Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

Kabembe

JF-Expert Member
Feb 11, 2009
2,548
1,741
Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya.
Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua.

Mara zote unapofungua account mpya ya bank unatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa, kura , barua ya serikali ya mtaa au mwajiri na kiasi cha pesa au ada ya kufungulia account.
Kama wiki imepita nilienda kufungua account NMB bank, bahati nzuri desk la kufungulia account halikuwa na foleni kubwa, kulikuwa na wateja wanne tu mbele yangu.

Sasa kilichonishangaza ni kwamba ile ada ya kufungulia account (kulikuwa na ada ya 10,000/ kwa account ya Chap chap na 15,000/ kwa account ya saving) ,kwa kawaida bank nyingine ukishafungua wa wanakwambia uende counter uka-deposit hicho kiasi but surprisingly yule bank officer alikuwa akichukua pesa na kuweka mfukoni bila kukupa risiti au bank slip.

Yaani kachukua ya mteja wa kwanza kaweka mfukoni, wa pili , wa tatu , wa nne hadi yangu pia. Sasa mimi nikawa najiuliza kama nikinunua kilo ya sukari shs 2,500/ napewa risiti, iweje bank haitoi risiti au kwa nini ile ada isiwe deposited moja kwa moja kwa account then wao wakaikata?

Je, serikali inapataje kodi yake toka kwa ada ya kufungua account? Na je NMB wanalijua hili au ndio utaratibu wao? To me this is theft, yaani kama siibiwi mimi basi serikali inaibiwa.
 
Alikua anatafuta hela ya kusolve shida zake za fasta fasta huyo, maana sidhani kama atakumbuka kiasi alichotoa kila mteja in case mtu akitoa zaidi ya kiwango cha kufungulia account
But unajua aliyenielekeza kwa huyo bank officer ni customer service manager tena akanipa hadi viwango vya kufungulia hizo account. Inawezekana branch nzima wanakula mgao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Samahani, nitoke kidogo tu nje ya Mada. Hivi baada ya Vitambulisho vya Taiga, hi ya kuwa na Barua kutoka Serikali za Mitaa ya nini tena?
Maana ile tu kuwa na Kitambulisho cha Taifa kunamaanisha kwamba ulipita huko wakati unakitafuta, sasa kwa mini unapohitaji huduma kama hiyo ya kufungua Akaunti Benki unatakiwa uwe na barua kutoka Serikali ya Mtaa??
Kitambulisho cha Taifa si kilipaswa kurahisisha yote haya?
Ama tumeuziwa Mbuzi kwenye Gunia????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm week iliyopita nilifungua acc NMB pia....
Unacho sema ni kweli kbsaa,
Ila Hela unayompa inaingizwa kwenye simu yako papo papo, watakata 5000 ya ATM na 500 ya VAT...
Kwaio HAKUNA WIZI

Kanipa form nikajaza,
Nikampa ID ya kura, Nikapga picha, nikasain
Nikampa10 akatia mfukoni....
Nikaletewa msg hela imeingia....
Kuna wizi gani hapo?

Ilikua chapchap accnt.....
Kama jina "chapchap" linavyojieleza,
Nilikua nipo CHAP kanishughulikia CHAP nikamaliza shida yangu CHAP nikasepa CHAP.

Binafsi sikujali na wala sijali as long accnt yng ipo active, hela ilivyotumika nimeona na inayobaki naona pia na nikiri Alinipa care nzuri....

Halaf wale wanaofungua chapchap acc hua wanazunguka mpk mtaani(wengi humu mtakubaliana na mm) Sasa mzee ulitaka atembee na Counter ili mteja adeposit?
Nini Maana ya Chap chap?
Tukizungushwa tutaanza kusema.....
Wabongo ma complicator.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm week iliyopita nilifungua acc NMB pia....
Unacho sema ni kweli kbsaa,

Kanipa form nikajaza,
Nikampa ID ya kura, Nikapga picha, nikasain
Nikampa10 akatia mfukoni....

Ilikua chapchap accnt.....
Kama jina "chapchap" linavyojieleza,
Nilikua nipo CHAP kanishughulikia CHAP nikamaliza shida yangu CHAP nikasepa CHAP.

Binafsi sikujali na wala sijali as long accnt yng ipo active na nikiri Alinipa care nzuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
Akishafungua accounts za kutwa nzima basi jioni anapaswa kudeposit zile pesa zenu..ww unaondoka na acc na yy anabaki na pesa kwajili ya kuiweka jion..hakuna wizi wa namna hio
 
Acha umbeya, mimi ni wakala. Fedha hiyo huingizwa kwenye akaunti yako na matumizi ni pamoja na gharama za kutengeneza kadi yako.
Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya.
Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua.

Mara zote unapofungua account mpya ya bank unatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa, kura , barua ya serikali ya mtaa au mwajiri na kiasi cha pesa au ada ya kufungulia account.
Kama wiki imepita nilienda kufungua account NMB bank, bahati nzuri desk la kufungulia account halikuwa na foleni kubwa, kulikuwa na wateja wanne tu mbele yangu.

Sasa kilichonishangaza ni kwamba ile ada ya kufungulia account (kulikuwa na ada ya 10,000/ kwa account ya Chap chap na 15,000/ kwa account ya saving) ,kwa kawaida bank nyingine ukishafungua wa wanakwambia uende counter uka-deposit hicho kiasi but surprisingly yule bank officer alikuwa akichukua pesa na kuweka mfukoni bila kukupa risiti au bank slip.

Yaani kachukua ya mteja wa kwanza kaweka mfukoni, wa pili , wa tatu , wa nne hadi yangu pia. Sasa mimi nikawa najiuliza kama nikinunua kilo ya sukari shs 2,500/ napewa risiti, iweje bank haitoi risiti au kwa nini ile ada isiwe deposited moja kwa moja kwa account then wao wakaikata?

Je, serikali inapataje kodi yake toka kwa ada ya kufungua account? Na je NMB wanalijua hili au ndio utaratibu wao? To me this is theft, yaani kama siibiwi mimi basi serikali inaibiwa.
 
Akishafungua accounts za kutwa nzima basi jioni anapaswa kudeposit zile pesa zenu..ww unaondoka na acc na yy anabaki na pesa kwajili ya kuiweka jion..hakuna wizi wa namna hio
Tena mm alifanya hapo hapo akaniambia ingia kwenye acc utaona hela yako..
Ila utakatwa 5000 ya ATM na 500 ya VAT....
Sijaona wizi wowote kwa kweli....

Pili mfn hawa wa chapchap hua wanazunguka mpk mtaani...
Mtoa mada sijui alitaka nao wazunguke na Counter ili wateja wa deposit

Sent from my SM-A9100 using Tapatalk
 
Acha umbeya, mimi ni wakala. Fedha hiyo huingizwa kwenye akaunti yako na matumizi ni pamoja na gharama za kutengeneza kadi yako.
Exactly...
Kwa chap chap
5000 ya card
500 ya VAT..

4500 unabaki nayo....
Mm nilielewa kila kitu wala sikuona wizi wao.

Sent from my SM-A9100 using Tapatalk
 
...Samahani, nitoke kidogo tu nje ya Mada. Hivi baada ya Vitambulisho vya Taiga, hi ya kuwa na Barua kutoka Serikali za Mitaa ya nini tena?
Maana ile tu kuwa na Kitambulisho cha Taifa kunamaanisha kwamba ulipita huko wakati unakitafuta, sasa kwa mini unapohitaji huduma kama hiyo ya kufungua Akaunti Benki unatakiwa uwe na barua kutoka Serikali ya Mtaa??
Kitambulisho cha Taifa si kilipaswa kurahisisha yote haya?
Ama tumeuziwa Mbuzi kwenye Gunia????

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni urasimu tu wa mabank, tena siku hizi ukifungua account kwa kitambulisho cha taifa lazima watumie kimashine cha nida Ambacho kimeunganishwa na system ya bank ili kuverify na hapo wanapata taarifa zako zote, sasa Sijui wanataka barua ya nini
 
Na mm wakati naenda kufungua acc juzi wakakataa cha taifa wakaomba cha kura kwa madai sijui kinasumbua nn huko....
Nilijiuliza nikapata ukakasi...
Nakat mm niliamini cha uraia ndio kingefaa zaidi

Sent from my SM-A9100 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom