hela uache kua na muda wa kuwasimanga wanawake mitandaoni. Naelewa stress za kukosa hela zinavyokua. Sasa sikuhizi hawachukui nyinyi Marioo, Sasa hasira mnakuja kumalizia huku kuwatukana,,tafuta hela Mdogo wangu halafu ukue kiakili uwe matured ili uishi na mwanamke yeyote kwa amani. πππππ