Agustino Mrema atimuliwa TLP

Agustino Mrema atimuliwa TLP

Mrema mfalme wa TLP hatimaye avuliwa uanachama.Chanzo Gazeti la Mtanzania
 
Ila kwani Mrema ni mwanasiasa????????????? Sidhani, sidhani, sidhani...... Pole mzee wangu wa kirarachi nenda kadhibiti Unywaji gongo home kwani Historia inakubeba.
 
hakawii kusema ni njama za mbatia!!!! hata hivyo siasa ishamtupa kando, wamemsaidia kutambua majira na wakati.
 
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi Mkadamu, Antoni Mapunda, Nancy Mrikaria, Dominata Rwechungura, Maxmilian Lymo, Richad Lyimo, Hamisi Mkumba na Stanley Temba.
Kinanda alisema kuwa wanachama hao wamevuliwa uanachama kwa mujibu wa katiba ya chama hicho, toleo la 2005 Ibara ya 9.9 (c) na 2009 ibara 9.5(c).
Kinanda alisema kuwa maazimio hayo yamepelekwa katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa taratibu za kisheria pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Kwa upande wake Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, alipotafutwa ili kupata ufafanuzi wa suala hilo, alisema kamati hiyo haitambuliki kisheria.
“Kamati hiyo haitambuliki kisheria, na hata Mrema mwenyewe amekuwa akipinga TLP kuwa na kamati ya aina hiyo na hata viongozi wake hawatambuliki, ” alisema
Source;Mtanzania.

My Take.

Kwanza ni aibu kubwa hasa katika tasnia ya habari kuandika kitu kwa heading kubwa wakati ukisoma maudhui yenyewe utaona wazi jambo hilo haliwezekani kwakuwa tayari msajili wa vyama kaweka wazi kila kitu.

Pili mwanzisha uzi kanukuu hii habari kwenye gazeti la Mtanzania ambalo mimi nimelipaste kama lilivyo.Sijui ni kwanini kaamua kuwaada wanajamvi wote wakati anajua wazi kamati ya maridhiano haipo kikatiba wala msajili haitambui hivyo maamuzi yao kwa hakika ni sawa na mchezo wa kuigiza.

Copy Mods Invisible ikiwezekana pandisha bandiko hili page ya mwanzo kukwepa kuwapotosha wanajamvi.

 
Last edited by a moderator:
tetetetete! kumbe TLP bado kina viongozi wagombea URAIS
 
Nyie ndo mnaliwa kila hamkos kuitaja chadema, semen kama mna wadudu macha wanatekenya hapo nyuma kwako, na mwaka huu mtaliwa balaa maana vihere here vimewazi kama mke wa baloz wa ccm, nakuuliza ww gasho Mbowe anahusikaje na mtu anaekaribia kufa?

Tangu nipigwe ban matusi nimewaachia nyie🙁🙁🙁
 
Mrema kwa kuwa anavaa kibaragashea nadhani akija kwenye chama chetu cha Kigoma tutambadilishia kabira tu awe mbembe au muha atakula bata kama afande Sere na Kaijage

ha ha haaaa uuuwiii
 
Hili ni juha tena janajike halina hata uwezo wa kutumia akili. Limewekwa hapa Mtandaoni kuropoka against CHADEMA na kupalilia ccm kwa malipo. Akili zake hazifanyi kazi ila huwa lilnarumia maneno ya kuiga kwa watu wengine ili liongeza kura ya "Ndiyoo", kama
alivyokuwa Asha Bakari na wabunge wa ccm MBK.
Achana nalo mkuu lisikupotezeee muda!

Mkuu mbona huyu sasa hivi tunamtambua kama Mr Bean wa JF
 
mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo mbowe, hawezi kufukuzwa.

Ni sawa na chadema imvue uanachama mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.
mbona zitto humsemi au kwa kuwa ni mungu wenu?
 
Mrema TLP sio tuu ni chama chake, pia ni mali yake!. Alikinunua kwa Lwekamwa!. Huwezi kufukuzwa kwenye chama chako!.Mrema ni life president of TLP!.
Kama ilivyo kwa chama cha UDP ni mali ya John Cheyo, hivyo Cheyo ni life president of UDP!.

Pasco
 
Habar ya Mrema na Mboye anahusika nn hapo, yaan nyie watoto wa Lumumba huwa mnawashwaga huku nyuma kuna kidudu mtu kinakutekenya nn unataka kuliwa liwa tu.

Sipendi watu wenye akili ya kuwa na matusi matusi tuuu! Huo ni udhaifu na siyo ukomavu wa kujenga hoja hapa. Huo ni utoto na ufinyu wa mawazo. Hili ni jukwaa la siasa ambalo wasomaji wengi wataka kujua mambo mbalimbali, wachangiaji tuwape wasomaji elimu ya masuala mbalimbali ya siasa na siyo matusi. Matusi hayasaidii zaidi ya kupunguza morali ya watu wa heshima kusoma na kuwatoa kabisa kuamini kuwa JF ndiyo hazina ya elimu wanayoitaka. Ustaarabu unajengwa. Jenga hulka ya kuwa mstaarabu na jiheshimu ili nawe uheshimiwa.
 
Back
Top Bottom