Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Kwani hilo gazeti leyewe la mwananchi sio la majasusi wa kimaruhuni na maharamia?
Naona uliyeandika huu uzi ni mwandishi wa hilo gazeti ambaye kibarua chako kiko mashakani.Anyway utajijua.ANGALIA HHATA MAJINA UNAYOTAJA MENGI YA KICHAGA CHAGA TU KAMA YALE YALIYOKO CHADEMA


Nijuavyo MIMI HR HAUSIKI NA NIDHAMU AMA AJIRA ZA TOP MANAGEMENT.
 
Halafu Una Kesi Ya Kujibu Kwangu. Hivi Muda Wote Ulikuwa Wapi? Umeniudhi Mno Kwa Kupotea Kwako Kwa Kipindi Kirefu Hiki Na Usiponijibu Haraka Na Mimi NASUSA Na Natoka Zangu Humu! Huwezi Kuniacha Swahiba Wako GENTAMYCINE Kwa Kipindi Chote Hiki Na Unajua Fika Kuwa ID Kila Niionapo Nafurahi Na Namkumbuka Nahodha Wangu Wa Mfano Na Mwenye Rekodi Yake INAYOTUKUKA Simba Sports Club Huyu Si Mwingine Bali Ni Kocha Wangu Msaidizi Suleiman Abdallah Matola ( Veron au MZAMBIA ). Nimefurahi Kuona Post Yako Mkuu!

Mkuu nipo tatizo jukwaa pendwa hili tangu vijana wameanza kumiliki Tecno kwa wingi na bundle za promosheni basi jukwaa limejaa matakataka kibao.

Na hata mwenezi mwenyewe anayewatuma hatumii ID yake verified anaingia kwa shadow name.

Happy new year.
 
Kwani mchaki hatujui km ni system..mnakumbuka urafiki na mzito kabwela wa kigoma..! Tunafahamu hata tido aliomba aongezee mkataba lakini wazee walishinikiza mkataba uwe basi..
Kwahiyo hata mchaki kuwa pale mtanzania ni kwa sababu maalumu
 
Mkuu nipo tatizo jukwaa pendwa hili tangu vijana wameanza kumiliki Tecno kwa wingi na bundle za promosheni basi jukwaa limejaa matakataka kibao.

Na hata mwenezi mwenyewe anayewatuma hatumii ID yake verified anaingia kwa shadow name.

Happy new year.

Same To You Brother......Haya Sawa Nimekusamehe Na Nakuomba Usipotee Tena Humu JF Kwani Nyie Ndiyo JF Wenyewe!
 
Kwa tunaofuatilia mwenendo wa sekta ya magazeti hili wala siwezi kulishangaa, kihistoria hu ndio umekua utaratibu wa utawala hasa wa ccm, gazeti la Majir.a lilikua mwiba mkali sana miaka ya 90 mwishoni, lilikua linaandika madudu yote ya serikali ya huku bara hadi kule visiwani, ilifikia hatua Salmin Amour alilifungia lisitie mguu kule marashi ya Pemba na Unguja, thank God hili ndio lilikua gazeti la kwanza kuingia kwenye internet (niko tayari kukosolewa hapa) So wazanzibari wenye uwezo na usomi waliendelea kulipata through internet, kilichotokea ndio kile tunacho kijua, kada wa magamba ambae baadae alikuja kua mbunge wa Mbeya vijijini akawa kalinunua! Well, kuna mtu atakua hayakumbuki magazeti yalikua yakimilikiwa na Habari Cooperations (Rai, Mtanzania, Dimba, Bingwa na lile la Kingereza, nimelisahau jina, tena hilo ndio lililofichua wizi wa Dola 60, 000/= pale wizara ya Afya) kashfa ilimtoa Dr. Kitine wizarani na katibu mkuu wa wizara ya Afya akienda kwa jina la Mrope, watu makini tunajua kilichotokea, king makers akainunua hiyo kampuni pamoja na baadhi ya watu wake kama Dr. Gideon Shoo, Salva Rweyemam n.k; sote tunajua kilichopo kule siku hizi! Walishindwa kulinunua Mwanah.alisi kwasababu ya misimamo ya Kubenea and the team, sina hakika hata JF kama itaendelea kua salama, tusubiri na tuone.

JF wanaitafuta kwa udi na uvumba mkuu..kwani hata kwenye uchaguzi uliopita CCM walilalama kwamba JF imechangia kuwaangusha. lakini wanatakiwa kujua kwamba wengine tushakuwa addicted humu, so we'll never let JF die alone
 
Same To You Brother......Haya Sawa Nimekusamehe Na Nakuomba Usipotee Tena Humu JF Kwani Nyie Ndiyo JF Wenyewe!

Mwaka 2015 ni mwaka wa kufanya maamuzi ni kosa la jinai kutokuwepo hapa.

Mkoloni mweusi mwaka huu lazima ang'oke.
 
Mwaka 2015 ni mwaka wa kufanya maamuzi ni kosa la jinai kutokuwepo hapa.

Mkoloni mweusi mwaka huu lazima ang'oke.

Nimekupata Mkuu Si Unajua Tena Birds Of The Same Feathers Flock Together?
 
Gozi moja watoto watano leo miaka zaidi ya 35.

Ukiona imekuuma ujuwe imekuingia.

Ungebahatika kudumu hata na ndoa moja kati ya hizo tano tofauti wala usingekuwa unahamishia frustrations huku, ungetulizwa na gozi moja. Sasa unaishia kutamani yaliyoko kwenye suruali za watu na uzee ndio ushafika, miaka 60 utampata nani?

Hivi ndio unapenda watu wasijadili mada uvute buku Saba yako muda uende ukaendelee na kibarua Chako cha kuosha vyombo hotelini na kubeba box
 
Mbona TISS walikwisha ihaki JF, WaTISS humu wamo wengi tu. Mfano. Mzizi mkavu, amekwisha post humu picha za IKULU za Rais akituchora kwa maoni yetu waJF. Kuwani makini na baadhi ya Post humu ndani. Ushahidi angalia picha mjawapo iliyotumwa na Mzizi mkavu
 
Mm ni msomaji mzuri sana wa gazeti la Mwananchi, pengine kungekuwa na tuzo ya mnunuaji bora wa hili gazeti bila shaka ningeshinda! Kwa siku za hivi karibuni nimegundua tofauti kubwa ukilinganishs na miaka iliyopita, hasa kipindi ambacho Tido Mhando alikuwa CEO, wa MCL. Kuna mapungufu ya wazi wazi, na hivi sasa natafuta gazeti gazeti mbadala nitakalokuwa nanunua!


Hamia lile la wakina Manyerere Jackton linaitwa Jamhuri kama sijakosea hawaogopi kitu Nyalandu ni shahidi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom