Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

Good Luck Mkuu..

Lakini with Tanzanian Politics, makes you wonder if the outcome was not known before the Mchakato, Not your fault lakini ni precedent ambayo imewekwa na the so called ruling party.

Again All the Best
 
Ndo maana wanasema Aman Karume hakushiriki harakati zozote za kupigania uhuru, Urais ulimwangukia kama Mana kwa Waisrael.
Alafu,
DSN
Baharia huyu anaweza akaja na solution ipi ya kumletea unafuu mkulima wa Pamba, ama mkonge, au Karafuu, nakuhakikishia kuna uwezekano mkubwa sana kwamba haelewi ni kwa kiasi gani wakulima wa Tanzania wako nje ya mfumo wa Fedha,

The big point is American life style can not fit in Tanzania environment.
Sometimes ukweli utapingana nao? ebu kwako binafsi Sangarara niambie/twambie nani tumpigie upatu hapa kwa hali halisi ya ndani ya CCM,na candidates wao ambao wanawafanyia mchujo wao kama wao CCM,na sie huku nje tuna influence nae hapa ndani ya jamvi.

Hii tabia ya kuwa CCM,imeoza sio mjadala tena kwa mtu ambae ni greta thinker,great thinker anapaswa kuwa kwenye vitendo na mikakati ya kuondoa uozo huo,kwa namna yoyote ambayo yeye anaona anauwezo nayo.

Mimi kama mwanaJf the only oportunity kwa jambo hilo la Ubunge wa EAC kwa tiketi ya CCM,ni kutoa sauti ya mwangi kwa wanavikao wa CCM wamchague mtu ambae nina uwezo japo wa kukemea na kumsema akanisikia kuliko zimwi nisilo lijua au wahenga wetu hawkupata kukuachia misemo kupitia babu yako kuwa Zimwi likujualo alikuli likakwisha.

Kuhusu karume mkuu,mengine ni historia yenye ukinzani ambayo mimi na wewe,hatuna ukweli nayo mengine ni hear say lakini kwa upande wangu najudge kwa mambo alioifanyia Zanzibar.

Ukitaka kujua baharia ana umuhimu gani kwa ufahamu wa mtu anaitwa kabwela [Struggle life Style-Soweto kind of life] ,nenda kwa vijana wa kitanzania hasa wakazi wa trench town waambie wewe ni either Baharia dhidi ya Engineer/Chief accountant/PHD Holder uone nani atapewa kigoda na mama wa Uswazi.Wanamjua Bahari kuliko wanavyomjua Mhasibu au PHD Holder sana sana watakuuliza hiyo Accountant ndio nini Baba au iyo umesema PDD nini Baba?

Msisemee vitu ambavyo amna uzoefu navyo jamani tufanye kutembelea kwa Makabwela ongea nao mbona iko wazi watanzani maskini mnaowatakia maisha mazuri humu ndanii ya JF wanamjua baharia kwa uzuri zaidi,ni nadra kumkuta kijana kabwela akasalimiana na kabwela mwenzie akamwita accountant wangu!!! au PHD Holder wangu!!! ila Nenda kawasalimie wape tano waambie Baharia Wangu uone watakavyokupa tano!!!,

Kumbuka utake usitake pamoja na kuwa kama binadamu ni lazima kuondokana na ile mifumo ambayo inaweza kutuludisha kwenye ufalme lakini kuna mazingira ambayo inabidi kuyajenga sio kuamka kwa siku moja yaishe.Ukisema ufahamu mtoto yule wa John Samwel Malecela anauwezo wa kuwa kama baba yake na hata kumpita zaidi baba yake kwa kuwa ameongeza gene zingine hivyo kama unamjua Mzee Malecela basi usiulize makofi Police,au usiulize naniliii ya mbwa wakati umeshika mkia wa mbwa.Kama ni siasa za Tanzania basi msure yule ni balaa,ila ana matatizo yake ambayo nayo yana mchango wake kitaifa kama kiongozi hapa tulipofika.

Uzoefu wa kolosho na mengineyo ni a matter of knoweldge na awareness ya eneo husika si swala la kukaa miaka kujifunza kuwa Lindi au Songea wanamatatizo gani.Hata zitto na wenzie CDM wanajielimisha usiku na mchana kujua hatua zipi kwa kujifunza kujua matatizo ya watanzania kwa kusoma taarifa nyingi ambazo wana access nazo.Mengineyo kumuhusu ni mapaungufu ya ujana ambayo hata wengine wameambiwa waache kama wanasiasa humu jamvini.
Mfano mimi binafsi nime muonya kuwa yale mambo ya show off na wale mabrotherman wa Roze Garden na kuuza sura kwa vichumba vya jiji achane nazo,vyote vile ni ulimbukeni hasa kwa mtu ambae anakwenda kushugulikia mambo muhimu ya kitaifa.Tutalekebishana humu humu jukwaani mpaka kitaeleweka.
 
I checked last time you were in my ignored list!

muone mwenzako kwenye profile yake facebook leo alivyoonyesha misimamo yake.niliwaambia ninyi ni maradical wabaya sana

Ben Saanane sattus :

Another Suspension for Julius Malema. the ANC Disciplinary comittee's ruling reflects a leadership of dwarfs around a dictator.Another sad Day for African Youths who are determine to Liberate the continent from imperialism and their Puppets. A typical example of supression youths vigour,they dont want to listen to youths oponions.Yes,Zuma ni dikteta na msaliti mkubwa wa Bara la Africa.
 
- Mkuu Halisi ulipotea sana upo ndugu yangu? Saafi sana kukuona tena!

Es!

Just curious mkuu mbona hujampongeza W.J.S.Malecela? badala yake umeanza na hii?? Au kwasababu mna forum nyingine ya kuwasiliana kama familia!

Don't take it personal lakini najaribu kuunganisha dots tu. Hongera sana lakini kwa hatua hii mliyopita ni ushindi wetu sote.
 
Simwonei wivu lakini huyu jamaa kapita kwa vigezo vipi? Atatuwakilishaje hata siku moja hajawa hata balozi wa nyumba 10? Hakuna wana CCM wowote wenye sifa zaidi ya huyo jamaa? Mbona kuna jambo hapa siliewi?
 
Amechoka alikua anakampen kata gani na mtaa gani na kwa siku ngapi.?

Kampeni za usiku na kugawa bahasha................ Si unajua tena CCM?? Otherwise, it doen't make sense!! Kama siyo coruption za Magamba, kampeni zilitakiwa kuwa kufanywa ukumbini!!
 
Dkt. Hildebrand Shayo kaachwa.

shayo.jpg

Leo Aprili 4, 2012, si kuwa naomba kura kwa Wabunge wa CCM, kwani mchakato wa uteuzi kwa hatua tuliyofikia imekamilishwa kutokana na taratibu zinazokubalika ndani ya chama cha Mapinduzi.

Leo, badala yake, napenda kutoa kura ya shukrani. Mimi kumshukuru Mheshimiwa Pinda waziri Mkuu na Mbunge ambaye ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kikao, Mheshimiwa Abdulrahaman Kinana mwakilishi wa CCM, wapinzani wangu katika kuwania kuteuliwa kwenda kwa wabunge kupigiwa kura yaani:

Janeth Mmari, Janet Mbene, Fancy Nkuli, Narah Mukabi, Shally Raymond, Shyrose Bhanji, Ngollo Malenya, Godbertha Kinyondo, Hamida Kalua, Angela Kizigha, Happyness Lugiko, Ruth Msafiri, Dr. Aman Kabourou, John Ngongola, Dr. Evans Rweikiza, Siraju Kaboyonga, Bernard Murunya, Dr Edmond Mndolwa, Christopher Awinia, Charles Makongoro Nyerere, Adam Kimbisa, Elibariki Kingu, simon Berege, Mrisho Gambo, Handley Mafwega, William John Malechela, Mussa mnyeti, Godfrey Mosha, Septuu Mohamed Nassor, Safia Ali Rijaal, Rukia Seif Msellem, Sahan Saleh Ali, Maryam Ussi Yahaya, Dr. Said Gharib Bilal, Abdalla ali Mwinyi, Dr Haji Mwita haji, Dr. Ahmada Hamad katib, Zubeir Ali Maulid, Khamis Jabir Makame, Abdlul azizi salim AbdulAziz na Mbwana Yahaya Mwinyi na wafanyakazi wengine ya wafanyakazi kutoka makoa madogo ya CCM Lumbumba, na kwa marafiki zangu wote ambao kwa namna moja au nyingine wamefanya kazi katika kuniwezesha kuanza safari hii kisiasa ndani ya Chama Tawala CCM na kufikia ngazi katika mchakato huu wa Bunge la Afrika Mashariki.

Japo sikuweza kufikia kuwa kati ya wale watakaopelekwa kupigiwa kura na wanbunge nzima kule Dodoma mwaka huu, kwa hakika, ninaelewa kuwa ni kutokana na upepo wa Kisiasa ndani ya chama chetu.

Waheshimiwa wabunge [CCM], nawashukuru kwa ajili ya mawazo na kwa ajili ya kura zenu, na kukubali kwenu kunisikiliza na kunikubali mimi kama damu changa katika chama ukizingatia misukosuko ambayo chama chetu cha CCM kinapitia unaojionyesha kutokana na chaguzi mbali mbali za hivi karibuni katika ngazi mbali mbali.

Tukio la jana na nafasi niliyopata kubadilishana mawazo na wabunge wakongwe na ambao wengi wao wamewahi kushika nafasi kubwa serikalini, Mawaziri, na utaratibu mzima wa kupewa nafasi ya kuhojiwa na mazingira mazima ya ukumbi wa Karimjee, itakuwa kumbukumbu ya mara kwa mara kwangu mimi na kwamba chama changu CCM ni chama chenye wagombea wazuri na wenye uwezo mkubwa.

Dkt. Hildebrand Shayo

Ukitaka kumjua zaidi alishawahi kuanzishiwa thread humu humu JF: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/21236-dr-hildebrand-shayo.html
 
Unaona akili za wana CHADEMA?? Umelogwa wewe?? Ningekuwa mwanao nakukana kbs, huwezi kuwa mzazi bora kbs

Usiniite mwana CHADEMA au mwana CCM au mwana SIASA.
maana kote siko,niite mtanzania ninaye FUATILIA siasa tu.
 
hebu anika uchafu wake, tumfahamu.

Signature ya Waberoya inasema.

"Hakuna msafi CCM, hakuna hata mmoja,..wote wamepotea hivyo wamepoteza utukufu wa uzalendo na upendo kwa taifa hili, na kupoteza sifa ya uraia"

Kama unataka ushahidi basi tena,wanasema asiye jua maana haambiwi maana?

Na pia kula kutamu ,kulima mavune
 
Dkt. Hildebrand Shayo kaachwa.

shayo.jpg

Leo Aprili 4, 2012, si kuwa naomba kura kwa Wabunge wa CCM, kwani mchakato wa uteuzi kwa hatua tuliyofikia imekamilishwa kutokana na taratibu zinazokubalika ndani ya chama cha Mapinduzi.

Leo, badala yake, napenda kutoa kura ya shukrani. Mimi kumshukuru Mheshimiwa Pinda waziri Mkuu na Mbunge ambaye ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kikao, Mheshimiwa Abdulrahaman Kinana mwakilishi wa CCM, wapinzani wangu katika kuwania kuteuliwa kwenda kwa wabunge kupigiwa kura yaani:

Janeth Mmari, Janet Mbene, Fancy Nkuli, Narah Mukabi, Shally Raymond, Shyrose Bhanji, Ngollo Malenya, Godbertha Kinyondo, Hamida Kalua, Angela Kizigha, Happyness Lugiko, Ruth Msafiri, Dr. Aman Kabourou, John Ngongola, Dr. Evans Rweikiza, Siraju Kaboyonga, Bernard Murunya, Dr Edmond Mndolwa, Christopher Awinia, Charles Makongoro Nyerere, Adam Kimbisa, Elibariki Kingu, simon Berege, Mrisho Gambo, Handley Mafwega, William John Malechela, Mussa mnyeti, Godfrey Mosha, Septuu Mohamed Nassor, Safia Ali Rijaal, Rukia Seif Msellem, Sahan Saleh Ali, Maryam Ussi Yahaya, Dr. Said Gharib Bilal, Abdalla ali Mwinyi, Dr Haji Mwita haji, Dr. Ahmada Hamad katib, Zubeir Ali Maulid, Khamis Jabir Makame, Abdlul azizi salim AbdulAziz na Mbwana Yahaya Mwinyi na wafanyakazi wengine ya wafanyakazi kutoka makoa madogo ya CCM Lumbumba, na kwa marafiki zangu wote ambao kwa namna moja au nyingine wamefanya kazi katika kuniwezesha kuanza safari hii kisiasa ndani ya Chama Tawala CCM na kufikia ngazi katika mchakato huu wa Bunge la Afrika Mashariki.

Japo sikuweza kufikia kuwa kati ya wale watakaopelekwa kupigiwa kura na wanbunge nzima kule Dodoma mwaka huu, kwa hakika, ninaelewa kuwa ni kutokana na upepo wa Kisiasa ndani ya chama chetu.

Waheshimiwa wabunge [CCM], nawashukuru kwa ajili ya mawazo na kwa ajili ya kura zenu, na kukubali kwenu kunisikiliza na kunikubali mimi kama damu changa katika chama ukizingatia misukosuko ambayo chama chetu cha CCM kinapitia unaojionyesha kutokana na chaguzi mbali mbali za hivi karibuni katika ngazi mbali mbali.

Tukio la jana na nafasi niliyopata kubadilishana mawazo na wabunge wakongwe na ambao wengi wao wamewahi kushika nafasi kubwa serikalini, Mawaziri, na utaratibu mzima wa kupewa nafasi ya kuhojiwa na mazingira mazima ya ukumbi wa Karimjee, itakuwa kumbukumbu ya mara kwa mara kwangu mimi na kwamba chama changu CCM ni chama chenye wagombea wazuri na wenye uwezo mkubwa.

Dkt. Hildebrand Shayo

Ukitaka kumjua zaidi alishawahi kuanzishiwa thread humu humu JF: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/21236-dr-hildebrand-shayo.html

Hafadhari wamemmwaga huyu bwana. This guy called Dr Shayo is a disaster. Hakuna tofauti na Dr Bana anayefanya kazi ya usemaji mkuu wa CCM. Hongera Bwana Malecela, nimesikiliza mahojiana yako kupitia blog moja, kama ni kweli utasimamia ulichokieleza, nakutakia kila la heri. Ila hamchelewi kugeuka mkifanikiwa
 
Is there anything new you can offer Tanzanians? Are you intellectual enough to mingle with aggressive Kenyans and Rwandans?
 
Back
Top Bottom