Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

Wana Jf jamani nilisema Ben ni mwanasiasa mtata sana.Kilichomfanya anadi wanasiasa wa chama kingine ni nini?Malumbano niliyoweka hapo juu yalianza baada ya huyu dogo (dikteta mbaya sana kwa anayemjua) alipoweka badiko zito lakuwanadi akina willium na shy-rose huku yeye ni mwanachadema.

Mkuu, kama vile una chuki na Ben zaidi ya alichokiandika. Vita vya kisiasa ni vya kisera, sio vya mtu na mtu
 
To be honest, I disguise nepotism. Hukufanya Kazi Na sisi ulikimbilia kwenye green pasture, ukatuacha tunateseka Na vijimshahara, mazingira magumu, hata hujui jua letu, tabu zetu, machungu yetu, Leo unatuwakilisha, hivi utaongea nini huko? Hata tukikuambia bila experience utaguswa kweli. Anyway mi wangu Fancy amepita? Kadada jiniasi sana, namkubali mbaya....

Nakuunga Mkono
Kumbuka huyu jamaa asivyoielewa jamii ambayo leo anataka kuiwakilisha, alipofika hapa alienda kufanya ziara kwao mtera, cha ajabu post alizokuwa akizituma kutokea mtera zinaonyesha kabisa jamaa alikuwa kama vile mtalii fulani hivi, eti anashangaa ugumu wa maisha.

Achilia mbali hayo, huyu Jamaa alikuwa ni baharia, we all know mabaharia, maisha yao ya kawaida ni anasa kwa kwenda mbele, hakuna mtu ameishi maisha ya anasa anaweza aka reason around maisha ya watanzania, Majuzi nimekutana nae Mgahawa wa the CHEF hapa Dar, alikuwa amezungukwa na mabaharia wenzake mambo wanayozungumza hayana uhusiano kabisa kabisa na aina ya Uongozi tunaoutaka Japo kwa watu mtera wa pekee achilia mbali hayo mambo ya EA yenu.

Nachoweza kusema ni kwamba, kwa kadri navyomfahamu kutoka na interactions naye humu JF na kitaa kidogo, simuungi mkono, hata kama niko naye upande mmoja katika swala la kupinga Federation lakini hajanishawishi kama anaweza kuifanya hii kazi vizuri.

Nikifikia hapa huwa najikuta nawaunga mkono wale wanaoacha kwenda kupiga kura.
 
Mkuu,

Usihamie CCM kabisa.Kwa sababu kanuni zinabana (of course nina tatizo na muongozo wa kanuni hizi za uchaguzi wa EAC ndiyo maana nimesita kuchukua fomu hadi sasa kupitia chama changu cha chadema) basi ili tupate wawakilishi bora ni lazima tuzingatie mitizamo na utayari wa watu kubeba ajenda za taifa kwa ujumla.ukiwa tayari kushirikiana na Intellectuals hapa JF,ukiwa tayari kuweka maslahi ya taifa mbele basi wewe unaweza kuwa mwakilishi bora huko EAC kuliko mwenye PH.D aliyekosa hizo qualities.Willium and Shy-Rose can be better than the other candidates huko CCM

Naamini uwepo wa Willium na Shy-Rose Bhanji hapa JF utakuwa wa manufaa katika kazi ya uwakilishi.Kuna thread inasema mgombea Willy Malecela anahitaji kufundwa.Kama kuna mapungufu sisi tuna fursa pana zaidi ya kumfunda mwakilishi wa Tanzania huko EAC

Hata mimi kuwapo kwangu JF,Ninaendelea kujifunza na kuimarika kisiasa.Akina mzee Mwanakijiji,Kichuguu,mkandara,Augustine moshi,Rev.Kishoka,Waberoya na wengineo wengi wanafanya kazi nzito kwa ushauri kwenye mijadala ya wazi hapa jamvini and in private kuhakikisha nakomaa zaidi kisiasa.Nawashukuru kwa hili na rehema zake Mwenyezi Mungu ziwashukie hawa na Wana JF kwa ujumla wenu

Mkuu,Tafadhali usihamie CCM jiunge na harakati za ukombozi najua hata Willium Malecela baada ya kumaliza muda waake wa uwakilishi (naamini atakuwa mwakilishi wetu huko EAC) atajiunga upande wetu .Naamini atakuwa miongoni mwa wagombea wa chadema kwenye kura za maoni kule Mtera mwaka 2015

Hakika ni heri ya mwenye Diploma yenye kufaidisha umma kuliko kuwa na PHD yenye kuumiza umma.Kwenye Red pamoja Ben!!!
 
kweli hii nchi haina viongozi? Kila kiongozi lazima atoke kwenye ukoo wa watawala? Wao wana nini? Wanamfariji Malecela?
 
DSN,

Bravo,tuna fursa ya kumsaidia Willy kama kuna mapungufu yoyote ili mradi maslahi ya Taifa letu huko EAC yanakuwa intact.kanuni za uchaguzi huu ndizo zinazotufanya tutafute kuunga mkono wagombea huko CCM ili tupate wawakilishi wazuri watakaoshirikiana na atakayepitishwa na upinzani (ofcourse kama mgombea wa chadema atapitishwa na naamini atakuwa bora). kingine tunaamini kwa vigezo vya uzalendo na competency Willium na wagombea wengine mtawashawishi wabunge wenu kupitisha jina la mgombea wa Chadema ili mpate mwakilishi bora matakayeshirikiana naye.Imekuwa tabia ya CCM ku-compromise maslahi ya nchi kwa kuchagua mgombea wa CUF,TLP au chama kingine ili mradi waikomoe chadema kama walivyofanya mwaka 2006 kumchagua Fortunatus Masha wa TLP badala ya Prof.Baregu wa Chadema.Pia kanuni za uchaguzi wa EAC zinastahili kubadilika

Let us now be matured.Tuweke sasa maslahi ya taifa juu ya vyama vyetu

Ninapenda sana namna unavyonishawishi kumuunga huyu jamaa mkono kwa msingi wa kumtumia tu, lakini kinachonifanya nijisahau na kuanza kumpinga ghafla ni kwamba hajafanikiwa kunishawishi juu ya uwezo wake binafsi wa kujenga hoja na kuzisimamia, au basi kwamba kichwani kwake kuna framework itakayomuwezesha kukabiliana na hoja zote hatarishi kwa maslahi ya watanzania.

Naomba unicopie hapa angalau moja ya maandiko yake humu humu JF yaliyokufanya wewe Ben umpiganie huyu Jamaa, ama sivyo naona kama unataka kutuburuza.
 
Nakuunga Mkono
Kumbuka huyu jamaa asivyoielewa jamii ambayo leo anataka kuiwakilisha, alipofika hapa alienda kufanya ziara kwao mtera, cha ajabu post alizokuwa akizituma kutokea mtera zinaonyesha kabisa jamii alikuwa kama vile mtalii fulani hivi, eti anashangaa ugumu wa maisha.

Achilia mbali hayo, huyu Jamaa alikuwa ni baharia, we all know mabaharia, maisha yao ya kawaida ni anasa kwa kwenda mbele, hakuna mtu ameishi maisha ya anasa anaweza aka reason around maisha ya watanzania, Majuzi nimekutana nae Mgahawa wa the CHEF hapa Dar, alikuwa amezungukwa na mabaharia wenzake mambo wanayozungumza hayana uhusiano kabisa kabisa na aina ya Uongozi tunaoutaka Japo kwa watu mtera wa pekee achilia mbali hayo mambo ya EA yenu.

Nachoweza kusema ni kwamba, kwa kadri navyomfahamu kutoka na interactions naye humu JF na kitaa kidogo, simuungi mkono, hata kama niko naye upande mmoja katika swala la kupinga Federation lakini hajanishawishi kama anaweza kuifanya hii kazi vizuri.
Ndio kusema Mzee Abeid Karume umemuweka kundi gani gani kama ujui nae alikuwa baharia !!Navyo fahamu mimi bahari ni moja ya kazi ngumu sana yenye kuitaji moyo mgumu sana kufanya maamuzi magumu ni moja ya professional zenye heshima ya kuitwa wagumu ikiwemo sekta ya madini kwanye migodi.Moja ya sifa ya mwanaume wa shoka duniani ni kuwa baharia na watu wa migodi [Miner].Ndio maana vijana makabwela wa Tanzania wakipigika na maisha kiasi kuwa wanaweza kuishi maisha yote sifa kuu ni kujiita Baharia au Mwanaappolo [Miner].
 
Wana Jf jamani nilisema Ben ni mwanasiasa mtata sana.Kilichomfanya anadi wanasiasa wa chama kingine ni nini?Malumbano niliyoweka hapo juu yalianza baada ya huyu dogo (dikteta mbaya sana kwa anayemjua) alipoweka badiko zito lakuwanadi akina willium na shy-rose huku yeye ni mwanachadema.

JF naipenda sana ila kinachonipa shida ni aina hii ya watu wanaoendeleza na kuendekeza chuki na kuadhani kuwa siasa ni uadui au uhasama. Tuwe tayari pia kusikiliza na kuvumilia wenye mawazo tofauti na sisi n hiyo ndio demokrasia... tuwap[ongeze pia wanapofanya mazuri na tusipinge kila kitu na kila mtu simply anatoka chama tofauti na chako. Hili litatushushia heshima na kufanya wenye busara na ushauri mzuri kuona JF ni kambi ya watu wenye mawazo ya aina moja tu na hatuwezi kuendelea kama hatupo tayari kuwasikiliza wenye mawazo tofauti na sisi.
 
Ndio kusema Mzee Abeid Karume umemuweka kundi gani gani kama ujui nae alikuwa baharia !!Navyo fahamu mimi bahari ni moja ya kazi ngumu sana yenye kuitaji moyo mgumu sana kufanya maamuzi magumu ni moja ya professional zenye heshima ya kuitwa wagumu ikiwemo sekta ya madini kwanye migodi.Moja ya sifa ya mwanaume wa shoka duniani ni kuwa baharia na watu wa migodi [Miner].Ndio maana vijana makabwela wa Tanzania wakipigika na maisha kiasi kuwa wanaweza kuishi maisha yote sifa kuu ni kujiita Baharia au Mwanaappolo [Miner].

Ndo maana wanasema Aman Karume hakushiriki harakati zozote za kupigania uhuru, Urais ulimwangukia kama Mana kwa Waisrael.
Alafu,
DSN
Baharia huyu anaweza akaja na solution ipi ya kumletea unafuu mkulima wa Pamba, ama mkonge, au Karafuu, nakuhakikishia kuna uwezekano mkubwa sana kwamba haelewi ni kwa kiasi gani wakulima wa Tanzania wako nje ya mfumo wa Fedha,

The big point is American life style can not fit in Tanzania environment.
 
Hongera sana mkuu W.J.S.Malecela,naamini kila kitu kitaenda vizuri mpaka mwisho! Mungu aendelee kuwa pamoja nawe katika hii safari.
 
Mkuu, kama vile una chuki na Ben zaidi ya alichokiandika. Vita vya kisiasa ni vya kisera, sio vya mtu na mtu

huna cha kuchangia wewe.kama vipi nipotezee hulazimiki kuchangia
Ninapenda sana namna unavyonishawishi kumuunga huyu jamaa mkono kwa msingi wa kumtumia tu, lakini kinachonifanya nijisahau na kuanza kumpinga ghafla ni kwamba hajafanikiwa kunishawishi juu ya uwezo wake binafsi wa kujenga hoja na kuzisimamia, au basi kwamba kichwani kwake kuna framework itakayomuwezesha kukabiliana na hoja zote hatarishi kwa maslahi ya watanzania.

Naomba unicopie hapa angalau moja ya maandiko yake humu humu JF yaliyokufanya wewe Ben umpiganie huyu Jamaa, ama sivyo naona kama unataka kutuburuza.

anatumia kipaji cha kutongoza.anavyompigia kampeni shy-rose siji alishamuingiza kwenye nyavu zake.duh!
 
JF naipenda sana ila kinachonipa shida ni aina hii ya watu wanaoendeleza na kuendekeza chuki na kuadhani kuwa siasa ni uadui au uhasama. Tuwe tayari pia kusikiliza na kuvumilia wenye mawazo tofauti na sisi n hiyo ndio demokrasia... tuwap[ongeze pia wanapofanya mazuri na tusipinge kila kitu na kila mtu simply anatoka chama tofauti na chako. Hili litatushushia heshima na kufanya wenye busara na ushauri mzuri kuona JF ni kambi ya watu wenye mawazo ya aina moja tu na hatuwezi kuendelea kama hatupo tayari kuwasikiliza wenye mawazo tofauti na sisi.

Mawazo mazuri ya William tuyaunge mkono yako wapi?
 
umetumwa wewe...hujalazimishwa kuwa Jf
 
mental case...so as CCM

Umeona jinsi Julius Malema alivyomuita Zuma dikteta wazi wazi juzi?Ben Saanane anayemuona Mbowe dikteta ulikuwa unamshabikia.umekuja kuanza tena ligi hapa shukuruni ile sredi ilifungwa

JF naipenda sana ila kinachonipa shida ni aina hii ya watu wanaoendeleza na kuendekeza chuki na kuadhani kuwa siasa ni uadui au uhasama. Tuwe tayari pia kusikiliza na kuvumilia wenye mawazo tofauti na sisi n hiyo ndio demokrasia... tuwap[ongeze pia wanapofanya mazuri na tusipinge kila kitu na kila mtu simply anatoka chama tofauti na chako. Hili litatushushia heshima na kufanya wenye busara na ushauri mzuri kuona JF ni kambi ya watu wenye mawazo ya aina moja tu na hatuwezi kuendelea kama hatupo tayari kuwasikiliza wenye mawazo tofauti na sisi.

Hicho ulicho address ndio kwenye tatizo la msingi,yani kuna uadui hata kwa jambo la kutambua tiu [Recognition] When a person receives recognition for the things that they have done, people acknowledge the value or skill of their work,no matter anatoka chama gani,haya yote yalizalishwa na CCM kwa maneno ya HUYU MWENZETU,NDUGU YETU hivi zama zile wale wasio wanaccm walikuwa wanyama?.

Ndio kuna uadui wa kichama wa kutokuwa karibu na chama pinzani kwako kichama kivilee,lakini mfano kitendo cha Nape Nauye kuwapa Salamu za pongezi ni CCM kwa kutumia kada wake ambae wao wanaona anakubalika kwa CDM basi wanasema pongezi zao ni kuonyesha kuwa kupitia Nape, CCM wanajifunza nao Uungwana hata kama ilikuwa ni Nape mwenyewe nae kwa niaba ya chama chake ambacho yeye anadhamana ya kukitangaza na kukisemea basi salamu zile ndio uugwana tunaotaka.Na kwa uugwana huo wa Nape kwa niaba ya CCM,hakuwezi wala hakutoshi kumbadilisha Nape kuwa Mwanachadema na atabaki kuwa MwanaCCM mpaka vinginevyo kwa yeye na sio sisi.

Tufike sehemu zama za mwenzetu na ndugu yetu zife,nachopingana nacho ni unafiki wa kuwa ndumila kuwili leo wewe ni mwanachama wa CCM kesho unaenda kwa wanaCDM.Yani design hiyo ya watu hata mimi mwenyewe siwafagilii,kwa kuwa If he/she is telling you about others he/she tell others about you.Ila kwa swala la kupeana nguvu na imani pale panapostahiki zitoke kama ni CDM poa kama ni CCM poa.
 
Well said Mkuu,
Kuna aliyeniambia sikulazimishwa kuwa JF sijui yeye nani alimualika hapa ila niseme tu kuwa jana nilikuwa pale DICC kulikuwa na Mkutano wa
Commission for Human Rights and Good Governance (CHRGG) na mojawapo kati ya ajenda ilikuwa ni Roles of Social Media in promoting Human Rights.... kiukweli niliapreciate kuona wadau mbali mbali wa haki za binadamu wakiimwagia siga JF lakini kikwazo ni hawa watu wenye mawazo na muelekeo wa aina moja na wanaodhani kuwa kila kinachosemwa na kufanywa na wale wenye uelekeo tofauti si sahihi Let us think Loud!!
 
Mawazo mazuri ya William tuyaunge mkono yako wapi?

Ni haya: JF tuwe tayari kuheshimu mawazo yanayotofautiana na ya(ko) (kwetu) kwasababu naamini tupo hapa tulipo (kama nchi) kwasababu kuna watu wamekuwa wakikataa kusikiliza mawazo ya wengine simply because wanatoka mrengo tofauti na wao bila kupima hoja zao na kufanya maamuzi basing on the power of the argument.
 
Back
Top Bottom