Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,671
- Thread starter
- #21
Baba ikuwa na Cresta Gx100 hilo gari alinipa ila nilikrudishia kwanza aishi nalo.....li mzimuGrand mark 11 (110)
Baba ikuwa na Cresta Gx100 hilo gari alinipa ila nilikrudishia kwanza aishi nalo.....li mzimuGrand mark 11 (110)
Nina shida na gariAcha ujuaji,mtu anakuuliza gari gani ya kuanzia maisha we unamtajia viwanja..
Kwani kakuambia anashida ya U.T.T?
Runx kesho au J3 naenda showroom kuuliza ABDC nasikia ni kizuriRunx = Corolla.
Salute kwako Mad Max najua unajua kwanini nimesaluteRunx = Corolla.
hizi ndiogari sasa jitahidi uje huku achana na wajapan gari za masikini hizoSiwezi thubutu mkuu nyie ni matajiri
Mchawi bei tuRunx kesho au J3 naenda showroom kuuliza ABDC nasikia ni kizuri
Naona huku Market place used zinaanzia 7M+ 12MMchawi bei tu
Mazda Dr toyota aliniambia zina keleleBoss upo fast now una nunua gari? Nunua mazda zile fupiii
Kaka shida kipato sisi walamba nyayo bado tunajitafutahizi ndiogari sasa jitahidi uje huku achana na wajapan gari za masikini hizo
Toyota ist the best au vitsMazda Dr toyota aliniambia zina kelele
Hahahaha jamaa analeta ujuaji kwenye maisha ya watu?Acha ujuaji,mtu anakuuliza gari gani ya kuanzia maisha we unamtajia viwanja..
Kwani kakuambia anashida ya U.T.T?
tafuta gari inaitwa premio utanishukuru mkuu.Kaka shida kipato sisi walamba nyayo bado tunajitafuta
CC ngapitafuta gari inaitwa premio utanishukuru mkuu.
HahahahaHahahaha jamaa analeta ujuaji kwenye maisha ya watu?
1500 cc engine 1nzCC ngapi
Chaguo langu la kwanza la pili ni RunxHapo chukua bingwa wa misele, sio mwingine I.S.T..