Kwahiyo ulishindwa kutia mistari mtoto wa kiume??
nikweli naogopa kung'olewa meno..... Lakin unajua kwann nakuita shemeji?!
Nami nilikua na hamu ya kujua hiyo sababu shemejiii... niambie tafadhali....
ww ni mzur sana halafu mm sina hela kwahyo kukupata ni ishu hvyo ntaishia kukuita shemeji........ Nmeona nitengue kauli ili Two ten akija ajue ninachomaanisha
^^
Haaaaaa! Mgirikiiiiiii
You made my day
^^
hahahaaaa! Mbona unacheka mkuu si ndi maana hata Christine Ibrahm amenitosa ameona Atm haisomi teh teh teh
ww ni mzur sana halafu mm sina hela kwahyo kukupata ni ishu hvyo ntaishia kukuita shemeji........ Nmeona nitengue kauli ili Two ten akija ajue ninachomaanisha
Hahahahaaaaaaa lol...
Umenichekesha sana... we ndo shem original... siku ukiharibu tu, watengua kauli kabla hujakabwa, l like it...
unacheza na kibano nn??..... Au ww ulitaka nisemeje?!
Mie nimeridhika na hilo hilo jibu shem, nami nitaponea hapo hapo huyo 2 10 akija..
Kwahiyo ulishindwa kutia mistari mtoto wa kiume??
sasa hapa usinikimbie fungamana nami naona kibano kinatunyelea kutakuwa na watu watatu sasa........ Mambo ya kunikana sipendi
Umeyaona madhara yake sasa?
ndio, itabidi nianze tution kwako Eiyer:biggrin:
Siwezi kukukana walaiiii, mie na wewe tenaaaaaa... kufa na kuzikana shemejiiii...
hahahaaaa! Hapa naona tubadili jina ili Himidin akija akute mambo tayar
Hahahaaaa
Anza wewe x shem, mie ntamalizia...