Agustino Mrema atimuliwa TLP

Agustino Mrema atimuliwa TLP

Mrema- amia kwa ndungu zako wa kaskazini chadema; chama cha ukabila, udini

wamempokea ; ndo sehemu ya kupokelea wanasiasa uchwara

rwakatale
marando
slaa
prof safari
n.k
 
Jamani fanyeni utafiti kabla hamjakirupuka, katiba Ya Tlp 2009 ibara 9.5 (c) kukOma uanachama akiwa raia za Nje. Mtu mwenye akili timamu unaweza kusema Mrema sio Mtanzania. WOTE mliochangia humu ndani WOTE mbuzi

'raia za nje' ni kitu gani hicho nadhai wewe ndio mbuzi wa ukweli?
 
Mrema ni dictator hakukuna wa kumondoa Tanzania Labour Party
 
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.

Vyama vyote vya upinzani bado vina safari ndefu kabla ya kuimarika na kujiendesha kama taasisi. Kama ilivyokuwa kwa TAA, baadae TANU na sasa CCM. Mwanzo ni mgumu Mwl. Julius Kambarage Nyerere alikuwa Mwenyekiti na Rais wa Tanganyika baadae Tanzania kwa miaka isiyopungua 20. Ndipo taifa likafanikiwa kuwapata viongozi wengine ndani ya chama na hatimaye kuachiwa NCHI na UENYEKITI wa CHAMA. Kuanzia mwaka 1961 hadi 1985 piga hesabu mwenyewe, tena harakati za ukombozi zilianza miaka ya 1950's Mwl.Nyerere alikuwa Mwenyekiti

NCCR-Mageuzi, CUF, CHADEMA, NRA vimeanza siasa 1992 bado vina safari ndefu
 
Mrema kakataa hakuna mwenye uwezo wala mamlaka ya kumfukuza uanachama nimemskia clouds fm asubuh
 
Mrema ni mmiliki wa chama kama alivyo Mbowe, hawezi kufukuzwa.

Ni sawa na Chadema imvue uanachama Mbowe kwa kukibadilisha kinyemela kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chama. Ni kitu kisichowezekana.

Ni kwa nini kila wakati unazungumzia CDM? inaelekea dawa imekuingia kuwa CDM lazima iwaondoe wakoloni weusi CCM!!!!!!!!!!!!!
 
Kamati itamfukuzaje Mwenyekiti uanachama.Hata uenyekiti hawawezi. Watz bana.Shida tupu
 
Ni bora kama watamstaafisha kwa lazima maana mzee wa watu amechoka sana yaani hata hawezi tena kuhutubia umati kwa muda mrefu akiwa amesimama
 
Huyu mzee ni mbishiii sijawahi kuona khaaaaa
 
Jamani fanyeni utafiti kabla hamjakirupuka, katiba Ya Tlp 2009 ibara 9.5 (c) kukOma uanachama akiwa raia za Nje. Mtu mwenye akili timamu unaweza kusema Mrema sio Mtanzania. WOTE mliochangia humu ndani WOTE mbuzi

Unasema?
 
chadema college:chuo cha matusi tanzania.kipo maeneo ya ufipa.

nyote mnakaribishwa.
Duh!! Hujaacha tu majungu? Nakumbuka walikusuta ulipong'ang'ania Mengi kaoa mjukuu wake kaoa mjukuu wake nikadhani wanakuonea kumbe unapenda majungu pole.
 
CHADEMA ni mali ya MBOWE na ukoo wa ndesa, hata kabla ya uchaguzi mkuu , familia imeshateua wabunge wa viti maalumu toka kwenye ukoo, piga wale ndugu, wake na wenye ukoo na wenye kuimiliki CHADEMA lazima watakuwa wabunge wa viti maalumu chadema mwaka huu baada ya uchaguzi
Mwaka huu mpaka mpate mapacha kudadadeki.
 
Back
Top Bottom