Agustino Mrema atimuliwa TLP

Agustino Mrema atimuliwa TLP

CCM inapaswa kuingilia kati kumuokoa MTU wao ambaye amekuwa akiwatumikia kwa moyo mmoja japo alikuwa TLP. Mrema tulisema anajiaibisha na kujivunjia heshima hakutaka kusikia sasa ndio ayaelewa
 
Vyama vya upinzani ni sawa na comedy.

Comedian ni wale wanaokimbia na mike, wanajificha nyuma ya wanaume wenzao, kuna wale wanaoita fisi katika mikutano, kuna wale waliosema maisha bora kwa kila mtanzania na wale wanaonunua makundi ya watu. Hao ndio wasanii
 
Sawa na mpangaji kufukuza mwenye nyumba. System za vyama vyetu vina wanaomiliki hasa viongozi.

Hii ni sawa na mbuz kumng'ata mchungaji.

Wakuu gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa eti Mh.Mrema ametimuliwa katika chama lake la TLP.

Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha na ukiukwaji wa taratibu za kuendesha chama.

Mh.Mrema ni mmoja kati ya waliovuliwa uanachama wa TLP.

Pia Tanzania Daima imeripoti Hivyo.
 
CHADEMA ni mali ya MBOWE na ukoo wa ndesa, hata kabla ya uchaguzi mkuu , familia imeshateua wabunge wa viti maalumu toka kwenye ukoo, piga wale ndugu, wake na wenye ukoo na wenye kuimiliki CHADEMA lazima watakuwa wabunge wa viti maalumu chadema mwaka huu baada ya uchaguzi

Mnawashwa sana kuishi bila kuitaja cdm? Vinawapwelepweta vinonino vyenu!
 
chadema college:chuo cha matusi tanzania.kipo maeneo ya ufipa.

nyote mnakaribishwa.
 
Wakuu gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa eti Mh.Mrema ametimuliwa katika chama lake la TLP.

Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha na ukiukwaji wa taratibu za kuendesha chama.

Mh.Mrema ni mmoja kati ya waliovuliwa uanachama wa TLP.

Pia Tanzania Daima imeripoti Hivyo.

Ngoja mzee wa Kiraracha aje apige sarakasi moja tu, anarudi ukukanini, yaani kiinua mgongo kipoteee! Yeruiiiii
 
CHADEMA ni mali ya MBOWE na ukoo wa ndesa, hata kabla ya uchaguzi mkuu , familia imeshateua wabunge wa viti maalumu toka kwenye ukoo, piga wale ndugu, wake na wenye ukoo na wenye kuimiliki CHADEMA lazima watakuwa wabunge wa viti maalumu chadema mwaka huu baada ya uchaguzi

Mnawashwa sana kuishi bila kuitaja cdm? Vinawapwelepweta vinonino vyenu!
 
Huu mwaka inaonekana ni mbaya sana kwa mamluki wa CCM. Nafasi aliyo nayo Mrema ni kwenda kuungana na mamluki wenzake ACT-Wazalendo.

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.
 
Huna aman moyon bila kuitaja cdm

Mkuu DAR ni pagumu sana kuishi kama huna kazi inayoeleweka; Bi Laki si Pesa na Miss Allan wapo Dar no lazima waishi; Waishi kwa namna yoyote ile; inawezekana sisi wateja wao hapa Uwanja wa FISI siku hizi tumewakimbia, Wamejikabidhi LUMUMBA ili nao waishi jamani!! Mimi kila ninapoona wametukana na kuisema CDM huwa nafarijika sana kwamba siku hiyo nao watapata angalau mlo mmoja. Msiwashambulie, tuwaonee huruma hawa MABINTI ZETU!!
 
Tanzania hakuna vyama vya upinzani kabisa. Kuna vyama vya watu binafsi, mfano mzuri ni chadema na TLP.
 
Hivi hamuoni aibu kuwa kwenye vyama vya watu binafsi.........

Karibuni CCM chama tawala mjifunze siasa!!
 
Back
Top Bottom