mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
​lets sit back n relax
Aliyechoka ni nassari na CDM kwani yeye kuna kura alizokuwa akilinda?
- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa mbele sasa I mean mwendo mdundo jamani twende kwa mbele!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA, NA MUNGU AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI!
William.
Umechoka kivipi, wengine tulikuombea upambane bila kuchoka, inamaana maombi yetu yalitupwa kapuni?- Mkuu heshima mbele sana, ukisema wewe Aminia! Wakuu wengine wote JF tupo wote ila naomba kupumzika maana kampeni ilikuwa kali sana nimechoka nahitaji kupumzika kwa muda kidogo!
William.
Stupid reasoning. Umefanya utafiti kufikia hiyo conclusion?As long as ni kwa tiketi ya magamba, sikupi sapoti. Inawezekana umeipata nafasi kama alivyopata Sioi, au ili chama kipate member wa jf maana Chiligati alikiri ni mtandao hatari kwa ccm! Vyovyote vile, sikupi sapoti maana naamini hakuna kiongozi anayeweza kufanya vizuri linapoja swala la maslahi ya taifa akiwa ccm! Waangalie akina Sitta, Mwakyembe! Jiulize alipo Aloyce Kimaro. Kukusapoti kwa kuwa tu ni member "mwenzetu" hapa jf ni upuuzi mtupu! Inawezekana huijui hata mtera. Unaishi marekani halafu unataka kuja kutetea maslahi yetu eac! Maslahi tunayajua sisi tuliopo huku siku zote au wewe uliyeona ukatafute maisha NY! Hao waliokupitisha nao hawana maono maana huitaji kufikiri sana kuhusu hilo! Wameshindwa kujifunza somo la haraka kwamba pamoja na mambo mengine Sioi ameshindwa sababu haishi Arumeru!? Kweli ccm sikio la kufa!
Yeyote wa ccm ashindwe na akafie mbali maana wanazidi kutucheleweshea mageuzi, ukombozi na maendeleo ya haraka nchini mwetu!
You still have my unflinching endorsement.
mkuu siishie hao tu walikuwepo wakina j makamba, nape, olesendeka kumbe wooote ni masaburi tuu!ni wale wale tu, mtampa hongera nyingi mwisho wa siku ni yeye tumbo lake na familia yake, nilishaacha kumwamini yoyote anaetoka lichama linaitwa ccm. Nilanza kumwamini kilango, mwakyembe, six et al, lakini nimekuja gundua nao ni wachumia tumbo tu, so is willy j. M. Huwa najiuliza kama rangi ya kijani ni laana sipati jibu