Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Imetulia kidogooo shemeji... inabidi uje kuniona, usisahau juisi, kuku wawili, chipsi, nyama choma....
Huyo 2 10 ndo kwanza namsikia hapa. Labda umuulize mkuu Himidini...

hahahaaaaa! Usijali shemeji itabidi wakat nakuletea hvyo niwe nimekutoa out....... Na sehem nzur ya kupeana hvyo vitu iwe Sansiro gest house chumba namba 10 ili nikutoe stress zote........teh teh teh
 
hahahaaaaa! Usijali shemeji itabidi wakat nakuletea hvyo niwe nimekutoa out....... Na sehem nzur ya kupeana hvyo vitu iwe Sansiro gest house chumba namba 10 ili nikutoe stress zote........teh teh teh

Heeeee!!!
Sasa mimi mgonjwa nifuate nini huko?
 
Siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi iliyobaki ni kwako! kiroo wacha kianze kudunda.

Sasa kichekesho nilipokutana na mtoto ' nikaanza mambo vipi(kiroo kinadunda),akasema poa,vipi ulipata ujumbe wangu kutoka kwa st?akajibu Ujumbe gani,nikamwambia kuna ujumbe nilimtuma,akasema sijapata ujumbe wowote,Aisee nilipanic mistari yote ikatoweka nikaachana nae.

Baadae nakutana na st ananiambia NIMEMTIA HAIBU AMBAYO HAJAWAI KUKUTANA NAYO.
Hapo nyekundu alikua anazuga, kweli ulimtia aibu sista

Sikulaumu ulisema ilikua enzi za utoto ndio maana domo lilikuwa zege
 
aaaa! Kumbeeee! Nmeshakujua ww unataka kuniingiza chakike.............

Heeee.... we si ndo uliniingiza cha kiume, hapa hakuna kutoka... tumekoroga wote... tukae chini tulinywe mpaka liishe...
 
We ulipokosea ni hapo ulipouliza umepata ujumbe kutoka kwa sista? Ilitakiwa baabda ya kusalimiana nae we ungaunganisha tu Nashukuru kwa kukubali ombi langu nilimuagiza sista then kabla hajajibu unampa elfu 20 ya kubeep na kumwambie tukutane kesho sehemu tulivu huku ukimpa assignment wapi anapapenda.
 
Heeee.... we si ndo uliniingiza cha kiume, hapa hakuna kutoka... tumekoroga wote... tukae chini tulinywe mpaka liishe...

weeee! Thubutuuu! Ulinywe na nan?!........ Mm ntagongwa ngumi hapa buree wakat ww utamwangalia kwa jicho la kutia huruma ataishia kukusamehe na kuganga yajayo wakat mm niko ICU....weee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom