FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Katika matahahira wa humu wewe ni namba moja.wewe siulisema haujawahi kuona jina la mwanaume linaanzia na B.? mbona sasa unajikanyaga tena?bila shaka wewe utakuwa tahahira ujui ufanyalo kwanzia sasa wewe niwakupuuza tuu.!SHAME
Siyo B. Bi. kanisome vizuri. Bigurube, kusema ya haki nikidhani nnajibizana na mwanamke mwenzangu.
Majibu yangu yalikuwa spontaneous na kwa utamu wa lugha si kwa kuwa hawapo, ni nani asiyemjuwa Binladen? Fikiri