Aina za Ndoa ....

Aina za Ndoa ....

Kuna Ndoa za maono/kuoteshwa.Hizi zipo kanisani tu kwa walokole.Kijana anamwambia binti direct au kupitia mchungaji kuwa Bwana amemuonesha maono kuwa ndiye mkewe.Ndoa nyingine huwa zinaendelea lakn nyingine zinakufa pale kijana ''anapopewa maono'' mengine pindi binti mzuri mwenye upako anapokuja kanisani.
 
Hahahaha....Dah!.... Hapo naona panakuwa hapana

:hug:
The POWER of LOVE !!!!
 
Vipi zile Ndoa za kumpenda mtu kwa sababu ni kiongozi/Mtumishi/Mwinjilist/Mwimbaji/Mwanasiasa....... siku akiacha hivyo vyote sijui Ndoa inaendaje!?
 
Kuna Ndoa za maono/kuoteshwa.Hizi zipo kanisani tu kwa walokole.Kijana anamwambia binti direct au kupitia mchungaji kuwa Bwana amemuonesha maono kuwa ndiye mkewe.Ndoa nyingine huwa zinaendelea lakn nyingine zinakufa pale kijana ''anapopewa maono'' mengine pindi binti mzuri mwenye upako anapokuja kanisani.

ZD,

Hui ni usanii tu...Siwezi kuelewa ni jinsi gani mtu anakuja na kauli kama hizo iwapo siyo tamaa ya kuvuana tu!!

Babu DC!!
 
Ndoa yako ni ya aina gani katika haya magroup?

1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme

2.Ndoa za Kulazimisha
Hizi ni zile ndoa binti anaweza kuamua kubeba ujauzito na kutumia kama kigezo cha kuolewa
Na mwanaume anaamua kuoa kwa sababu tu hana namna (Hapa mnaweza kuongeza maana sababu ni nyingi sana.

3.Ndoa za kutamaniana.
Mmeajikuta katika tamaa za kimwili mmeendelea na kutamaniana hatimae inafikia hatua mnawekana ndani..
Matamanio yakiisha kasheshe zinaanza

4. Ndoa za Madawa
(msinipige mawe heheh)Hizi mambo zipo bwana vibinti vya siku hizi vinakamata watu kwa kuwatumia kalumanzira basi dawa zikishindikana kurenew kasheshe zinaanza ndani ya nyumba..mara ooh mara eeh.

5. Ndoa za kuoneana huruma- By PakaJimmy

Unakuta binti anakusimulia maisha aliyopitia...magumu sana, na hakika anatamani asingezaliwa!..
Ukimsikiliza kwa umakini waweza kata shauri kumuoa!

Bibi yangu alikuwa ananipa hili somo na kuniuliza mjukuu wangu wewe upo Kundi gani katika haya ?

Kazi kwenu wana MMU

Umeisahau ndoa ya mkeka FL, wazazi wakiona mtoto wao haolewi basi wanakula dili tu, ole wako ukutwe nae geto kwako, unaoa kwa lazima. Wanakuja na udi na shekhe ready for marriage.
 
FL1
Naona labda me ni mzito kidogo kuelewa. Hivi ndoa ya kina *** walioenda "age" na kujikuta wanazoa chochote kinachokatiza anga zao (mathalan hata changudoa) zitakua kwenye category gani..
 
Ndoa zingine kijana alizaa kabla ya kuoa akampata dada wa kazi wa kumlelea mtoto, akiona dada anamlea mtoto wake vizuri na wanapendana na mtoto anaamua kumuoa kwa kujua mtoto wake hatateswa.
 
Ndoa za FAMILIA KUPENDANA!...
Unakuta familia mbili zimekuwa na urafiki wa aina yake....wanakuwa wametengeneza undugu kabisa...Sasa kama kuna vijana rijali wanaamua kufanya kweli kutokana na loophole ya urafiki wa hizi familia, na wazazi automatically wanalipokea wazo hilo!

Hii iko powa mzeya, maana watakuwa wameamua wenyewe. Kuna kufahamia kifamilia, mkaozeshwa kifamilia, familia wakati nyie wenyewe wala mlikuwa hampendani, naona hii ndo mbaya.
 
Kuna Ndoa za maono/kuoteshwa.Hizi zipo kanisani tu kwa walokole.Kijana anamwambia binti direct au kupitia mchungaji kuwa Bwana amemuonesha maono kuwa ndiye mkewe.Ndoa nyingine huwa zinaendelea lakn nyingine zinakufa pale kijana ''anapopewa maono'' mengine pindi binti mzuri mwenye upako anapokuja kanisani.

hahahaha ..Kijana akipewa maono mapya anabadilisha muelekeo??
 
FL1
Naona labda me ni mzito kidogo kuelewa. Hivi ndoa ya kina *** walioenda "age" na kujikuta wanazoa chochote kinachokatiza anga zao (mathalan hata changudoa) zitakua kwenye category gani..

SI Unit hii ni ngumu kuing'amua

Naomba kwa hisani na taadhima
Pakajimmy
Aspirin
Babu DC watwambie inagota wapi..
 
Vipi zile Ndoa za kumpenda mtu kwa sababu ni kiongozi/Mtumishi/Mwinjilist/Mwimbaji/Mwanasiasa....... siku akiacha hivyo vyote sijui Ndoa inaendaje!?

Ndoa za kugushi..
Nadhani kwenye namba mbili ambayo imebeba mambo mengi..
Hapa mtu akifulia hakuna ndoa...
 
SI Unit hii ni ngumu kuing'amua

Naomba kwa hisani na taadhima
Pakajimmy
Aspirin
Babu DC watwambie inagota wapi..

Hayo ni mambo ya kukamatishana tu a.k.a kuuziwa kanyaboya!!

Mtu keshamaliza mitaa yote sasa anatafuta pa kujibanza!!

Babu DC!!
 
ndoa yangu itakuwa kwa ajili ya kupata watoto tu, kama kidume wangu hana uzazi
najiondekea fasta
 
ndoa yangu ilikuwa ya kutamaniana tu lakini sasa dah!imenikamata sasa sijui ndio nimesha ingia ktk ndoa nyingine?
 
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme

3.Ndoa za kutamaniana.
Mmeajikuta katika tamaa za kimwili mmeendelea na kutamaniana hatimae inafikia hatua mnawekana ndani..
Matamanio yakiisha kasheshe zinaanza

[/QUOTE]

Mimi yakwangu imetokana na mseto wa makundi hayo mawili ila inasaidia ndoa kutokuvunjika kutokana na ndoa kundi la kwanza.
 
Ndoa za kubakana....

Hizi zilikuwa zinafanyika sana kule kwetu Moshi hasa kipindi cha Christmass misa ya usiku.

Unavizia kabinti kametoka church unakatupia mgongoni. Kakiingia room unakabaka, kesho hakaondoki ndo imetoka hivyo.

umenikumbusha kibosho siku moja nilienda kusalimia ndugu maana baadhi ya ndugu zetu ni wakibosho yaani kuna bibi mmoja aliyezaliwa na bibi mzaa baba yangu kaolewa kibosho sasa nilienda kuwasalimi kipindi cha krismas tukaenda misa ya usiku, tukiwa kanisani padri akaonya sana juu ya vijana wanaoowa kwa mtindo huo na wanaishi na hao wasichana mpaka wakati wa pasaka wanafunga ndoa za pamoja akakemea sana na kusema ole wao watakao owa leo. duh utafikiri padri ndio aliwakumbusha vijana kuoa siku hiyo maana kwa habari zilizopatikana kijijini kuanzia kesho yake ni kwamba zaidi ya waichana 35 waliolewa kwenye mkesha wa krismas.
kumbe jamaa wanakodisha vijana wa kukusaidia kubeba kabisa yaani nilishangaa sana maana ndio kwa mara ya kwanza nilisikia hiyo na ukizingatia kwamba nnilizalia mjini na kukulia mjini niliona kuwa vijijini kuna mambo ya ajabu sana.
nilipokuwa naongea na baadhi ya wanakijiji na kuwaambia kwanini msichana aolewe kwa staili hiyo na baada ya kulala kwa mwanamme kesho yake asirudi kwao nikifikiri kuwa basi nayeye alikuwa akiisubiri hiyo siku kwa hamu nikaambiwa kuwa kule kijijini ukishabeba kwanza ni aibu sana kurudi nyumbani hata wazazi watakufukuza na huwanda ikawa umejiti mkosi usiolewe tena maana wana kijiji wote watakuhesabia kuwa umeolewa na umetoka kwa bwana yaani kumbe ni ndoa halali kabisa na si ubakaji
 
Back
Top Bottom