Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Upo thread humu Manyerere na mwenzake wanalalamika kudhulumiwa hela zao na Mengi, wanatafuta msaada kwa wadau ili walipwe fedha zao!
Bigurube, wapi nalalamika kudhulumiwa na Mengi? Unapojadili mambo kuwa makini. Usiweke hisia zako kwenye masuala ambayo unayemsema wala hahusiki nayo.
 
Kama Msacky kaondolewa basi gazeti linaondoa wachafuzi kiaina.
Msacky si yule mshauri mkuu wa Mzito Kabwe kwenye uhujumu ?
 
Francis Nanai amepenyezwa na TISS kushusha umakini wa MCL dhidi ya serikali hasa kwa uchaguzi mkuu 2015. Baada ya hapo watampa jimbo la Busega 2020. Jamaa kwa muonekano utadhani ni mtendaji mzuri ila ni mnafiki sana. Kule Lafarge ameiba mpaka akaombwa kuresign.
 
Back
Top Bottom