Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Aibu niliyopata nakijifunza kutongoza

Shemejiiiiiiiiiiiiii ukuje huku... unapitwaaaa... tumechinja naniliuuu.. mbuz katoriki... Himidini atamalizaaaa

hahahaaaa! Nmekuja nilikuwa namalizia serenget yangu si unajua wikend
 
^^
???? mgiriki + nameless girl = ????
Let me use ancient Egytian pyramid microscope to understand you two.
^^

kwan kuna nn mkuu........ Napenda sana kupiga stor na shemiji yangu...... Anakusifia sana anasema ww ni kiungo mzur sana unakaba namba zote mpaka unafunga goli
 
Last edited by a moderator:
giraffe, hii hadithi inatufunza nini hasa???
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana babu Asprin amehama jukwaa!!!!!!!

asprin kuhama hli jukwaa itakua ndoto maana kibabu kile knapenda kukagua na totoz hazmptig pemben lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom