Mbona Nyerere kaishi na mafisadi wengi tena mwingine aliwapigia kampeni kuwa rais Mkapa?
Mkapa ameanza ufisadi baada ya Nyerere kufariki. Mwinyi naye alianza ufisadi alipoingia ikulu. Kikwete alianza ufisadi alipokuwa wizara ya madini.
Mbona Nyerere kaishi na mafisadi wengi tena mwingine aliwapigia kampeni kuwa rais Mkapa?
Kwa hiyo tatizo lako si udikteta bali ni Zitto? Basi mngetundea haki kama hata jina la chama lingebadilishwa ku-reflect hilo. Chama cha uDikteta na Maendeleo? CHADIMA.
Amandla......
Hujathibitisha hapa kwamba kuna udikteta ndani ya Chadema.
Haaa haaa
BAK mimi najitambua,
sijawa mtumwa wa kupenda tu bila sababu
Mbowe is too local, ni kweli,
ebu sema, operation tokomeza, tanesco n.k Mbowe kafanya nini?? why you guys dont see even a sunrise and sunset??
Mbowe hawezi uongozi, ila njaa zenu na hela yake inamfanya awe na wafuasi wengi.
narudia UKWELI UTASIMAMA DAIMA
where are thinkers in CDM?? I see only zitto hata kama mtamfukuza
Ukipenda bana, unakuwa mjinga kabisa
Hujathibitisha hapa kwamba kuna udikteta ndani ya Chadema.
Anayejitambua kamwe hawezi kuwa mtetezi wa sera muflisi zilizosababisha katika kipindi cha miaka minane iliyopita kuona gharama mbali mbali za maisha kuongezeka kwa kasi ya kutisha, kuongezeka kwa ujambazi na ujangili nchini huku polisi wakishindwa kuthibiti maongezeko hayo, kuanguka kwa elimu kwa kiwango cha kutisha, huduma muhimu kama maji, umeme, matibabu kuendelea kuwa za hovyo hovyo bila dalili yoyote ya ahueni katika siku za hivi karibuni, Watanzania walio wengi kuendelea kulipwa mishahara ya chini mno ambayo haiendani na hali halisi ya gharama za maisha, Watanzania kutofaidika katika mikataba ya kifisadi ya rasilimali mbali mbali nchini, kuona baraza la mawaziri likibadilishwa kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka minane na bado utendaji wa mawaziri wote ni wa chini mno, Serikali kuendelea na matumizi makubwa ambayo hayana tija yoyote katika kuleta maendeleo kwa Watanzania. Yeyote yule anayejitambua kamwe hawezi kutetea uozo kama huu ndani ya Serikali hii dhalimu.
Na ufisadi wa Mbowe na Dr.Slaa waliuanza lini? Kujikopesha ruzuku za chama siyo ufisadi, kula pesa za visima vya maji walizopewa na Sabodo siyo ufisadi, Mbowe kuwauzia Chadema Fuso zake za mtumba kwa milioni 300 siyo ufisadi, mradi wa kukusanya pesa M4C siyo ufisadi.Mkapa ameanza ufisadi baada ya Nyerere kufariki. Mwinyi naye alianza ufisadi alipoingia ikulu. Kikwete alianza ufisadi alipokuwa wizara ya madini.
You don't know anything about democracy vinginevyo usingeandika huu upup_. Democracy ni kuheshimu maamuzi ya wengi ndani ya chama na maamuzi ambayo yanafuata taratibu zote za ndani ya chama. Ndio maana husikii kelele toka kwa wanachadema kuhusu hizo pumb_ zako kwamba hakuna democracy. Kelele zote ni za MACCM wakati ndani chama chao chaguzi zibanunuliwa kwa mamilioni hata mabilioni. Bila kutumia hongo ya mabilioni Kikwete asingekuwa mgombea wa CCM 2005 na bila kutumia hongo fisadi Lowassa hatakuwa mgombea wa CCM 2015, lakini haya kwako wewe ni democracy ndani ya chama chenu cha wauza unga, majangili, mafisadi na magaidi.

Umekosea. Democracy si tu utawala wa the majority bali vile vile unahakikisha minority wana nafasi ya kutofautiana na majority bila kusulubiwa. Democracy hai-demand wote wawe kondoo kama mnavyodhani. Democracy inatambua uwepo wa mbuzi miongoni mwao na umuhimu wa kuwaruhusu wakimbie wanavyotaka. Tofauti na mnavyodhani, kipimo kikubwa cha demokrasi ni haki na nafasi wanayopewa wasio wengi. Democracy sio dictatorship by the majority.
Amandla.....
oAnayejitambua kamwe hawezi kuwa mtetezi wa sera muflisi zilizosababisha katika kipindi cha miaka minane iliyopita kuona gharama mbali mbali za maisha kuongezeka kwa kasi ya kutisha, kuongezeka kwa ujambazi na ujangili nchini huku polisi wakishindwa kuthibiti maongezeko hayo, kuanguka kwa elimu kwa kiwango cha kutisha, huduma muhimu kama maji, umeme, matibabu kuendelea kuwa za hovyo hovyo bila dalili yoyote ya ahueni katika siku za hivi karibuni, Watanzania walio wengi kuendelea kulipwa mishahara ya chini mno ambayo haiendani na hali halisi ya gharama za maisha, Watanzania kutofaidika katika mikataba ya kifisadi ya rasilimali mbali mbali nchini, kuona baraza la mawaziri likibadilishwa kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka minane na bado utendaji wa mawaziri wote ni wa chini mno, Serikali kuendelea na matumizi makubwa ambayo hayana tija yoyote katika kuleta maendeleo kwa Watanzania. Yeyote yule anayejitambua kamwe hawezi kutetea uozo kama huu ndani ya Serikali hii dhalimu.
Mkapa ameanza ufisadi baada ya Nyerere kufariki. Mwinyi naye alianza ufisadi alipoingia ikulu. Kikwete alianza ufisadi alipokuwa wizara ya madini.
Ahmed yuko sawa kwani viongozi wa cdm si miungu nao ni binadam wanaudhaifu wao vipi wasikosolewe?
Na ufisadi wa Mbowe na Dr.Slaa waliuanza lini? Kujikopesha ruzuku za chama siyo ufisadi, kula pesa za visima vya maji walizopewa na Sabodo siyo ufisadi, Mbowe kuwauzia Chadema Fuso zake za mtumba kwa milioni 300 siyo ufisadi, mradi wa kukusanya pesa M4C siyo ufisadi.

Hivi, kabla ya Chadema kuongeza hela za ruzuku, nani aliyekuwa anafadhili Chadema? Ni Mbowe na Ndensamburo. Leo iweje yule yule aliyekuwa anatoa pesa yake mfukoni kufadhili chama akifisidi? Na matrucks unayongumzia siyo Fuso. Ni platform trucks yenye vipaaza sauti ambayo Mbowe alininua kwa pesa yake mwenyewe kwa ajili ya kampeni za 2010. Alichofanya Mbowe, baada ya chama kuongeza ruzuku ni kuomba arudishiwe hela zake. Sasa hapo mtumba uko wapi?
Hebu niambie uhalali wa kikao kilichowavua Zitto na wenzake nyadhifa zao, kulingana na katiba ya CHADEMA. Pili demokrasia kwenu ni nini?
Tatizo la CDM ni kuona kila anayetofautiana na Mbowe & Co. kuwa msaliti, sijui mhaini, etc. Kama ni rushwa, siamini CDM wako safi katika hilo. Na kwa taarifa yako huyo unayemuita fisadi Lowassa ni mmojawapo wa sponsors wa CDM. Mtakuja kustuka kuwa mlikuwa mnachezewa shere na wajanja wachache ndani ya CDM muda ukiwa umeenda.
Na wewe labda unaweza kutuambia ni kwa nini Zitto na genge lake walijitolea kujiuzulu njama zao zilipobaonika. Kama walikuwa tayari kujiuzulu kwa nini wanalalamika sasa?
Njama zipi?