Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

Ila ninauhakika 12M napata mkononi ambayo haina yowe, mfano nikienda showrooms za mliman city pale siwezi kosa, jana niliongea nao wakaniambia nifike ofisini
Yeah 12M ni budget nzuri , hapa hata kwa gari used unapata namba E za mwanzo kabisa ambayo haijakaa muda mrefu kwenye mkono wa mbongo
 
Gari nzuri ya kuanzia maisha ni IST na kama wewe ni mtu wa safari za mkoa to mkoa chukua ile ya engine kubwa itakufaa sana.
Enheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance.

Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia kidogo nizimie.

MSA
 
Chukua Rav4 mkuu..
Hakuna gari yenye service n maintenance ndogo kama tunavyowaza, labda uweke spare za hovyo hovyo na hapo gari inakufa mapema...
Gari nyingi ndogo hizi zikifika 100k km huanza kusumbua
 
Toyota Alex au RunX zenye Cc 1490 ukipata hata ukitaka safari ya Dar Mwanza unaenda nayo fresh tu , na kwa misele ya town ni uhakika pia , binafsi naona ni gari nzuri mbadala wa IST , hizi IST zimeshakua kwenye midomo ya watu sana unakuta mtu hana hata baiskeli ila anaipondea, kwahiyo ili uwachanganye unatinga na Allex au RunX
Chawa pro max toyota alex wakati boss zako wanapeta na vxr landcluiser lastest mwisho utaangukia kwenye baiskeli
 
Mkuu IST ndio gari sahihi ya kuanzia maisha kwa mnyonge.

Japo kuwa wenye magari mengine watakudharau sana ila mwenyewe utakuwa na furaha
Wanawake wa mjini pia watakudharau san ila wa uswahilini watababaika sana na wewe.
 
Back
Top Bottom