Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

sio mwananchi tu hata JF kama inapaswa kuangaliwa kwa jicho pevu hamuoni ubora wake umepungua?
Watoto wa Facebook wameingia Jukwaa la Siasa
ni matusi kwenda mbele
usipoufuata mlengo wao ww si mwenzao na si Mtanzania
 
Kipindi cha mpito hawana budi kuanza moja tena. Japo Mwanahabari wa siku Nyingi na mwanzilishi wa gazeti la Dimba na Rai alishapata kunena kuwa ''kampuni yeyote ile ianzishwayo na Mtanzania (Namaanisha Raia na si Gazeti)'' haiwezi kuishi ndani ya miaka 15.

Sasa najipa mda nishuudie katika hili la mwisho. maana pote nilipopita katika udadisi wangu kumethibitisha ukweli 100%
 
Kwanini isiwe "Bibi mwema", saa hizi haki yangu kuitwa Bibi.

Bigurube usijali, was just kidding, nilikuwa najuwa sana si mwanamke, na for your information, Kagera nna historia napo ndefu sana, wakwe zangu waliishi sana huko na hata mume wangu aliishi sana huko udogoni kwake, ingawa lenyewe ni liji-handsome la hapahapa Kariakoo...

huyu mdudu mpotezeeni anatujazia saver tu hapa hau nyie mnaojibizani ni wamoja kupoteza mada inayojadiliwa.
 
Kwani hilo gazeti leyewe la mwananchi sio la majasusi wa kimaruhuni na maharamia?
Naona uliyeandika huu uzi ni mwandishi wa hilo gazeti ambaye kibarua chako kiko mashakani.Anyway utajijua.ANGALIA HHATA MAJINA UNAYOTAJA MENGI YA KICHAGA CHAGA TU KAMA YALE YALIYOKO CHADEMA
Unalazimisha watu kukutukana we kuku wachaga wametokea wapi kwenye hii mada
 
Mie gomba langu huwa sichanji na mtu yoyote na sichanji kama Gozi langu halipo, na sijawahi kuchanja nje ya nyumbani kwangu kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lenyewe halichanji lakini huniletea mimi nichanje nikiitamani (mwaka mara moja au mbili).

Uungwana ni jadi yangu wala si wa kukisia, usi judge mtu kabisa kwenye hii mitandao, saa nyingine mnashambuliana humu lakini mnajuwana kabisa live bila kujuwana humu mtandaoni. Wala usipate pressure humu.

Mwanamke wewe walah wajua kutupandisha mzuka kwa maneno yako ya mahaba...mmeo (kama unaye) yaelekea anafaidi kweli kweli,mashallah!!!
 
Kwa hiyo kwako wewe Makamu wa Rais Dr Bilali ni mwanamke? Vituko vyako ni zaidi ya habari!

Huyu mbona mnamwelewa vizuri hana mchango wowote wa maana kwa kila bandiko humu jamvini? Dawa yake ni kumpuuza kwa kutojibu kila mchango wake ajidharau mwenyewe na wako wengi humu jamvini na wote ni wa buku saba za Lumumba.
 
Heee!? muoneni huyu nae! hivi nyie hiyo mijike yenu mnaioa iwe mitumwa yenu?

Khaa! mi sijaoana na mume wangu ili nimtumikie, hakuninunuwa mie utumwani, sisi kwanza hatuolewi, tunaoana. Kumbuka hilo. Haki yangu kulishwa na kuvishwa na kuenziwa. Kuwa managed.

Baby wangu watuache tulale miaka 800!
 
Hivi kuna kosa lolote Mwajiri akifanya maboresho yaliyolenga kuleta ufanisi na consequently yakazaa kupunguza kazi wafanyakazi(retrenchment)? Unless una ugomvi binafsi na Aika, sijaona popote kosa lako. Andiko lako limekuwa too general na haujawe facts. Kwamba "mpango unasukwa". Unasukwa kuwaondoa waandishi ili iweje? Back to issue ya Tido Mhando na Makunga kuondolewa MCL, ni bora ungefanya homework yako sawa sawa. Kampuni yeyote ya kibiahara, inaangalia, pamoja na mambo mengine, faida. Sasa kama una MD/CEO ambaye haleti faida kwenye kampuni; kama una Business Development Manager ambaye hakuna new business pamoja na viable business strategy anazozileta, then hauwezi kumudu kuwa na watu kama hao.
 
Urembo hapana, hilo kwangu ni kama tusi. Labda "uzuri" tena wangu ni wa asili. Huo wala sijishushi, lakini huu wa kujiremba hapana.

Na mm sipendi ujirembe na artificial decors, nakupenda hivyo hivyo ulivyo bibie!
 
huyu mdudu mpotezeeni anatujazia saver tu hapa hau nyie mnaojibizani ni wamoja kupoteza mada inayojadiliwa.

Wewe mbona umeshindwa kustahamili ukanipotezea? umejibu, ingawa ni umeandika utumbo lakini umejibu.
 
Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.

Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.

Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.

Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.

Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.

Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.

Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.
Naona unakaribia kufutwa kazi hapo Mwananchi sasa unataka sympathy. Meena naye unamuweka kwenye kundi la waandishi bora? Huyo si mamluki wa Nchimbi? Julius Samweli? Hata jina lake hajui kuandika. Hili ndilo gazeti lililombeba JK mwaka 2005 kwa kumsingizia Salim Ahmed mauaji. Sijui mtatoa single gani uchaguzi huu maana wataalam wenu wa Photoshop, kina Muhingo Rweyemamu wamekuwa wakuu wa wilaya na John Mongela kafanywa mkuu wa mkoa
 
Kwanini isiwe "Bibi mwema", saa hizi haki yangu kuitwa Bibi.

Bigurube usijali, was just kidding, nilikuwa najuwa sana si mwanamke, na for your information, Kagera nna historia napo ndefu sana, wakwe zangu waliishi sana huko na hata mume wangu aliishi sana huko udogoni kwake, ingawa lenyewe ni liji-handsome la hapahapa Kariakoo...

Leo umeandika kitu ya kiungwana sana
 
Akina Max kabla hawapokea hizo za "madafu" wakae wapime nguvu, muda na support waliyopewa na wananchi mpaka kuiikisha forum hapa ilipo. Kuiacha mikononi mwa fisi maji wale itasababisha damage kwenye mioyo ya walio wengi.

my friend hii ni biashara sio public service, ngoja matangazo yakate uone kama hawatafanya kama jenerali ulimwengu na RAI
 
Kwanini isiwe "Bibi mwema", saa hizi haki yangu kuitwa Bibi.

Bigurube usijali, was just kidding, nilikuwa najuwa sana si mwanamke, na for your information, Kagera nna historia napo ndefu sana, wakwe zangu waliishi sana huko na hata mume wangu aliishi sana huko udogoni kwake, ingawa lenyewe ni liji-handsome la hapahapa Kariakoo...

Dah umeishi Bukoba kumbe! Bila shaka hata Katerero unaifahamu bibie mzuri!
 
Denis Msacky hana cha usalama wala nini ni mjanja mjanja tu na anajitahidi sana kuwaaminisha hivyo wajinga wasiomfahamu
 
Back
Top Bottom