Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Siku moja nilimtuma dada yangu anitongozee kadem fulani jirani yetu,si utani kipindi hicho bwana mdogo domo zege ,dada akafanya kazi yake akaniambia mtoto nimemsomesha na kaingia line kazi iliyobaki ni kwako! kiroo wacha kianze kudunda.

Sasa kichekesho nilipokutana na mtoto ' nikaanza mambo vipi(kiroo kinadunda),akasema poa,vipi ulipata ujumbe wangu kutoka kwa st?akajibu Ujumbe gani,nikamwambia kuna ujumbe nilimtuma,akasema sijapata ujumbe wowote,Aisee nilipanic mistari yote ikatoweka nikaachana nae.

Baadae nakutana na st ananiambia NIMEMTIA HAIBU AMBAYO HAJAWAI KUKUTANA NAYO.
 
Ndio maana babu Asprin amehama jukwaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii ndiyo MMU, halafu mnasema huku hakuna stress? nawashangaa!
 
Amakweli michezo ya utotoni inasaidia sana.mkubwa hivyo hujui kutongoza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom