Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Ila watu wa mtera ni vituko vitupu i smell another lusinde kutoka kwa hili jitu
- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa mbele sasa I mean mwendo mdundo jamani twende kwa mbele!
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA, NA MUNGU AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI!
William.
Mkuu Willy once again, Congrats.
Kwa kweli sikudhani kama hao watu wenye makundi watakupitisha hizi hatua mbili za mwanzo. Sababu umefanikiwa kupita, kuwa macho sana, and YOU NEED TO CONSOLIDATE votes scientifically now. Usijipe nafasi kabisa ya kurelax, maana kuna watu wana hasira na yaliyotokea juzi, wanaweza kudhani success yako itareflect change in CCM, anyways najua unaelewa.
WANA JF, na ikiwezekana CHADEMA tumpe Willy support 100%, sababu kwa upande wa magamba, huyu ni way way better kwenye kututetea huko mbleleni kwenye EAC, sababu kwanza exposure yake ni ASSET na hawezi kubabaika na wabunge kutoka especially Kenya. Yuko accountable huku kwetu JF, na isiwe wakati wa kumpinga now, sababu who is better than WILLY kwenye hiyo list iliyopo?? Tusimpime kutokana na PERFECT Candidate criteria, No, tufanye comparison na hao wenzake wa CCM walioko kwenye hiyo hatua ya mwisho.
All the best Mkuu, na pse usiache angle yoyote open maana unajua tena kuna wale maadui Permanent.
Duh,sasa nimeamini CCM hakuna usafi hata kidogo.
Wame kupitisha kabisa?
were they drunk or?
umeanza dharau kabla hata hujaupata huo ubunge.Km ulijua unataka kupumzika kwa nini umeleta mada usiku huu? Si ungelala ukaja asubuhi?Jibu hoja hapa acha dharau za mapema!
Aliyechoka ni nassari na CDM kwani yeye kuna kura alizokuwa akilinda?Rugas,
Jamaa kasema kweli kachoka sidhani kama dharau, mpe muda kasema atarudi baadae.
Rugas,
Jamaa kasema kweli kachoka sidhani kama dharau, mpe muda kasema atarudi baadae.