roja24
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 634
- 410
ndoa yangu itakuwa kwa ajili ya kupata watoto tu, kama kidume wangu hana uzazi
najiondekea fasta
Marry iyo siyo ndoa bali ni mtazamo a.k.a matamanio. Unaweza kuzaa mtoto hata kama hauko ndani ya ndoa
ndoa yangu itakuwa kwa ajili ya kupata watoto tu, kama kidume wangu hana uzazi
najiondekea fasta
Hayo ni mambo ya kukamatishana tu a.k.a kuuziwa kanyaboya!!
Mtu keshamaliza mitaa yote sasa anatafuta pa kujibanza!!
Babu DC!!
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme
3.Ndoa za kutamaniana.
Mmeajikuta katika tamaa za kimwili mmeendelea na kutamaniana hatimae inafikia hatua mnawekana ndani..
Matamanio yakiisha kasheshe zinaanza
Oyaaaa.... mbona nyie hamtaki kusema ndoa zenu ni za aina gani?:thinking:
Ndoa yangu na judgement ni ndoa ya mapenzi.
hahahaha Da Huyu ndio Babu DC
Haya mambo ni magumu dada yangu, mtu unaweza tu kuusemea moyo wako pasipo na shaka lolote....
Hayo maneno tunayoambiwa na wenzetu yangekuwa ya kweli dunia ingekuwa mswano...Kusingekuwa na heart breaking za ajabu...!!
Kusemwa kweli, mie ndoa yangu ilikuwa na mchanyato wa 1-3, labda na namba 5 pia!!
Ingewezekana, ningemuuliza Bibi DC naye atueleze ndoa yake (kwa maoni yake binafsi) ni nambari zipi???
Babu DC!!!
hivi ni kweli mwanaume anaweza kulazimika kuoa kisa mimba tuuu? hapo sijaamini!! lazima atakuwa amependa huyo sio hivi hivi tu.

naongezea namba 6:Ndoa yako ni ya aina gani katika haya magroup?
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme
2.Ndoa za Kulazimisha
Hizi ni zile ndoa binti anaweza kuamua kubeba ujauzito na kutumia kama kigezo cha kuolewa
Na mwanaume anaamua kuoa kwa sababu tu hana namna (Hapa mnaweza kuongeza maana sababu ni nyingi sana.
3.Ndoa za kutamaniana.
Mmeajikuta katika tamaa za kimwili mmeendelea na kutamaniana hatimae inafikia hatua mnawekana ndani..
Matamanio yakiisha kasheshe zinaanza
4. Ndoa za Madawa
(msinipige mawe heheh)Hizi mambo zipo bwana vibinti vya siku hizi vinakamata watu kwa kuwatumia kalumanzira basi dawa zikishindikana kurenew kasheshe zinaanza ndani ya nyumba..mara ooh mara eeh.
5. Ndoa za kuoneana huruma- By PakaJimmy
Unakuta binti anakusimulia maisha aliyopitia...magumu sana, na hakika anatamani asingezaliwa!..
Ukimsikiliza kwa umakini waweza kata shauri kumuoa!
Bibi yangu alikuwa ananipa hili somo na kuniuliza mjukuu wangu wewe upo Kundi gani katika haya ?
Kazi kwenu wana MMU
Mkuu,kikubwa mmedumu na mna wajukuu.Thank God for that.Haya mambo ni magumu dada yangu, mtu unaweza tu kuusemea moyo wako pasipo na shaka lolote....
Hayo maneno tunayoambiwa na wenzetu yangekuwa ya kweli dunia ingekuwa mswano...Kusingekuwa na heart breaking za ajabu...!!
Kusemwa kweli, mie ndoa yangu ilikuwa na mchanyato wa 1-3, labda na namba 5 pia!!
Ingewezekana, ningemuuliza Bibi DC naye atueleze ndoa yake (kwa maoni yake binafsi) ni nambari zipi???
Babu DC!!!
naongezea namba 6:
Humpendi,sura mbaya,likitambi hiloo,ananuka kikwapa,jogoo haliwiki.......lakini anaishi bahari beach,ana vx,likizo zake south africa,wazazi wakikohoa kidogo india,binti mrembo unaona hapa si ndo penyewe? tuihiteje hii ndoa? mi naiita ndoa ATM.
Ndoa yako ni ya aina gani katika haya magroup?
1.Ndoa za mapenzi ..
Hapa ni ile true love ambayo wote mnajikuta mmependana na hatimaye kuamua kuwa mke na mme
2.Ndoa za Kulazimisha
Hizi ni zile ndoa binti anaweza kuamua kubeba ujauzito na kutumia kama kigezo cha kuolewa
Na mwanaume anaamua kuoa kwa sababu tu hana namna (Hapa mnaweza kuongeza maana sababu ni nyingi sana.
3.Ndoa za kutamaniana.
Mmeajikuta katika tamaa za kimwili mmeendelea na kutamaniana hatimae inafikia hatua mnawekana ndani..
Matamanio yakiisha kasheshe zinaanza
4. Ndoa za Madawa
(msinipige mawe heheh)Hizi mambo zipo bwana vibinti vya siku hizi vinakamata watu kwa kuwatumia kalumanzira basi dawa zikishindikana kurenew kasheshe zinaanza ndani ya nyumba..mara ooh mara eeh.
5. Ndoa za kuoneana huruma- By PakaJimmy
Unakuta binti anakusimulia maisha aliyopitia...magumu sana, na hakika anatamani asingezaliwa!..
Ukimsikiliza kwa umakini waweza kata shauri kumuoa!
6.Ndoa ya kudimba dimba. By Ashadii
Nje hawa watu ni perfect couple... Ila humo ndani kila mtu na maisha yake; wanakua tu na an understanding, kama mtu anafanya upuuzi iwe mbali na isijulikane na vice versa. Mara nyingi hii inakua as a result ya kuchokana kabisa na kutopendana na wote wakakubali hali halisi. Hivo badala ya kuondoka hapo na kuanza upya wanaona waendelee kushare hasa vile walivochuma pamoja ili mradi nje wasijue hilo.
Bibi yangu alikuwa ananipa hili somo na kuniuliza mjukuu wangu wewe upo Kundi gani katika haya ?
Kazi kwenu wana MMU
Husninyo unasema kweli?:violin:
Tuiite ndoa ya Bishamga.naongezea namba 6: