duh hiii kali, nimesoma article ya huyu ahmed rajab, amejalibu kutoa rai yake kwa kile anachofikili,, tunaita uhuru wa kuongea.
swali; kwa nini mtu akiongea kitu chochote kibaya kilicho ndani ya CDM atashambuliwa sana na maneno makali, halafu sasa mifano mnatolea CCM, ( oooh CCM mbona nao WADINI, WAKABILA, WANAUNDUGURIZATION nk). kwa hiyo kumbe tunaiga yale ya CCM.
mimi nilifikili mtaachana na yale mabaya ya CCM na kuanzisha ya kwenu mazuri, unaposhutumiwa kwa ubaya halafu na wewe ukajibu kwa hoja, 'mbona fulani naye kafanya," hii inamaanisha hizo shutuma ni za kweli..
ushauri; CDM jitazameni, wapiga kura wa TZ wapo, na sio hawa mnaowaona humu JF wenyewe wapo tu kimya,, mkitua na hellicopter yenu watakuja wengi kuwalaki (watz wakarimu), ila kwenye kile chumba cha kura utafikili wamerogwa vile (waulizeni wenzenu CUF).
wenyewe wanasemaga chama cha nyerere, sasa hivi wenyewe wako mashambani wanalima wakiibuka huko 2015 utasikia tu kile chama cha nyerere.
tusiopiga kura tupo wengi mno, hili mnalijua??? sisi huwa hatujali siasa (mabepari) tunaamini nguvu yako ndio itakayokulisha kwa hiyo huwa tunapiga kazi tu.
CDM mnajua system tu ya CCM inawatu kama 5mil (hawa ni wale wanaonufaika direct na mfumo CCM), CCM wenyewe husema wana mtaji wa wapiga kura.
CDM mnajua ujanja wa kiscience walioutumia CCM tarime? (Waligawa kura zenu 8000 zikaenda CUF, wao wakabaki na kura zao FIXED mkalikosa jimbo kiulaiiiini)
CDM MSIWE WABISHI KUBALINI USHAULI WA WATU, HAMUWAJUI CCM VIZURI KULIKO MNAVYOFIKILI.
CDM MNA WATOTO WENGI AMBAO WAKO KIMASLAHI ZAIDI, WAPO CDM KWA SABABU HAWAWEZI KUVIPATA WANAVYOTAKA CCM, NI RAHISI KUPATA UMAARUFU KUPITIA CDM NA SIO CCM.