Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Habari hii inabidi iwe verified maana kumtuhumu mtu kutumiwa na Usalama inabidi kuwe na vielelezo, Inawezekana kabisa ni mpango wa ndani wa kampuni kuleta ufanisi na labda hakuna uhusiano wowote na kile kilichosemwa.
 
Kwa tunaofuatilia mwenendo wa sekta ya magazeti hili wala siwezi kulishangaa, kihistoria hu ndio umekua utaratibu wa utawala hasa wa ccm, gazeti la Majir.a lilikua mwiba mkali sana miaka ya 90 mwishoni, lilikua linaandika madudu yote ya serikali ya huku bara hadi kule visiwani, ilifikia hatua Salmin Amour alilifungia lisitie mguu kule marashi ya Pemba na Unguja, thank God hili ndio lilikua gazeti la kwanza kuingia kwenye internet (niko tayari kukosolewa hapa) So wazanzibari wenye uwezo na usomi waliendelea kulipata through internet, kilichotokea ndio kile tunacho kijua, kada wa magamba ambae baadae alikuja kua mbunge wa Mbeya vijijini akawa kalinunua! Well, kuna mtu atakua hayakumbuki magazeti yalikua yakimilikiwa na Habari Cooperations (Rai, Mtanzania, Dimba, Bingwa na lile la Kingereza, nimelisahau jina, tena hilo ndio lililofichua wizi wa Dola 60, 000/= pale wizara ya Afya) kashfa ilimtoa Dr. Kitine wizarani na katibu mkuu wa wizara ya Afya akienda kwa jina la Mrope, watu makini tunajua kilichotokea, king makers akainunua hiyo kampuni pamoja na baadhi ya watu wake kama Dr. Gideon Shoo, Salva Rweyemam n.k; sote tunajua kilichopo kule siku hizi! Walishindwa kulinunua Mwanah.alisi kwasababu ya misimamo ya Kubenea and the team, sina hakika hata JF kama itaendelea kua salama, tusubiri na tuone.

Wauze nyumba, watuache wapangaji!
 
Kwani hilo gazeti leyewe la mwananchi sio la majasusi wa kimaruhuni na maharamia?
Naona uliyeandika huu uzi ni mwandishi wa hilo gazeti ambaye kibarua chako kiko mashakani.Anyway utajijua.ANGALIA HHATA MAJINA UNAYOTAJA MENGI YA KICHAGA CHAGA TU KAMA YALE YALIYOKO CHADEMA

Ukabila ni Sera ya ccm
 
Binafsi Naona Kama Vile MCL Mmechelewa Kwani Nakumbuka Nilikwishawahi Hata Kumpa Taarifa Hizi Tokea Mwaka Jana Mwandishi Wenu Mmoja Ambaye Kwa Bahati Mbaya Mno Sasa Ni Eksi Shemeji Yenu ( Jina Nalihifadhi ) Pamoja Na Mwandishi Mwingine Wa Kiume Ambaye Ni Rafiki Na Hadi Sasa Tumekuwa Kama Ndugu Kuwa Wakae Makini Kwani Huyo Huyo Denis Msaki Mimi Namfahamu Kwa Muda Mrefu Tu Kuwa Ni Kijana Wa IDARA Na Kwamba Alikuja Hapo Kwa Special Mission Na Akishaimaliza Tu Kuna TIMBWILI Kubwa Atalifanya Hapo Ili MCL Imfukuze Kisha Mission Yake Na Ya IDARA NYETI NCHINI TANZANIA Iwe Accomplished. Na Jambo Hilo Kwa Sasa Limeshafanyika Na Pia Kuna Waandishi Wa Habari Wengine 5 Nawajua Kuwa Ni Wa IDARA Hiyo Hiyo Bado Mnao Hapo 2 Ni Wa The Citizen, 2 Ni Wa Mwananchi Na 1 Yupo Mwanaspoti ILA Kwasababu Ya UBISHI Wenu Na KUTUDHARAU Leo Ndiyo Mnakurupuka. Na Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Hawa Waandishi Wawili Huyo My Eksi Darling Wangu Na Huyu Comrade Wangu Wanaijua Hii ID Yangu Hivyo Waulizeni Vizuri Tu Kama Sikuwatahadharisha Muda Mrefu Kuhusiana Na Mpango Huu.

Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Jingine Kubwa Ambalo MMETEGESHEWA MCL Na Msipoanza KUJICHUNGUZA Wenyewe KISAWASAWA Kampuni Yenu Sasa Hivi INAPOTEZWA Kwani Denis Msaki Sasa AMESHAWAWEKENI U.C.H.I wa M.N.Y.A.M.A Serikalini Na IDARANI Na Mnachunguzwa Kila Nyendo Zenu Huku Mkifuatiliwa Mwanzo Mwisho!

MMECHELEWA SANA Ndugu Zangu Na Nawaoneeni Huruma Na Siku Nyingine TUKIWA TUNAWAPA TIPS Msiwe Mnatudharau.

This is so true! ha ha ha! nawajua wote hao ambao umewa -hide! and some of them are my good friends! pale MCL ni noma ..kuanzia mlinzi wa mlangoni mmoja wapo namfahamu ana nyota 3 lakini pale anazuga mlinzi..ha ha! kwa heri!
 
Hivi Tanzania tuna Idara ya Ujasusi ya Ndani?

Kwa tafsiri rahisi, ujasusi au ushushushu (Intelijensia) ni taaluma inayohusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama kwa njia za siri (clandestine methods). Kuna tofauti kati ya ushushushu (Ujasusi) wa unaofanyika ndani ya nchi na unaofanyika nje ya nchi. Kwa mfano Uingereza, Idara ya ujasusi inayoshughulika na masuala ya ndani inajulikana kama MI5 na inayohusiska na ujasusi wa ndani ya nchi ni MI6. Tunajua hapa nyumbani, ipo tofauti kidogo kwani ndani ya muundo wa taasisi unaonekana kama taasisi moja tu lakini ndani yake kuna mgawanyo wa kimajukumu ya ndani na ya nje, hivyo wanaoshughulika na masuala ya ndani ndiyo ilikusudiwa kuelezwa.
 
Binafsi Naona Kama Vile MCL Mmechelewa Kwani Nakumbuka Nilikwishawahi Hata Kumpa Taarifa Hizi Tokea Mwaka Jana Mwandishi Wenu Mmoja Ambaye Kwa Bahati Mbaya Mno Sasa Ni Eksi Shemeji Yenu ( Jina Nalihifadhi ) Pamoja Na Mwandishi Mwingine Wa Kiume Ambaye Ni Rafiki Na Hadi Sasa Tumekuwa Kama Ndugu Kuwa Wakae Makini Kwani Huyo Huyo Denis Msaki Mimi Namfahamu Kwa Muda Mrefu Tu Kuwa Ni Kijana Wa IDARA Na Kwamba Alikuja Hapo Kwa Special Mission Na Akishaimaliza Tu Kuna TIMBWILI Kubwa Atalifanya Hapo Ili MCL Imfukuze Kisha Mission Yake Na Ya IDARA NYETI NCHINI TANZANIA Iwe Accomplished. Na Jambo Hilo Kwa Sasa Limeshafanyika Na Pia Kuna Waandishi Wa Habari Wengine 5 Nawajua Kuwa Ni Wa IDARA Hiyo Hiyo Bado Mnao Hapo 2 Ni Wa The Citizen, 2 Ni Wa Mwananchi Na 1 Yupo Mwanaspoti ILA Kwasababu Ya UBISHI Wenu Na KUTUDHARAU Leo Ndiyo Mnakurupuka. Na Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Hawa Waandishi Wawili Huyo My Eksi Darling Wangu Na Huyu Comrade Wangu Wanaijua Hii ID Yangu Hivyo Waulizeni Vizuri Tu Kama Sikuwatahadharisha Muda Mrefu Kuhusiana Na Mpango Huu.

Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Jingine Kubwa Ambalo MMETEGESHEWA MCL Na Msipoanza KUJICHUNGUZA Wenyewe KISAWASAWA Kampuni Yenu Sasa Hivi INAPOTEZWA Kwani Denis Msaki Sasa AMESHAWAWEKENI U.C.H.I wa M.N.Y.A.M.A Serikalini Na IDARANI Na Mnachunguzwa Kila Nyendo Zenu Huku Mkifuatiliwa Mwanzo Mwisho!

MMECHELEWA SANA Ndugu Zangu Na Nawaoneeni Huruma Na Siku Nyingine TUKIWA TUNAWAPA TIPS Msiwe Mnatudharau.

Uko sahihi kabisa mkuu, iko wazi kuwa Denis Msack na Zitto Kabwe ni maswahiba sana. Huko nyuma Mwananchi walikuwa wanaweza kuandika habari hata za kuikosoa serikali, baada ya ujio wa Denis MCL tabia hiyo ikaanza kupungua taratibu... Mwananchi pia walikuwa wanaandika habari nzuri juu ya CHADEMA ( hili liko wazi sana, na ndio sababu likawa na wasomaji wengi sana)! Baada ya Zitto kufukuzwa CHADEMA, Msack swahiba wa Zitto wakati huo akiwa ni mmoja wa Wahariri Watendaji hakupendezwa kabisa na ZZK kufukuzwa na hivyo kuanza kuiandama CHADEMA kupitia madaraka yake ndani ya MCL!

Ni wazi kuwa chombo chochote cha habari chenye kusifia utendaji wa Serikali ya JK ni adui wa wateja wake ambao wengi ni wananchi wa kawaida! Refer; TBC HABARI LEO, UHURU, JAMBO LEO, MZALENDO na vinginevyo...

Amkeni Mwananchi bado hamjachelewa, angalieni ni wapi mmejikwaa msiangalie mlipoangukia!

Kila la kheri!
 
Binafsi Naona Kama Vile MCL Mmechelewa Kwani Nakumbuka Nilikwishawahi Hata Kumpa Taarifa Hizi Tokea Mwaka Jana Mwandishi Wenu Mmoja Ambaye Kwa Bahati Mbaya Mno Sasa Ni Eksi Shemeji Yenu ( Jina Nalihifadhi ) Pamoja Na Mwandishi Mwingine Wa Kiume Ambaye Ni Rafiki Na Hadi Sasa Tumekuwa Kama Ndugu Kuwa Wakae Makini Kwani Huyo Huyo Denis Msaki Mimi Namfahamu Kwa Muda Mrefu Tu Kuwa Ni Kijana Wa IDARA Na Kwamba Alikuja Hapo Kwa Special Mission Na Akishaimaliza Tu Kuna TIMBWILI Kubwa Atalifanya Hapo Ili MCL Imfukuze Kisha Mission Yake Na Ya IDARA NYETI NCHINI TANZANIA Iwe Accomplished. Na Jambo Hilo Kwa Sasa Limeshafanyika Na Pia Kuna Waandishi Wa Habari Wengine 5 Nawajua Kuwa Ni Wa IDARA Hiyo Hiyo Bado Mnao Hapo 2 Ni Wa The Citizen, 2 Ni Wa Mwananchi Na 1 Yupo Mwanaspoti ILA Kwasababu Ya UBISHI Wenu Na KUTUDHARAU Leo Ndiyo Mnakurupuka. Na Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Hawa Waandishi Wawili Huyo My Eksi Darling Wangu Na Huyu Comrade Wangu Wanaijua Hii ID Yangu Hivyo Waulizeni Vizuri Tu Kama Sikuwatahadharisha Muda Mrefu Kuhusiana Na Mpango Huu.

Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Jingine Kubwa Ambalo MMETEGESHEWA MCL Na Msipoanza KUJICHUNGUZA Wenyewe KISAWASAWA Kampuni Yenu Sasa Hivi INAPOTEZWA Kwani Denis Msaki Sasa AMESHAWAWEKENI U.C.H.I wa M.N.Y.A.M.A Serikalini Na IDARANI Na Mnachunguzwa Kila Nyendo Zenu Huku Mkifuatiliwa Mwanzo Mwisho!

MMECHELEWA SANA Ndugu Zangu Na Nawaoneeni Huruma Na Siku Nyingine TUKIWA TUNAWAPA TIPS Msiwe Mnatudharau.

JF katika ubora wake.
 
Kwa tunaofuatilia mwenendo wa sekta ya magazeti hili wala siwezi kulishangaa, kihistoria hu ndio umekua utaratibu wa utawala hasa wa ccm, gazeti la Majir.a lilikua mwiba mkali sana miaka ya 90 mwishoni, lilikua linaandika madudu yote ya serikali ya huku bara hadi kule visiwani, ilifikia hatua Salmin Amour alilifungia lisitie mguu kule marashi ya Pemba na Unguja, thank God hili ndio lilikua gazeti la kwanza kuingia kwenye internet (niko tayari kukosolewa hapa) So wazanzibari wenye uwezo na usomi waliendelea kulipata through internet, kilichotokea ndio kile tunacho kijua, kada wa magamba ambae baadae alikuja kua mbunge wa Mbeya vijijini akawa kalinunua! Well, kuna mtu atakua hayakumbuki magazeti yalikua yakimilikiwa na Habari Cooperations (Rai, Mtanzania, Dimba, Bingwa na lile la Kingereza, nimelisahau jina, tena hilo ndio lililofichua wizi wa Dola 60, 000/= pale wizara ya Afya) kashfa ilimtoa Dr. Kitine wizarani na katibu mkuu wa wizara ya Afya akienda kwa jina la Mrope, watu makini tunajua kilichotokea, king makers akainunua hiyo kampuni pamoja na baadhi ya watu wake kama Dr. Gideon Shoo, Salva Rweyemam n.k; sote tunajua kilichopo kule siku hizi! Walishindwa kulinunua Mwanah.alisi kwasababu ya misimamo ya Kubenea and the team, sina hakika hata JF kama itaendelea kua salama, tusubiri na tuone.

Nadhani lilikuwa likiitwa Family mirror kama sikosei - pia lilitoa na kashfa ya Zanzbar kujiunga na OIC, kama kawaida serikali ikapinga - lakini wakamwaga evidence waziri Hassan Diria na Rais Mwinyi wakaumbuka.
 
Habari hii inabidi iwe verified maana kumtuhumu mtu kutumiwa na Usalama inabidi kuwe na vielelezo, Inawezekana kabisa ni mpango wa ndani wa kampuni kuleta ufanisi na labda hakuna uhusiano wowote na kile kilichosemwa.

CIA walishawaeleza Ufaransa juu ya uwezekano wa mashambulizi ya kigaidi Parisi wakapuuza, na wewe una akili kama za wafaransa.
 
Kwa tunaofuatilia mwenendo wa sekta ya magazeti hili wala siwezi kulishangaa, kihistoria hu ndio umekua utaratibu wa utawala hasa wa ccm, gazeti la Majir.a lilikua mwiba mkali sana miaka ya 90 mwishoni, lilikua linaandika madudu yote ya serikali ya huku bara hadi kule visiwani, ilifikia hatua Salmin Amour alilifungia lisitie mguu kule marashi ya Pemba na Unguja, thank God hili ndio lilikua gazeti la kwanza kuingia kwenye internet (niko tayari kukosolewa hapa) So wazanzibari wenye uwezo na usomi waliendelea kulipata through internet, kilichotokea ndio kile tunacho kijua, kada wa magamba ambae baadae alikuja kua mbunge wa Mbeya vijijini akawa kalinunua! Well, kuna mtu atakua hayakumbuki magazeti yalikua yakimilikiwa na Habari Cooperations (Rai, Mtanzania, Dimba, Bingwa na lile la Kingereza, nimelisahau jina, tena hilo ndio lililofichua wizi wa Dola 60, 000/= pale wizara ya Afya) kashfa ilimtoa Dr. Kitine wizarani na katibu mkuu wa wizara ya Afya akienda kwa jina la Mrope, watu makini tunajua kilichotokea, king makers akainunua hiyo kampuni pamoja na baadhi ya watu wake kama Dr. Gideon Shoo, Salva Rweyemam n.k; sote tunajua kilichopo kule siku hizi! Walishindwa kulinunua Mwanah.alisi kwasababu ya misimamo ya Kubenea and the team, sina hakika hata JF kama itaendelea kua salama, tusubiri na tuone.

Mkuu unasubiri?
 
Nadhani lilikuwa likiitwa Family mirror kama sikosei - pia lilitoa na kashfa ya Zanzbar kujiunga na OIC, kama kawaida serikali ikapinga - lakini wakamwaga evidence waziri Hassan Diria na Rais Mwinyi wakaumbuka.

Bila shaka linaitwa The African, 'Animo Et Fide', sijui km lilikuwepo lingine!
 
CIA walishawaeleza Ufaransa juu ya uwezekano wa mashambulizi ya kigaidi Parisi wakapuuza, na wewe una akili kama za wafaransa.

Ninashukuru kwa kujua nina akili hizo. Ninachokisema hapa ni kwamba mmiliki wa gazeti asingeweza kukubali kinachoendelea na pia Managing Director ni lazima alinde interests za mmiliki. Huku kumtaja Aika kuwa anatumwa na serikali ni kitu cha ajabu kwa kuwa yeye kama meneja rasilimali watu hafanyi maamuzi peke yake, kuna mambo ambayo yanaamuliwa kwa pamoja na ofisi za Nairobi.

Ndio maana nasema uzi huu hauna budi kudhibitishwa la sivyo ni kuchafua majina ya watu pasi na sababu.
 
Back
Top Bottom