tundu Lisu anabwabwaja tu, nilifikili ni mwanasheria nguli kumbe ni boya tu.bi ni mnafiki tu.
Sasa huo uloandika apo ndo ukweli au......hahaa mtajamba mwaka huu
tundu Lisu anabwabwaja tu, nilifikili ni mwanasheria nguli kumbe ni boya tu.bi ni mnafiki tu.
usije tafuta sababu na vimaneno vya kicheni pati, hatutakuelewa, manake unamuulizia kifaru porini.
Mkuu usipende kuokota maneno mitaani na kuleta JF ukisimamishwa mahakamani unaweza kuleta ushahidi.
Anakoroga sumu ya kuwalisha wasaliti
Weka mada yako vizuri
'Eti wanadai' kina nani hao?? Lukuvi au Pinda???
wacha ushabiki zito ndio anapesa za ccm ajakupa? chama kinamajembe mengi toa zito tuzoee .wamvue uwanachama kieleele cheni kiisheunalipwa sh. ngapi na Tundu. au wale wale?
Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!
nimeusoma umejaa!! udaku wa Kubenea!! poor chadema
nimesikia lisu akisema huu waraka tunaousoma hapa jf ni feki.nimeamini hawa jamaa ni makanjanja
Wanataka waandike waraka mwingine ndipo waturetee.
ZITTO kazini!... Moja ni Id ya Zitto, guess!Duh hawa jamaa hawana aibu. Wameamua kuukana waraka. Watanzania watambue waraka uliochapishwa ni huohuo, na tena waliugawa wenyewe na kuutuma JF bila kujua madhara yake. Sasa wameumbuka kwa mambo yaliyopo ndani na sasa wanatapatapa.
Tundu Lissu aliwadanganya wajumbe wa Kamati Kuu kuwa 'tukiwafukuza hawa chama kitakuwa imara mara kumi'.
Eti waraka wa kufanya mapinduzi. Mapinduzi kwenye chama cha siasa yanafanyikaje? Hili sakata limempunguzia heshima sana TL. Sasa Mnyika naye hata kwenye kikao hakuwepo ameingia kichwakichwa.
danganya totoZitto akitimuliwa kesho yake chadema inakufa bila zito hakuna chadema.
ZITTO kazini!... Moja ni Id ya Zitto, guess!
danganya toto ana uwezo wakusambalatisha chama ata atambikie usiku namchana.Kawachezea kwalipi? Yaleyaliyo semwa kwenye ule waraka msipofanyia kazi shauriyenu.
Zito hakatai kufukuzwa.yupo tayari.anacho kataa yeye kesho na keshokutwa cdm ikiwa vipande vipande asilaumiwe yeye.
Utakwisha wewe.zito utabaki vilevile
wewe zito anaigi nje yachama au umesahau ?Duh! Kamanda, usaliti ni pamoja na kudai uchaguzi ndani ya chama?
Mi nasubiri kwa hamu nisikie jinsi ambavyo yule dogo wa ubungo aliokataa shule atakavyolishwa maneno ya kutamka kwamba Zito amefukuzwa halafu muone!
Tundu lisu hajawahi kufanya kitu cha maana zaidi ya kuropoka tu.
Zitto hana ubavu wa kuchezea vichwa za maelefu ya Watanzania wanaokiunga mkono chadema. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mtu mmoja hawezi kushindana na nguvu za Mungu.
Muambieni akome kabisa, na wala hatuogopi kumtimuwa.