Men out there!
I think there should be certain value attached to so called LOVE thing!...hii ni kwa nia njema tu!
Penzi kama penzi parse lina tabia ya kutarnish, ku'degenerate, kuwa 'pale', na kupungua gradually!..kuna sababu mbalimbali za hii kitu, na ni sababu very genuine and unavoidable!
Take an example wakati mamaa anapokuwa katika kulea kichanga, kwa uzoefu nyakati hizo mama anatoa attention ndogo sana kwa mume...70% ya muda wake inakuwa kwa mtoto, na ukimbugudhi utaipatapata!..Hii ni kawaida kwa wanyama wote, wanapokuwa kwenye kulea wanakuwa wakali sana...kuku anayelea vifaranga anakuwa too protective kwa wanae!
Sasa wakati kama huo inabidi kuwe na situation fulani inayoshikilia ndoa yenu, maana penzi linakuwa limepewa likizo ya muda!
Ndipo hapo vinapokuja vitu kama uwezo, uzuri, na qualities zingine, na ndizo hushikilia penzi lisisambaratike!
Nadhani niko sahihi kwa kiasi fulani!