Mihayo N'hunga
Member
- Oct 27, 2013
- 14
- 0
Hoja yangu kwa lisu JE WARAKA FEKI unatumika KUMUWAJIBISHA MTU........ so inamaana maamuzi yaliyotolewa na CC ya Mzee Mtei hayakuwa sahihi!!!!!!!!!! Sijajua lipi CHad..a Wamekusudia kwa ZZK mungu amuepushe yasimkute ya CHACHA WANGWE maana vijana kama D. Mallia wapo wengii....R.I.P CHACHA WANGWE.... damu yako haki yako itajulikana tu na Watanzania....