Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Tupe data sio kukanusha kienyeji

The problem mnapenda kupata habari za kuokotaokota then mnapost hapa kuwadanganya watu. Nachokwambia Mimi Denis Msacky sio mfanyakazi wa usalama wa taifa kama mnavyodanganya kama utaki unaacha nikupe evidence ya kusema sio mfanyakazi wa usalama kwani wewe umetoa evidence ya kusema ni mfanyakazi wa usalama?
 
Hali siyo shwari kivipi wakati gazeti la Mwananchi tunaliona mtaani kila siku linatoka?
 
Denis Msacky hana cha usalama wala nini ni mjanja mjanja tu na anajitahidi sana kuwaaminisha hivyo wajinga wasiomfahamu

The problem mnapenda kupata habari za kuokotaokota then mnapost hapa kuwadanganya watu. Nachokwambia Mimi Denis Msacky sio mfanyakazi wa usalama wa taifa kama mnavyodanganya kama utaki unaacha nikupe evidence ya kusema sio mfanyakazi wa usalama kwani wewe umetoa evidence ya kusema ni mfanyakazi wa usalama?

Lete evidence, nina uhakika hujui ulisemalo na wala hujui namna usalama inavyoplant watu wake kwenye taasisi nyingine hata za kiserikali kama TRA, BOT, Hazina kwenye mabenki na kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.

Wewe ni mweupe sana kichwani.
 
2015 Mengi yatatokea na kubadilika, mimi sitaacha kupiga kura na huku tuendako ntajua yupi wa kumpa kura yangu.
 
mambo yote yako jamiiforums bandugu,mimi hata magazeti siyahitaji hususani hayo magazeti ya kizandiki ndio siyagusi kabisaaaaaa,hapa ndio mwisho wa maneno yote,hapa ndio kuna kila habari ya mujini..
 
Lete evidence, nina uhakika hujui ulisemalo na wala hujui namna usalama inavyoplant watu wake kwenye taasisi nyingine hata za kiserikali kama TRA, BOT, Hazina kwenye mabenki na kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.

Wewe ni mweupe sana kichwani.

Hizo habari za kwenye vijiwe vya kahawa ndio unatuletea hapa. Eti Msacky usalama wa taifa. Hujui chochote kuhusu usalama wa taifa shwaini wewe
 
wakuu hapa sielewi sasa aika massawe ni jasusi na denis msaki naye ni jasusi, mbona kama mvurugano! walishirikiana kwa kazi moja au vipi tena?!

Mongoiwe umesema aika ni jasusi na yeye ndio anafukuza wafanyakazi vichwa akiwemo huyo denis msaki, GENTAMYCINE anasema Denis msaki ndio jasusi mwenyewe na kashavuruga kafanya timbwili amefukuzwa na kwamba mission yake imekwisha!

kwahiyo which is which, embu tuwekeni sawa tafadhali.


Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.

Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.

Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.

Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.

Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.

Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.

Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.
Binafsi Naona Kama Vile MCL Mmechelewa Kwani Nakumbuka Nilikwishawahi Hata Kumpa Taarifa Hizi Tokea Mwaka Jana Mwandishi Wenu Mmoja Ambaye Kwa Bahati Mbaya Mno Sasa Ni Eksi Shemeji Yenu ( Jina Nalihifadhi ) Pamoja Na Mwandishi Mwingine Wa Kiume Ambaye Ni Rafiki Na Hadi Sasa Tumekuwa Kama Ndugu Kuwa Wakae Makini Kwani Huyo Huyo Denis Msaki Mimi Namfahamu Kwa Muda Mrefu Tu Kuwa Ni Kijana Wa IDARA Na Kwamba Alikuja Hapo Kwa Special Mission Na Akishaimaliza Tu Kuna TIMBWILI Kubwa Atalifanya Hapo Ili MCL Imfukuze Kisha Mission Yake Na Ya IDARA NYETI NCHINI TANZANIA Iwe Accomplished. Na Jambo Hilo Kwa Sasa Limeshafanyika Na Pia Kuna Waandishi Wa Habari Wengine 5 Nawajua Kuwa Ni Wa IDARA Hiyo Hiyo Bado Mnao Hapo 2 Ni Wa The Citizen, 2 Ni Wa Mwananchi Na 1 Yupo Mwanaspoti ILA Kwasababu Ya UBISHI Wenu Na KUTUDHARAU Leo Ndiyo Mnakurupuka. Na Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Hawa Waandishi Wawili Huyo My Eksi Darling Wangu Na Huyu Comrade Wangu Wanaijua Hii ID Yangu Hivyo Waulizeni Vizuri Tu Kama Sikuwatahadharisha Muda Mrefu Kuhusiana Na Mpango Huu.

Na Kwa Kumalizia Tu Kuna Jingine Kubwa Ambalo MMETEGESHEWA MCL Na Msipoanza KUJICHUNGUZA Wenyewe KISAWASAWA Kampuni Yenu Sasa Hivi INAPOTEZWA Kwani Denis Msaki Sasa AMESHAWAWEKENI U.C.H.I wa M.N.Y.A.M.A Serikalini Na IDARANI Na Mnachunguzwa Kila Nyendo Zenu Huku Mkifuatiliwa Mwanzo Mwisho!

MMECHELEWA SANA Ndugu Zangu Na Nawaoneeni Huruma Na Siku Nyingine TUKIWA TUNAWAPA TIPS Msiwe Mnatudharau.
 
mkuu GENTAMYCINE mimi sio mshabiki wa dubwana FaizaFoxy, lakini ki uweli comment yako post #44 kwa uzi huu, nimeiweka hapa chini ni kama vile wewe sio mwanaume..... wewe ni ke' kubali tu.

au kama ni mwanaume una walakini, hapo mtu akitengeneza image ni kama ulikuwa unamuongelesha Matola huku ukilegeza sauti na kumremburia na kama vile unampa ishara ya kitu fulani ila yeye lbd haoni au hataki!


Halafu Una Kesi Ya Kujibu Kwangu. Hivi Muda Wote Ulikuwa Wapi? Umeniudhi Mno Kwa Kupotea Kwako Kwa Kipindi Kirefu Hiki Na Usiponijibu Haraka Na Mimi NASUSA Na Natoka Zangu Humu! Huwezi Kuniacha Swahiba Wako GENTAMYCINE Kwa Kipindi Chote Hiki Na Unajua Fika Kuwa ID Kila Niionapo Nafurahi Na Namkumbuka Nahodha Wangu Wa Mfano Na Mwenye Rekodi Yake INAYOTUKUKA Simba Sports Club Huyu Si Mwingine Bali Ni Kocha Wangu Msaidizi Suleiman Abdallah Matola ( Veron au MZAMBIA ). Nimefurahi Kuona Post Yako Mkuu!


Kumbe na wewe ni mwanamme? pole sana, hebu jisome tena:

Kama uko karibu na unaongea na mwanamme mwenzio namna hiyo, nnakuletea zawadi ya khanga.
 
faiza fox ni mpango wa kando wa profesa maji chumvi. so humu siku zote anatetea
1. profesa 0
2. dini yetu
3.chama cha majini

kutetea mambo hayo matatu huhitaji akili.unahitaj upumbavu sana.ukiwa na akili huwez hata kidogo. hilo ndilo linalomsumbua sana humu jf ila ndo hvyo mkono unaenda kinywan na anapata mahitaj yake mengne
 
Back
Top Bottom