Sawa Bi Kiroboto nimekupata! Nenda Bukoba utakutana na hili jina la Bigurube, pia refer mkurugenzi mkuu wa TANAPA aliestaafu anaitwa Gerald Bigurube, wapo wengi waku-refer, ila mhumu jua kuwa mm ni mwanaume naweza ht kuku-approach.
ahhhhhhhhhh umetishaGozi moja watoto watano leo miaka zaidi ya 35.
Ukiona imekuuma ujuwe imekuingia.
Mtu hata kama hujawahi kuishi naye,kusoma naye,humjui kwa sura wala kusikia sauti yake na mengineyo mengi, lakini kwa kufuatilia maandiko yake waweza kumfahamu na kujua hata tabia zake ambazo pengine wanaoishi mtaa mmoja naye hawazijui. Tena muhimu zaidi maandishi hayo ukifahamu kuwa mwandikaji ni mwanamume au mwanamke.Mtoboaji ana jina linaloanza na Bi? hata haya huoni? Unanchekesha!
kwani mwenye kampuni kalala usingizi mpaka haoni haya yanayotendeka??
Siri kali inahusika hapa
faiza kwa kuharibu nyuzi za wenzako!we ni noma
faiza kwa kuharibu nyuzi za wenzako!we ni noma
'STIFF TIME au HARD/DIFFICULT TIME'?CCM they are really facing a stiff time Maana it is docom time .Waingie Whatsapp nk wazuie tuone
Wewe vipi, ulikoanzia? Haikukuuma?
Nani kaandika Bibi? Hata kusoma huwezi? Bi na bibi ni vitu viwili tofauti, sijasikia jina la mwanamme linaanza na Bi. Mie najuwa majina yanayoanzia na Bi kama vile Bimkubwa, Biubwa, Binti, yote ni ya kike, nikajuwa na hilo Bigurube yote ndiyo hukohuko.
Kama wewe ni mwanamme basi humu wengi hawatokuelewa. Pole sana.
![]()
AIKA MASSAWE
Unaambiwa huyo ni taasisi , not an individual like you !
Nyaulawa na mwenzake mbuguni ndio waanzilishi wa gazeti la majira sio kwa walilinunua check your factsKwa tunaofuatilia mwenendo wa sekta ya magazeti hili wala siwezi kulishangaa, kihistoria hu ndio umekua utaratibu wa utawala hasa wa ccm, gazeti la Majir.a lilikua mwiba mkali sana miaka ya 90 mwishoni, lilikua linaandika madudu yote ya serikali ya huku bara hadi kule visiwani, ilifikia hatua Salmin Amour alilifungia lisitie mguu kule marashi ya Pemba na Unguja, thank God hili ndio lilikua gazeti la kwanza kuingia kwenye internet (niko tayari kukosolewa hapa) So wazanzibari wenye uwezo na usomi waliendelea kulipata through internet, kilichotokea ndio kile tunacho kijua, kada wa magamba ambae baadae alikuja kua mbunge wa Mbeya vijijini akawa kalinunua! Well, kuna mtu atakua hayakumbuki magazeti yalikua yakimilikiwa na Habari Cooperations (Rai, Mtanzania, Dimba, Bingwa na lile la Kingereza, nimelisahau jina, tena hilo ndio lililofichua wizi wa Dola 60, 000/= pale wizara ya Afya) kashfa ilimtoa Dr. Kitine wizarani na katibu mkuu wa wizara ya Afya akienda kwa jina la Mrope, watu makini tunajua kilichotokea, king makers akainunua hiyo kampuni pamoja na baadhi ya watu wake kama Dr. Gideon Shoo, Salva Rweyemam n.k; sote tunajua kilichopo kule siku hizi! Walishindwa kulinunua Mwanah.alisi kwasababu ya misimamo ya Kubenea and the team, sina hakika hata JF kama itaendelea kua salama, tusubiri na tuone.
tubastola tupo tupo!Ila analipa!....Mwenye namba za simu za Bi Aika aniPM tafadhari.Kumbe TISS kuna vifaa hivi?