Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,671
- Thread starter
- #41
Kuna F na XHapo chukua bingwa wa misele, sio mwingine I.S.T..
Kuna F na XHapo chukua bingwa wa misele, sio mwingine I.S.T..
Toyota zinaanzoa Passo to Lc 300Kama una uhitaji na gari chukua Toyota, ndiyo nimesema Toyota
Duuh mtu anataka ushauri wa gari ww unamwambia anunue kiwanja unajuaje kama hana?Toyota Corolla, Toyota Probox, Toyota Carina
Ila kama huna familia usinunue gari, Kanunue kiwanja au anza biashara
Kama hujui biashara kanunue hata UTT, just do anything to increase your future cashflows.
Ma CC makubwa hapana mkuu1. Miss Tz ( 2390cc 2aZ Engine) Rav 4.
12M kakaMkuu sasa unaomba ushauri unasema una budget flan na budget yenyew husemi ni sh ngap kuna watu wanaanza maisha na prado safi za 120m na wengne wanaanza na gari za 4m uwe unasema ulichonacho ili hata mtu ajue anakushauri vp
Inategemea na anaishi wapi, kama ni Dar anunue gari tu kwanzaToyota Corolla, Toyota Probox, Toyota Carina
Ila kama huna familia usinunue gari, Kanunue kiwanja au anza biashara
Kama hujui biashara kanunue hata UTT, just do anything to increase your future cashflows.
Subaru non turboMitsubishi outlander
Premio X mkuu bonge la gariKuna F na X
Ungekua na akili usingekuja kwenye post yangu ungetoa ushauri kwa mhusikaAcha ujuaji,mtu anakuuliza gari gani ya kuanzia maisha we unamtajia viwanja..
Kwani kakuambia anashida ya U.T.T?
Duuh 16L/Km ndio gari ninazotaka....asante sana kakaGari yoyote ya Toyota inayotumia Engine 5A FE.
Sifa za gari la engine hiyo kwanza inadumu pili inafatumia mafuta vizuri tatu ukiwa jirani na mafundi wakati wanatengeneza mara kwa mara mwisho wa siku utaweza ata wewe mwenyewe kushusha injini na kuoverhaul yaani ni injini ambayo hautachukia kumiliki gari yaani utafurahi kumiliki gari maana kuanzia matumizi ya mafuta na kudumu utafurahi wastani wa matumizi ni 16km kwa lita na engine kama unazingatia service ni kilometres 500,000+ itadumu
Mh kwakweli sijui mimi nina vijana wangu tu wajuaji kidg hapa mjini hivyo nitawatumia hao hao.....Nami naomba kuuliza Swali, Showroom ipi inaaminika hapa bongo?
Nataka niruke na Subaru Forester, nimeuza kiwanja baada ya kupata uhamishoMh kwakweli sijui mimi nina vijana wangu tu wajuaji kidg hapa mjini hivyo nitawatumia hao hao.....