Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi iliyobaki ni kwako! kiroo wacha kianze kudunda.Sasa kichekesho nilipokutana na mtoto ' nikaanza mambo vipi(kiroo kinadunda),akasema poa,vipi ulipata ujumbe wangu kutoka kwa st?akajibu Ujumbe gani,nikamwambia kuna ujumbe nilimtuma,akasema sijapata ujumbe wowote,Aisee nilipanic mistari yote ikatoweka nikaachana nae. Baadae nakutana na st ananiambia NIMEMTIA HAIBU AMBAYO HAJAWAI KUKUTANA NAYO.

Mtihani wa lugha ulipata ngapi ?kuwa mkweli
 
mkuu kabla ya kujifunza kutongoza si ungejifunza kusoma na kuandika kwanza! unawatia 'HAIBU' ma great thinker
 
hahahaaa! Shemejiiiii....... Nilikuuliza tu hata mm najua n mpole lakin wapole hao wakicharuka lazma mpoteane

^^
Unamjua Two ten lakini? Akija hapa, mtamweleza imeanza anzaje mpaka mkaitana shemeji kupitia jina la Himidini, mi simo
^^
 
Wakati ule tulipokuwa tunamaliza kusoma vitabu vya kiswahilli, mwalimu alikuwa anaandika misamiati iliyotokana na hadithi tuliyosoma.Hiyo ilisaidia sana kwenye kujua maneno ya kiswahili ila nahisi siku hizi hamna kitu kama hicho.Wanafunzi wa vyuo vikuu wanashindwa kutofautisha "a" na "h","r" na "l" hii ni aibu kwa Taifa.
 
asprin kuhama hli jukwaa itakua ndoto maana kibabu kile knapenda kukagua na totoz hazmptig pemben lol

Binti wakati mwingine hebu andika kama vile umekua na sio kama watoto

Huu uandishi huwa unanikera sana

Wakati mwingine sitakujibu!
 
^^
Unamjua Two ten lakini? Akija hapa, mtamweleza imeanza anzaje mpaka mkaitana shemeji kupitia jina la Himidini, mi simo
^^

Heeeeeee!!!!! who is this Two ten? Please mkuu akuje hukuuuu....

Shemejiiiii mgiriki, umeyasikia hayo? patachafuka sasa ivi, so kama vipi ukuje na ngao kabisaaa...
 
^^
Unamjua Two ten lakini? Akija hapa, mtamweleza imeanza anzaje mpaka mkaitana shemeji kupitia jina la Himidini, mi simo
^^

ohooo! Yamefika huko tena?! Two ten ndio nani huyo mkuu......... Mm najua ni shemeji kwa Himidin kumbe yupo Two ten
 
Heeeeeee!!!!! who is this Two ten? Please mkuu akuje hukuuuu....

Shemejiiiii mgiriki, umeyasikia hayo? patachafuka sasa ivi, so kama vipi ukuje na ngao kabisaaa...

hayo ndio siyapendi hayo yakuanza kusakamwa....... Jaman mm siwez kukuru kakala afya yangu haitoshi.......... Lakin mbona mnajikana??
 
Binti wakati mwingine hebu andika kama vile umekua na sio kama watoto

Huu uandishi huwa unanikera sana

Wakati mwingine sitakujibu!
mhh mwenzio nilikua sipendi somo la mwandiko ndo maana napata tabu kwelikweli kwenye uandishi!:redface:
 
hayo ndio siyapendi hayo yakuanza kusakamwa....... Jaman mm siwez kukuru kakala afya yangu haitoshi.......... Lakin mbona mnajikana??

Shemejiii unajua nimeshtuka kidogo kusikia kuna Two Ten.... presha imeshuka na kupanda kwa muda mmoja...
 
kwahyo sasa imetulia? Vp ndio yupi huyo 2 10?

Imetulia kidogooo shemeji... inabidi uje kuniona, usisahau juisi, kuku wawili, chipsi, nyama choma....
Huyo 2 10 ndo kwanza namsikia hapa. Labda umuulize mkuu Himidini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom