Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Hamia lile la wakina Manyerere Jackton linaitwa Jamhuri kama sijakosea hawaogopi kitu Nyalandu ni shahidi!

Sijawahi kununua, huwa naliona km kipeperushi fulani. Anyway nitajaribu kinunua siku1, ila huyo Manyerere Jackton si alikuja humu JF na makaratasi anamdai Mengi malimbikizo ya mishahara na akadai anaogopa kumpeleka mahakani sababu Mengi ana hela?
 
Last edited by a moderator:
Ungebahatika kudumu hata na ndoa moja kati ya hizo tano tofauti wala usingekuwa unahamishia frustrations huku, ungetulizwa na gozi moja. Sasa unaishia kutamani yaliyoko kwenye suruali za watu na uzee ndio ushafika, miaka 60 utampata nani?

Hivi ndio unapenda watu wasijadili mada uvute buku Saba yako muda uende ukaendelee na kibarua Chako cha kuosha vyombo hotelini na kubeba box

Tano tena,? amma kweli wewe ni bingwa wa uongo na kubadilisha maneno.

Hizi habari za Aika Masawe ni ufataani tu hakuna zaidi, ikiwa mtu wenyewe unaetetea hizi habari ndivyo hivyo ulivyo, unazidi kuyakinisha kuwa hakuna zaidi ya hasad, chuki, ufataani na uongo tu kwenye hizi porojo zenu.

Pole sana.
 
JF forum inanitosha sana huko kwingine chenga tupu.

Uzuri wa JF ni kuwa wapo waandishi wanafanya uchunguzi kwa reasources za magazeti yao lakini kwa kujua habari hiyo haiwezi kuandikwa na gazeti lake basi wanatuletea hapa JF bila chenga. Ndio maana habari nyingi za kiuchunguzi unazipata JF kabla hata Ikulu haijajua.
Hata Salva ukimuuliza chanzo chake kikuu cha habari ni nini? Moyoni atakujibu kuwa ni JF
 
Sijawahi kununua, huwa naliona km kipeperushi fulani. Anyway nitajaribu kinunua siku1, ila huyo Manyerere Jackton si alikuja humu JF na makaratasi anamdai Mengi malimbikizo ya mishahara na akadai anaogopa kumpeleka mahakani sababu Mengi ana hela?

Hii kwangu ni mpya. Anyway,kwa Tanzania tuliyonayo leo ni changamoto kupata gazeti sahihi lililo consistent na la kuaminika. Nilisoma matoleo ya Jamhuri mawili au matatu last year yaliniconvince kiasi
 
Upo thread humu Manyerere na mwenzake wanalalamika kudhulumiwa hela zao na Mengi, wanatafuta msaada kwa wadau ili walipwe fedha zao!
 
Uzuri wa JF ni kuwa wapo waandishi wanafanya uchunguzi kwa reasources za magazeti yao lakini kwa kujua habari hiyo haiwezi kuandikwa na gazeti lake basi wanatuletea hapa JF bila chenga. Ndio maana habari nyingi za kiuchunguzi unazipata JF kabla hata Ikulu haijajua.
Hata Salva ukimuuliza chanzo chake kikuu cha habari ni nini? Moyoni atakujibu kuwa ni JF

Nimelijuwa hili siku nyingi ndio maana siangaiki na magazeti labda makala tu, maana habari nyingi za magazetini huwa zinatoka hapa.

Kuna waandishi siku hizi hawaendi field wanatulia tu nyumbani na laptop zao jioni wanacopy na kupaste tu News room topic za humu.
 
We vipi bibi? Mimi naitwa Bigurube na sio bibi Gurube, tofautisha hizo maana mbili! That's my Surname

Nani kaandika Bibi? Hata kusoma huwezi? Bi na bibi ni vitu viwili tofauti, sijasikia jina la mwanamme linaanza na Bi. Mie najuwa majina yanayoanzia na Bi kama vile Bimkubwa, Biubwa, Binti, yote ni ya kike, nikajuwa na hilo Bigurube yote ndiyo hukohuko.

Kama wewe ni mwanamme basi humu wengi hawatokuelewa. Pole sana.
 
Nani kaandika Bibi? Hata kusoma huwezi? Bi na bibi ni vitu viwili tofauti, sijasikia jina la mwanamme linaanza na Bi.

Bw'=Bwana, Bi=bibi!
Mtu wa Pwani huwezi kuyajua majina ya bara ww...nyie majina yenu mlisalimisha kwa waarabu na kukabidhiwa ya kwao!
 
Dah. Sasa inabidi nifunguwe tuisheni ya Kiswahili. Bi na bibi ni vitu viwili tofauti.

Hayo majina yote ya kike yanayoanzia na Bi niliyokuandikia hebu nioneshe moja la Kiarabu hapo? Ukiisha, kuhusu hicho Kiarabu unachokisema, ujuwe hata hiki Kiswahili unachotumia hapa kuandika sasa hivi kina maneno chungunzima ya Kiarabu, kwa Hiyo usione ajabu ya influence ya Waarabu kwenye majina tu, hata lugha yako ya Taifa ina influence kubwa ya Kiarabu. Fikiri.

Kwa kukuongezea moja tu ya uso; Unajuwa maana ya Dar Es Salaam? na hilo jina ni la lugha ipi? Kwa kukujuza tu lipo mpaka kwenye Qur'an hilo. Utajaza wewe.
 
Good Job Aika Masawe! ... Viongozi Reformer wanahitajika sana nyakati hizi ... Efficiency ya MCL si wingi wa wafanyakazi bali ni output ya kampuni!!! Ikijipanga vizuri Mwananchi itakuwa Gazzeti bora kabisa kutokea ndani ya Tanzania! Namsikitikia sana aliekwenda Jamba Leo!!! Sidhani kama atamudu kuwa meza moja na Le Mutuz! Soon Mashuz yatamkimbiza ...
Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.

Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.

Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.

Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.

Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.

Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.

Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.
 
Mkuu habari yako inakosa mashiko, kwa nini usihame hapo?
 
Dah. Sasa inabidi nifunguwe tuisheni ya Kiswahili. Bi na bibi ni vitu viwili tofauti.

Hayo majina yote ya kike yanayoanzia na Bi niliyokuandikia hebu nioneshe moja la Kiarabu hapo? Ukiisha, kuhusu hicho Kiarabu unachokisema, ujuwe hata hiki Kiswahili unachotumia hapa kuandika sasa hivi kina maneno chungunzima ya Kiarabu, kwa Hiyo usione ajabu ya influence ya Waarabu kwenye majina tu, hata lugha yako ya Taifa ina influence kubwa ya Kiarabu. Fikiri.

Kwa kukuongezea moja tu ya uso; Unajuwa maana ya Dar Es Salaam? na hilo jina ni la lugha ipi? Kwa kukujuza tu lipo mpaka kwenye Qur'an hilo. Utajaza wewe.

Sawa Bi Kiroboto nimekupata! Nenda Bukoba utakutana na hili jina la Bigurube, pia refer mkurugenzi mkuu wa TANAPA aliestaafu anaitwa Gerald Bigurube, wapo wengi waku-refer, ila mhumu jua kuwa mm ni mwanaume naweza ht kuku-approach.
 
Mbona TISS walikwisha ihaki JF, WaTISS humu wamo wengi tu. Mfano. Mzizi mkavu, amekwisha post humu picha za IKULU za Rais akituchora kwa maoni yetu waJF. Kuwani makini na baadhi ya Post humu ndani. Ushahidi angalia picha mjawapo iliyotumwa na Mzizi mkavu

Itupie hapa hiyo picha ya Rais kuliko kuleta hekaya zako tu pasi nauthibitisho
 
CCM they are really facing a stiff time Maana it is docom time .Waingie Whatsapp nk wazuie tuone
 
Back
Top Bottom