Agustino Mrema atimuliwa TLP

Agustino Mrema atimuliwa TLP

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.

Tulia ww mtoto umzur wa kipwan dawa iwaingie hv msipomtaja taja Mbowe hamna raha kbs
 
Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.
Wewe hata usingizini unamuota mbowe!isije ikawa hadi kwenye maombi unajikuta umemtaja badala Ya umuombae!
 
Mrema kwa kuwa anavaa kibaragashea nadhani akija kwenye chama chetu cha Kigoma tutambadilishia kabira tu awe mbembe au muha atakula bata kama afande Sere na Kaijage
Kwakuwa ni Mchaga, anafaa kuwa CHADEMA.
 
CHADEMA ni mali ya MBOWE na ukoo wa ndesa, hata kabla ya uchaguzi mkuu , familia imeshateua wabunge wa viti maalumu toka kwenye ukoo, piga wale ndugu, wake na wenye ukoo na wenye kuimiliki CHADEMA lazima watakuwa wabunge wa viti maalumu chadema mwaka huu baada ya uchaguzi

Aiseeee!
Saasa nihamie CCM au ACT Tanzania?
 
Laki si pesa
Bu7 ndio pesa akili yako ilivyo mgando una mfananisha Mrema marehem wa siasa Na waziri mkuu ajaee
usifananishe mtu na marehemu, unaweza kuwa marehemu kabla yake! All god knows
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: R.B
Habar ya Mrema na Mboye anahusika nn hapo, yaan nyie watoto wa Lumumba huwa mnawashwaga huku nyuma kuna kidudu mtu kinakutekenya nn unataka kuliwa liwa tu.

analiwa mzazi wako wa kiume
 
OMMY255 naona huyu PhD ndio mmoja wa wanaowashwa sana mana umegusa sehem yake inayomuwasha ndo mana kakurupuka
analiwa mzazi wako wa kiume

Habar ya Mrema na Mboye anahusika nn hapo, yaan nyie watoto wa Lumumba huwa mnawashwaga huku nyuma kuna kidudu mtu kinakutekenya nn unataka kuliwa liwa tu.
 
Back
Top Bottom