Aina za Ndoa ....

umesahau hii ya kwangu.
Ndoa ya kuiga
Mi ndoa yangu ni ya kuiga baada ya kuona jamaa angu kaoa na mimi nikamuua kubeba bar made na kuweka ndani awe anapika na kupakua nacho kipata kwenye hii ndoa najuuta kumfahamu.

Kweli JF ni kisima cha burudani

Mende0 Utaishi maisha hayo milele..? teh teh pole sana
 
Mh namba 2 noma, baada ya kuwa ushapata mtoto vituko vinaanza oooh me nilikuona tu kwa sababu ya mimba, na mimba iliingia bahati mbaya. Wewe c chaguo langu kamwe! hii sentensi live aliambiwa rafiki yangu... INAUMA JAMANI.... we acha na usiombe yakupate
 
Obvious ni first class...world class.....or something! Baada ya vimiminika I would be more able to speak it out

Nitarudi kwako saa mbili kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki nikute umefunguka Ndahani.
 
Hii Ndoa ya Mkeka labda Babu DC na Asprin wataielezea kwa ufasaha

Hahahahahahah,

Ndoa ya mkeka ni balaa....Kuna jamaa yangu alienda baa maeneo ya Kurasini Shimo la Udongo, akabeba mfungua vizibo (bar maid) kumbe kaingia mtegoni...kesho yake alfajiri team ikaingia kwake...bahati nzuri alikuwa ameenda kiosk kununua sigara. Ile anarudi tu, akastuliwa kwamba tayari keshavamiwa na askari wa kukodi...Ilibidi apotee na wadau tukaenda kuwafukuza wale wazee kwamba mtu aliyekuja na binti yao aliazima room na sasa keshaenda zake kazini. Wazee wa watu wakaondoka kwa aibu na ubani wao!!

Hata hivyo ningewahi kuja huku pwani (enzi za ujana wangu), ningezitumia hizi ndoa kufanyia majaribio kwa sababu siamini kama naweza walau kuishi na mwanamke wa namna hiyo kwa zaidi ya week moja!!

Babu DC!!
 
fazaa unataka kuongeza mke

Hayo ni matamanio ya wanaume wengi tu, ila mazingira pamoja na mambo y Beijing yanatubania!!

Hata mie ungenirusha miaka kama 20, haki ya nani ningeongeza mke hata kama ingenilazimu kuokoka!!

Mwanamke mmoja bwana hatoshi.......(hapa najua kuna watu watatamani wanimeze....ila mie naongea kama kidume cha 1947 na naomba mnisamehe in advance)!!

Babu DC!!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom