Ahmed Rajab: Laana iliyoipiga CHADEMA

Ahmed Rajab: Laana iliyoipiga CHADEMA

There you go again with your daily cra-. MACCM miaka yote hii wamefanya nini cha maana kwa Tanzania na Watanzania!? Umeme hovyo, maji hovyo, elimu hovyo, usafiri hovyo, uchumi hovyo, ulinzi wa rasilimali za Watanzania hovyo, kipato cha Watanzania walio wengi hovyo. Haya si mambo yanayostahili hata siku moja MACCM kupewa ridhaa nyingine na Watanzania kubaki madarakani. Uongozi wa nchi umewashinda na upo ushahidi wa kutosha kabisa.

Slaa yupo kwenye kesi ya mapenzi na kutelekeza familia-huyu ana uchungu gani na Taifa kama familia imemshinda? mbona upenzi umewaemelea mpaka mnapoteza akili? huyo Mbowe kamzalisha Matiko na juzi kashifa ya Dubai-anamkatisha ziara mbunge kwa ajili ya Uzinzi-huyu atakuwa na nguvu gan za kuitumikia jamii? at this infant stage, hawataki Uchaguzi wa Chama, Mapato na Matumizi ni habr ya watu wachache, M/kiti ndio kamati ya manunuzi-huyu si atataka manunuzi ya nchi afanye yeye na familia yake? acheni kujitoa akili-CDM hawajafikia hatua ya kuachiwa nchi
 
Dr. Slaa anamkaribisha Mh. Tundu Lissu ili kuongezea taarifa. Lissu anasema kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo Chama kimefanikiwa kunasa mawasiliano ya Zitto tangu mwaka 2009 alipokuwa akiwasiliana akina Denis Msack wa Mwananchi. Lissu anasema njama hizi ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya ugaidi ambapo katika mahojiano yake ya Star Tv akiwa na akina Mwigulu Nchemba zitto hakukanusha, pia aliandika kwenye mitandao kuwa Chadema imtose Wilfred Lwakatare.

Lissu anaongeza kuwa Zitto mpaka sasa ana magari mawili ya Nimrod Mkono na Mkono mwenyewe ndie amewaambia taarifa hizo. Mkono amewaambia kuwa amempa Zitto hela nyingi sana na Zitto alishiriki moja kwa moja kumzuia mgombea wa Chadema katika Jimbo la Nimrod Mkono wakati Nimrod Mkono alikuwa ni namba sita katika orodha ya Mafisadi iliyotajwa pale Mwembeyanga.

Lissu anasisitiza kuwa washirika wa usaliti huu na uhaini huu hawakupenda kutangazwa kuwa wao ni Wasaliti na wahaini lakini yeye anasema wale ni Wahaini na Wasaliti. Lissu anasema kuwa Zitto anaendelea kuwa Mwanachama na Mbunge wa CHADEMA kwasababu ya Mahakama tu na sio kwasababu ya mapenzi ya CHADEMA.

Dr. Slaa anasoma mawasiliano kati ya Zitto na Mtu anayejiita Chadema Mpya. ambapo anasisitiza kuwa Mkakati ulianza kutekelezwa mapema kwa hiyo hoja kuwa Zitto alikuwa hajui Mkakati ni ya Uongo.

Mnyika anamalizia kwa kusema kuwa tuko katika vita dhidi ya maadui wa Chama walioko nje na ndani ya Chama. Hivyo falsafa yetu ya Nguvu ya Umma ndio itakayotusaidia kwa hiyo anatoa wito kwa Wanachama nchi nzima kuitumia falsafa hiyo katika hatua zote ili kushinda vita hii.

Pia anawaomba Wanachama wote kujitokeza kwa wingi mahakamani siku ya kesho katika kusikiliza maamuzi ya Mahakama. Press imeisha Asantheni kwa Kutufuatilia

Una uhakika/ushahidi kuwa huyo unayemwita kirusi anatumiwa na CCM? Mbowe, Slaa etc wao sio virusi?
 
Tatizo ni njaa yako binafdi kama ingejua maccm walivyotuangusha na kuturudisha nyuma kimaendeleo ungegutuka haraka mf gesi yenyr zaidi dola bililion 500 wamewapa wachina usisahau dhahabu wanayoifaid makaburu wa s.afrika n.k labda kama unamaslahi binafs huko ccm ila kama la zinduka.....
 
Dr. Slaa anamkaribisha Mh. Tundu Lissu ili kuongezea taarifa. Lissu anasema kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo Chama kimefanikiwa kunasa mawasiliano ya Zitto tangu mwaka 2009 alipokuwa akiwasiliana akina Denis Msack wa Mwananchi. Lissu anasema njama hizi ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya ugaidi ambapo katika mahojiano yake ya Star Tv akiwa na akina Mwigulu Nchemba zitto hakukanusha, pia aliandika kwenye mitandao kuwa Chadema imtose Wilfred Lwakatare.

Lissu anaongeza kuwa Zitto mpaka sasa ana magari mawili ya Nimrod Mkono na Mkono mwenyewe ndie amewaambia taarifa hizo. Mkono amewaambia kuwa amempa Zitto hela nyingi sana na Zitto alishiriki moja kwa moja kumzuia mgombea wa Chadema katika Jimbo la Nimrod Mkono wakati Nimrod Mkono alikuwa ni namba sita katika orodha ya Mafisadi iliyotajwa pale Mwembeyanga.

Lissu anasisitiza kuwa washirika wa usaliti huu na uhaini huu hawakupenda kutangazwa kuwa wao ni Wasaliti na wahaini lakini yeye anasema wale ni Wahaini na Wasaliti. Lissu anasema kuwa Zitto anaendelea kuwa Mwanachama na Mbunge wa CHADEMA kwasababu ya Mahakama tu na sio kwasababu ya mapenzi ya CHADEMA.

Dr. Slaa anasoma mawasiliano kati ya Zitto na Mtu anayejiita Chadema Mpya. ambapo anasisitiza kuwa Mkakati ulianza kutekelezwa mapema kwa hiyo hoja kuwa Zitto alikuwa hajui Mkakati ni ya Uongo.

Mnyika anamalizia kwa kusema kuwa tuko katika vita dhidi ya maadui wa Chama walioko nje na ndani ya Chama. Hivyo falsafa yetu ya Nguvu ya Umma ndio itakayotusaidia kwa hiyo anatoa wito kwa Wanachama nchi nzima kuitumia falsafa hiyo katika hatua zote ili kushinda vita hii.

Pia anawaomba Wanachama wote kujitokeza kwa wingi mahakamani siku ya kesho katika kusikiliza maamuzi ya Mahakama. Press imeisha Asantheni kwa Kutufuatilia

Kwa hiyo umeamini kile alichosema Lissu siyo?

Lissu ni wakili, kisheria alichoeleza bado ni tuhuma tu ambazo hazina uthibitisho. Pia kiushahidi alichokisema ni "hearsay", manake naye amesikia toka kwa huyo Mzee Mkono.

Sasa hapo kweli nawe unabeba hayo maneno ya Lissu kuwa ndio uthibitisho wa tuhuma hizo?
 
Mimi si muumini sana wa hii demokrasia inayopigiwa debe na wajanja fulani akiwemo huyu mwandishi. Mafanikio ya demokrasia yeyote inategemia vitu vingi sana ikiwemo, katiba, mahakama, utamaduni, elimu, imani nk nk. Nchi za magharibi zinafakiwa vizuri sana kuliko nchi nyingine zikiwemo za Asia na mbaya zaidi Africa ambako demokrasia hakuna kabisa, kwa sababu wanazozijua wao ikiwemo kutokubali kutolewa madarakani kwa sababu ya madhambi yao au kutokuachia unono.
Kwa Chadema katika wakati huu ambao ni tete kama chama kutokana na kukabiliwa na upinzani na njama za wa wazi kutoka CCM, Serikali pamoja na dola yake yote, itakuwa kichekesho leo ukiniambia wawe na demokrasia ya kusimulia wakati serikali iliyopo haiimani kiasi cha kuelekeza nguvu zote kuufutilia mbali upinzani nchini.
Mimi sijui na siko ndani ya kundi la maamuzi la Chadema. Ila napenda kukuhakikishia wamekuwa ni wavumilivu sana tena sana kutokana na hujuma ambazo wamekuwa wakifanyiwa kiasi inahitaji mioyo ya misumari. Na hizi harakati za kupunguza kasi zimefanikiwa sana kwa sababu ni kweli Chadema wamekuwa derailled na huu ujinga wa akina Zitto na kundi lake. Ni uwazi usiopingika wao ni wasaliti. Na dawa ya usaliti ni kutoswa tu bila kuangalia usoni. Nimekuwa nikiwaaambia rafiki zangu. Huu ni wakati wa kuachana na Zitto na wenzake sasa. Kwa sababu upinzani hivi sasa ni kama Movement, WIMBI or kimbunga, halimjui Zitto or Mbowe. Watu wanataka mabadiliko. Leo hii Zitto nje ya Chadema is nothing ni chui wa karatasi. Watu wanakusanyika kusikia umbea. Akifukuzwa itasemwa ni msaliti wa movement. Kwisha.
Nakumbuka enzi ya Frelimo Nachingwea or Mazimbu kule Morogoro namna walisati walivyokuwa wanafanywa. Bila hivyo Chadema na upinzani utaendelea kuchezeshwa Mdundiko na wajanja. Mwandishi acha ngonjera please

Duh wewe ni great thinker aisee.
 
  • Thanks
Reactions: WCM
Back
Top Bottom