Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

weeee! Thubutuuu! Ulinywe na nan?!........ Mm ntagongwa ngumi hapa buree wakat ww utamwangalia kwa jicho la kutia huruma ataishia kukusamehe na kuganga yajayo wakat mm niko ICU....weee

Hahahaaaa..
Mie macho ya huruma sina... nahisi una dalili zote za kuniachia msala... mie naona nikakutafutie super glue, ugande hapa hapa...
 
Hahahaaaa..
Mie macho ya huruma sina... nahisi una dalili zote za kuniachia msala... mie naona nikakutafutie super glue, ugande hapa hapa...

hapo naweza kukutoka kweli si mchezo bhana watu wanagonga ndonga balaa
 
Hapa sina ujanja zaidi ya kutafuta maneno mazuri na kingresa cha uvunguni...
Shem, l need you... nahisi huyu 2 10 ni baunsa...

weee! Usinitafutie balaa tafadhar hapa ntashambuliwa na watu wawili Himidin na Two Ten....... Kwahyo staki matatizo mie
 
weee! Usinitafutie balaa tafadhar hapa ntashambuliwa na watu wawili Himidin na Two Ten....... Kwahyo staki matatizo mie

^^
Naona darubini yangu ya kimisri yenye piramidi inafanya kazi vizuri
^^
 
Siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi iliyobaki ni kwako! kiroo wacha kianze kudunda.

Sasa kichekesho nilipokutana na mtoto ' nikaanza mambo vipi(kiroo kinadunda),akasema poa,vipi ulipata ujumbe wangu kutoka kwa st?akajibu Ujumbe gani,nikamwambia kuna ujumbe nilimtuma,akasema sijapata ujumbe wowote,Aisee nilipanic mistari yote ikatoweka nikaachana nae.

Baadae nakutana na st ananiambia NIMEMTIA HAIBU AMBAYO HAJAWAI KUKUTANA NAYO.

Kheri yako wewe uliyebahatika Kuwa na dada, lakini still bado ukawa unabwela, wakati watu wengine kwetu wote vidume, na bado tulikuwa hatukosei, tukirusha ndoano lazima samaki anase.
 
weee! Usinitafutie balaa tafadhar hapa ntashambuliwa na watu wawili Himidin na Two Ten....... Kwahyo staki matatizo mie

Kwani waogopa nini shem?
Mtu mzima ila waogopa!!!! acha hizooooo...
 
hapo naweza kukutoka kweli si mchezo bhana watu wanagonga ndonga balaa

Unafikiri Himidini mkorofi??? Walaaaaa
Angekua undertaker sawa.... labda huyo 2 10, ukute kafanana na Jonsina... ntaondoka kimya kimya bila kuaga mie!!!!
 
Aaaah kumbe shule zimefungwa sahiv, ndo maana kichwa chako kipo :loco::juggle::hat: ACHA BANGI
 
Unafikiri Himidini mkorofi??? Walaaaaa
Angekua undertaker sawa.... labda huyo 2 10, ukute kafanana na Jonsina... ntaondoka kimya kimya bila kuaga mie!!!!

mi mchache bhana mambo ya masumbwi mm siyawezi kabisa ndio maana nataka kutokomea mapema
 
Pata super gro kwa bei Nzuri kwa wakulima wa vitunguu na Mazao yote,kuku na samaki sasa zinapatikana kwa ujazo wa 250ml and 5ltrs.Come one come all,ruksa kuni PM
 
Pata super gro kwa bei Nzuri kwa wakulima wa vitunguu na Mazao yote,kuku na samaki sasa zinapatikana kwa ujazo wa 250ml and 5ltrs.Come one come all,ruksa kuni PM

ImageUploadedByJamiiForums1396731178.887940.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom