Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Kwanini isiwe "Bibi mwema", saa hizi haki yangu kuitwa Bibi.

Bigurube usijali, was just kidding, nilikuwa najuwa sana si mwanamke, na for your information, Kagera nna historia napo ndefu sana, wakwe zangu waliishi sana huko na hata mume wangu aliishi sana huko udogoni kwake, ingawa leneyewe ni liji-handsome la hapahapa Kariakoo...

At least kwa Mara ya kwanza nimekuona umelainika na kuwa muungwana.
Ukiendelea namna hii , ipo siku tutachanja wote Gomba.
 
Hapana kwa makusudi nimeamua kupunguza umri wako mpaka ufikie ule wa kuitwa dada, vijana wa kileo wanaita 'mrembo'! Teh teh teh!

Urembo hapana, hilo kwangu ni kama tusi. Labda "uzuri" tena wangu ni wa asili. Huo wala sijishushi, lakini huu wa kujiremba hapana.
 
Mmiliki kalala usingizi wa pono, ukimwamusha utalala wewe, siku hizi mambo yote ni Mawio na Tanzania daima mengine kama uhueu na Jambo leo ni kwa ajiri ya mama muuza
 
At least kwa Mara ya kwanza nimekuona umelainika na kuwa muungwana.
Ukiendelea namna hii , ipo siku tutachanja wote Gomba.

Mie gomba langu huwa sichanji na mtu yoyote na sichanji kama Gozi langu halipo, na sijawahi kuchanja nje ya nyumbani kwangu kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lenyewe halichanji lakini huniletea mimi nichanje nikiitamani (mwaka mara moja au mbili).

Uungwana ni jadi yangu wala si wa kukisia, usi judge mtu kabisa kwenye hii mitandao, saa nyingine mnashambuliana humu lakini mnajuwana kabisa live bila kujuwana humu mtandaoni. Wala usipate pressure humu.
 
Tena bora mie nimekuwa conservative, Mwiba aliwahi kuileta hii habari humuhumu Jf aki qoute 60%:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-the-biological-fathers-nendaeni-mkapime.html

Na nyingine kutoka nje ya JF nnakutafutia.
Huo wa Mwiba ni kujaribu kupotosha kwa maana ya tafsiri.
Hiyo ni sawa na kupeleka watuhumiwa 250 ya wizi wa mali ya umma mahakamani halafu 60% wahukumiwe kwenda jela halafu wewe utafsiri kuwa asilimia 60 ya watanzania ni wezi ilihali ni ccm wachache tu ndiyo wezi wa Mali ya umma.

Usipende kupotosha hata kwenye hili dogo.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini isiwe "Bibi mwema", saa hizi haki yangu kuitwa Bibi.

Bigurube usijali, was just kidding, nilikuwa najuwa sana si mwanamke, na for your information, Kagera nna historia napo ndefu sana, wakwe zangu waliishi sana huko na hata mume wangu aliishi sana huko udogoni kwake, ingawa leneyewe ni liji-handsome la hapahapa Kariakoo...

Hiki ni kidudu gani? au ulitaka kusema lenyewe
 
Mie gomba langu huwa sichanji na mtu yoyote na sichanji kama Gozi langu halipo, na sijawahi kuchanja nje ya nyumbani kwangu kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lenyewe halichanji lakini huniletea mimi nichanje nikiitamani (mwaka mara moja au mbili).

Uungwana ni jadi yangu wala si wa kukisia, usi judge mtu kabisa kwenye hii mitandao, saa nyingine mnashambuliana humu lakini mnajuwana kabisa live bila kujuwana humu mtandaoni. Wala usipate pressure humu.

Ok! Ila mimi hiyo ndiyo post pekee niliyoiona imeonesha uungwana.
 
Ok! Ila mimi hiyo ndiyo post pekee niliyoiona imeonesha uungwana.

Unanisoma kwa uoga tu, wameku-brainwash hawa wanaojaribu kunifanyia "character assassination" lakini kwa kuwa nimewastukia mbinu zao, hawanipati wala hawaniwezi. Nisome kwa umakini tu utanielewa nilivyo.
 
We mwanamke unamtumikia mumeo saa ngapi? maana unashinda Jf unakesha Jf.

Heee!? muoneni huyu nae! hivi nyie hiyo mijike yenu mnaioa iwe mitumwa yenu?

Khaa! mi sijaoana na mume wangu ili nimtumikie, hakuninunuwa mie utumwani, sisi kwanza hatuolewi, tunaoana. Kumbuka hilo. Haki yangu kulishwa na kuvishwa na kuenziwa. Kuwa managed.
 
Halafu Una Kesi Ya Kujibu Kwangu. Hivi Muda Wote Ulikuwa Wapi? Umeniudhi Mno Kwa Kupotea Kwako Kwa Kipindi Kirefu Hiki Na Usiponijibu Haraka Na Mimi NASUSA Na Natoka Zangu Humu! Huwezi Kuniacha Swahiba Wako GENTAMYCINE Kwa Kipindi Chote Hiki Na Unajua Fika Kuwa ID Kila Niionapo Nafurahi Na Namkumbuka Nahodha Wangu Wa Mfano Na Mwenye Rekodi Yake INAYOTUKUKA Simba Sports Club Huyu Si Mwingine Bali Ni Kocha Wangu Msaidizi Suleiman Abdallah Matola ( Veron au MZAMBIA ). Nimefurahi Kuona Post Yako Mkuu!

Samahani sana, naomba kuuliza; hivi wewe na huyo ajiitae Matola wote ni jinsia moja ya kiume?

Maana hivi ulivyo mlaki humu inabidi niulize ili nisije nikakosea namna ya kuwa address humu.
 
Last edited by a moderator:
Samahani sana, naomba kuuliza; hivi wewe na huyo ajiitae Matola wote ni jinsia moja ya kiume?

Maana hivi ulivyo mlaki humu inabidi niulize ili nisije nikakosea namna ya kuwa address humu.

Hizi ni dalili za wewe kunikubali kiaina, ukiona mwanamke anakumention kama hivi ni dalili njema, mwaka huu tutaelewana tu manshikhofu.

Na ukitaka kuhakiki urijali wa Matola karibu sana hakuna haja ya kuandikia mate............
 
Last edited by a moderator:
Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.

Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.

Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.

Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.

Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.

Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.

Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.

Sasa kufanya hayo yote ndio amekuwa JASUSI?
 
Back
Top Bottom