FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Kwa hiyo kwako wewe Makamu wa Rais Dr Bilali ni mwanamke? Vituko vyako ni zaidi ya habari!
Hapana, Bilali maarufu na hilo jina nnalijuwa, lakini hiki la Bigurube mie siku zote humu nadhani la kike, mbona mnayakuza haya nami nimeshampa pole Bigurube?