Agustino Mrema atimuliwa TLP

Agustino Mrema atimuliwa TLP

analiwa mzazi wako wa kiume

Nyie ndo mnaliwa kila hamkos kuitaja chadema, semen kama mna wadudu macha wanatekenya hapo nyuma kwako, na mwaka huu mtaliwa balaa maana vihere here vimewazi kama mke wa baloz wa ccm, nakuuliza ww gasho Mbowe anahusikaje na mtu anaekaribia kufa?
 
Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.

Ni sawa na CCM wawavue magamba Lowassa, Rostam na mafisadi wengine, au impokonye uenyekiti JK licha ya chamq kumfia mikononi mwake😎
 
Chonde chonde TLP mrudishen mrema mnataka afe mzee wa watu, mtu mwenyew hajajifunza maisha nje ya siasa.
 
Wakuu gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa eti Mh.Mrema ametimuliwa katika chama lake la TLP.Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha na ukiukwaji wa taratibu za kuendesha chama.Mh.Mrema ni mmoja kati ya waliovuliwa uanachama wa TLP.Pia Tanzania Daima imeripoti ivo

Hajaweka pingamizi mahakamani?
 
Watu kama akina Mrema wawepo ama wasiwepo hawana athari yoyote kweny siasa za nchi hii..akapumzike tu.
 
Kazi wanayo hawa wagegedwa usaliti na mama yao asiye na baba
 
Wakuu gazeti la Mtanzania leo limeripoti kuwa eti Mh.Mrema ametimuliwa katika chama lake la TLP.Mtanzania limeandika kuwa,akiongea na gazeti Mwenyekiti wa kamati ya Maridhiano TLP Bwn.Kinanda amesema kamati ya maridhiano imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha na ukiukwaji wa taratibu za kuendesha chama.Mh.Mrema ni mmoja kati ya waliovuliwa uanachama wa TLP.Pia Tanzania Daima imeripoti ivo
Mrema sio rahisi kumfukuza kwenye chama maana analindwa na serikali ya ccm
 
Back
Top Bottom