Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Husninyo unasema kweli?:violin:
Shem mbona unamuuliza mke wangu kwa msisitizo kiivo ? Ina maana humuamini au? Una mpango gani?
Husninyo unasema kweli?:violin:
Niko kwenye number one, lakini my next target kuoa mke wa pili, lazima niende kwenye number two :violin:
Ayo magroup umetoa wapi>?mbona hakuna tofauti kati ya group 1 na lingine?
Hayo ni matamanio ya wanaume wengi tu, ila mazingira pamoja na mambo y Beijing yanatubania!!
Hata mie ungenirusha miaka kama 20, haki ya nani ningeongeza mke hata kama ingenilazimu kuokoka!!
Mwanamke mmoja bwana hatoshi.......(hapa najua kuna watu watatamani wanimeze....ila mie naongea kama kidume cha 1947 na naomba mnisamehe in advance)!!
Babu DC!!
aiseeeee
kumbe