Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.
Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.
Mbona kuna taarifa kuwa hicho ni chama cha yule aliyekuwa mbunge wa jumbo moja kule Tabora mkaja kumwita gamba akakaa pembeni. Ila yeye ndie anachagua kio goziHivi hamuoni aibu kuwa kwenye vyama vya watu binafsi.........
Karibuni CCM chama tawala mjifunze siasa!!
Wewe akitajwa yanafanyaje?Bila kumtaja Mbowe makalio yako hayasisimki?
Bila kumtaja Mbowe makalio yako hayasisimki?
Kijani ni mali ya nani? Baba mbunge, waziri... mama mbunge wa kuteuliwa na wazili, mtoto mjumbe wa NEC, binti katibu wa UVkijani!!! angalia nyumbani kwako kwanza kabla ya kuangalia yanayotokea kwa jirani...CHADEMA ni mali ya MBOWE na ukoo wa ndesa, hata kabla ya uchaguzi mkuu , familia imeshateua wabunge wa viti maalumu toka kwenye ukoo, piga wale ndugu, wake na wenye ukoo na wenye kuimiliki CHADEMA lazima watakuwa wabunge wa viti maalumu chadema mwaka huu baada ya uchaguzi
Hivi hamuoni aibu kuwa kwenye vyama vya watu binafsi.........
Karibuni CCM chama tawala mjifunze siasa!!
Hv ww mbowe alikuchukulia mke mbona kila post yako bila kumtaja mbowe una kuwa haujalizika.
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.