Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Heee!? muoneni huyu nae! hivi nyie hiyo mijike yenu mnaioa iwe mitumwa yenu?

Khaa! mi sijaoana na mume wangu ili nimtumikie, hakuninunuwa mie utumwani, sisi kwanza hatuolewi, tunaoana. Kumbuka hilo. Haki yangu kulishwa na kuvishwa na kuenziwa. Kuwa managed.

Hapa ni Gt, mkitaka mipasho mlango upo wazi nendeni fb
 
Mm ni msomaji mzuri sana wa gazeti la Mwananchi, pengine kungekuwa na tuzo ya mnunuaji bora wa hili gazeti bila shaka ningeshinda! Kwa siku za hivi karibuni nimegundua tofauti kubwa ukilinganishs na miaka iliyopita, hasa kipindi ambacho Tido Mhando alikuwa CEO, wa MCL. Kuna mapungufu ya wazi wazi, na hivi sasa natafuta gazeti gazeti mbadala nitakalokuwa nanunua!

Nakubaliana na wewe kwa 100%, utadhani gazeti halina wahariri
 
Kumbe kwa Taarabu na wewe umekaa vizuri tu? Nilikuwa sijakujua kwa Pande hizo. Ajuza wewe hatari sana kumbe. Acha wasiokujua waumbuke hapa JF maana wanapigana na vivuli vyao. Jobu weli dani 🙂

BTW: Heri ya mwaka mpya FF.

Ndiyo haki na raha zangu hizo shosti, unatamani?
 
Kumbe kwa Taarabu na wewe umekaa vizuri tu? Nilikuwa sijakujua kwa Pande hizo. Ajuza wewe hatari sana kumbe. Acha wasiokujua waumbuke hapa JF maana wanapigana na vivuli vyao. Jobu weli dani 🙂

BTW: Heri ya mwaka mpya FF.

Weee Sikonge,

Unajua umri wa FF? ni mtu amekula chumvi nyingi mpe heshima yake, mwenzio hata wana wa Msimbazi alisha na kusahau kama huwa wapo
 
Mbona nampa sana tu heshima? Kungwi alisoma na Warioba UDSM na huwa ana uchungu mkubwa sana kuwa Warioba kawa Jaji, Waziri Mkuu....... na kuandika Katiba ya Tanzania, yeye hajafanya kitu.

Ila kwa sababu ni mtani wangu, huwa namchomekea maneno. FF si tu kuwa ana umri wake, bali pia kasoma vizuri sana. Msome tu hata anavyobishana, huwa anajitahidi kujenga point hata kama unaona kuwa anadanganya na yeye pia anajua kuwa anadanganya. Ni kama vile anatetea kuwa rangi ya limao ni njano, yeye anakuambia ni rangi ya CCM.

Ukitaka afufuke, mshambulie Rais Kikwete au Uislaam. Hapo ntakuambia kwa Kinyamwezi "walelo mwana wania...." hahahahaaa.

Heri ya mwaka mpya ndugu yangu.

Weee Sikonge,

Unajua umri wa FF? ni mtu amekula chumvi nyingi mpe heshima yake, mwenzio hata wana wa Msimbazi alisha na kusahau kama huwa wapo
 
Mm ni msomaji mzuri sana wa gazeti la Mwananchi, pengine kungekuwa na tuzo ya mnunuaji bora wa hili gazeti bila shaka ningeshinda! Kwa siku za hivi karibuni nimegundua tofauti kubwa ukilinganishs na miaka iliyopita, hasa kipindi ambacho Tido Mhando alikuwa CEO, wa MCL. Kuna mapungufu ya wazi wazi, na hivi sasa natafuta gazeti gazeti mbadala nitakalokuwa nanunua!

Mkuu ni kweli, hata mie ndio gazeti langu siku zote nlikuwa nanunua mwanachi ila nina wiki ya 2 sasa nimehama!
 
wewe una kua au una kuwa kijana. Fikiri japo kiduchu.

Nimefikiri kabla ya kuandika wewe ndo hujafikiri....

Kuna tofauti kubwa Kati ya kua ya kuongezeka na kuwa ya hali ya kutendeka jambo...

Mfano: watoto walikuwa wanacheza wakati mwalimu akifundisha.

Kuwa imetumika kuonesha hali (kitenzi) cha kuwa.....

Sentensi ya pili

Watoto wake wamekua Sana.

Hii inaonesha hali ya kuongezeka.....

Na huu ni msamiati Wa kiswahili sanifu jisomee hapo chini;

Kua; kuongezeka, kitendo cha kitu kuongezeka kutoka ktk hatua ya awali. (Kukua) mfano kuongezeka umbo... Umri na hali nyingine ....

Mfano.... Huu umti umekua Sana....

Mji Wa katerero umekua kwa kasi.....

Kama unataka kutumia KUWA unaweza sema hivi kwa kutumia sentensi hizo hapo juu...

1. Huu mti umekuwa mkubwa Sana....

2. Mji Wa katerero umekuwa ukikua kwa kasi Sana....

Mji Wa katerero umekuwa mkubwa.....

Mji Wa katerero umekuwa na maendeleo makubwa.....

Kusema tu mji Wa katerero umekuwa ni makosa lazima uoneshe umekuwa nini.....

Halafu acha ubishi ktk masuala ya isimu Kama haya utaumbuka bure....
 
Soma namba mbili yako halafu kasome nimeandika nini, sasa huko kama si kujiumbuwa wewe mwenyewe ni nini?
 
Mfano namba mbili unasema; mji Wa katerero umekuwa ukikua kwa kasi

Kwenye sentensi yako umesema; Labda pamekuwa.... Umeona tofauti?
 
Mbona nampa sana tu heshima? Kungwi alisoma na Warioba UDSM na huwa ana uchungu mkubwa sana kuwa Warioba kawa Jaji, Waziri Mkuu....... na kuandika Katiba ya Tanzania, yeye hajafanya kitu.

Ila kwa sababu ni mtani wangu, huwa namchomekea maneno. FF si tu kuwa ana umri wake, bali pia kasoma vizuri sana. Msome tu hata anavyobishana, huwa anajitahidi kujenga point hata kama unaona kuwa anadanganya na yeye pia anajua kuwa anadanganya. Ni kama vile anatetea kuwa rangi ya limao ni njano, yeye anakuambia ni rangi ya CCM.

Ukitaka afufuke, mshambulie Rais Kikwete au Uislaam. Hapo ntakuambia kwa Kinyamwezi "walelo mwana wania...." hahahahaaa.

Heri ya mwaka mpya ndugu yangu.

Ha ha ha ha ha
 
Bibie unasema Katerero Pamekuwa ,,,,,,,,,,,mbona unanitisha ?heri ya mwaka mpya ........
 
Mm ni msomaji mzuri sana wa gazeti la Mwananchi, pengine kungekuwa na tuzo ya mnunuaji bora wa hili gazeti bila shaka ningeshinda! Kwa siku za hivi karibuni nimegundua tofauti kubwa ukilinganishs na miaka iliyopita, hasa kipindi ambacho Tido Mhando alikuwa CEO, wa MCL. Kuna mapungufu ya wazi wazi, na hivi sasa natafuta gazeti gazeti mbadala nitakalokuwa nanunua!

nimenunua mara ya mwisho october wayeyushaji
 
Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.

Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.

Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.

Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.

Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.

Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.

Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.
wanasema uongo ukiachwa bila kijibiwa unafanana na ukweli, lakini si uongo wa aina hii, unaona uongo huu wenyewe unavyojifia kwa kukosa mashiko. unapata sapoti ya watu wawili watatu wenye malengo ya kibiashara wala si ya kiusalama...
 
Back
Top Bottom